Search the region
22892 stories
BURERA: Bane bafatiwe mu bikorwa byo gutumiza Kanyanga mu gihugu cy’abaturanyi
Mu rukerera rw’umunsi ku wa 09 Ukwakira (10) 2026, Polisi ikorera mu karere ka Burera yafashe abagabo bane bakekwaho gutumiza kanyanga mu gihugu gituranyi, inyujijwe mu nzira zitemewe
Fri, 09 Oct 2026 13:21:52 +0200Ruto chairs Cabinet meeting (Photos)
Read the full report from the original source.
RecentlyWhat a banker discovered when he started listening to farmers
Read the full report from the original source.
RecentlyMadawati, miradi kuboresha elimu Nyerere Cycling Tour 2026
Read the full report from the original source.
RecentlyWhy court has set free 25 ex-soldiers jailed for life over desertion
Read the full report from the original source.
RecentlyNavi Pillay, prix Nobel de la paix
Read the full report from the original source.
RecentlyINGINGO Z'INGENZI Z'IMPAMVU YO GUSABA GUHINDUZA AMAZINA
Fri, 09 Oct 2026 13:06:48 +0200Tabitha Karanja quits UDA for DCP in bid to unseat Kihika
Latest · News
RecentlyExpert: Long hours on road could affect PSV drivers’ eyesight
Kefa said people who spend long hours on digital devices should observe the 20-20-20 rule
RecentlyTanzania opens draft investment policy opens for public views
Read the full report from the original source.
RecentlyUganda, Mozambique tour operators sign pact to sell joint holiday packages
MAPUTO, Mozambique – Tour operators from Uganda and Mozambique on Thursday signed a memorandum of understanding to jointly promote tourism and develop multi-destination travel packages, during a Uganda tourism roadshow i
RecentlyNCBA Golf Series heads to Diamond Leisure as Grand Finale draws closer
Latest · Golf
RecentlyEarthquake sparks panic as residents flee homes in Kagera
Read the full report from the original source.
RecentlyAfrica’s AI infrastructure race will be won by grid confidence, not new data centre announcements
Read the full report from the original source.
RecentlyCHUO CHA MKWAWA WATHIBITISHA KUSHIRIKI KITONGA MARATHON
NA DENIS MLOWE, IRINGA CHUO Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimeahidi kushiriki katika mbio za Kitonga Marathon zinazotarajiwa kufanyika Oktoba 31, 2026, wilayani Kilolo mkoani Iringa, kikieleza kuwa zitakuwa fursa ya kuhamasisha afya, kutangaza taasisi na kuimarisha mahusiano na jamii. Ahadi hiyo imetolewa na Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Method Samuel, baada ya kupokea ugeni wa waratibu wa Kitonga Marathon waliotembelea chuo hicho kwa ajili ya kuhamasisha ushiriki wa taasisi hiyo katika mbio hizo. Profesa Samuel amesema chuo kinapongeza juhudi za waandaaji kuja na wazo la kuandaa mbio hizo, akieleza kuwa ni ubunifu unaoweza kuleta manufaa mbalimbali kwa jamii, ikiwemo kuimarisha afya za washiriki na kutangaza vivutio na fursa zilizopo Kilolo. Amesema ushiriki wa chuo hicho pia utasaidia kutangaza shughuli zake kwa umma, ili watu wengi zaidi wafahamu huduma na mchango wake katika jamii, sambamba na kutekeleza maelekezo ya Serikali kuhusu kuimarisha uhusiano kati ya taasisi na wananchi. Ameongeza kuwa mbio hizo zitakuwa jukwaa la kujenga mahusiano mazuri kati ya chuo hicho na wadau wa Wilaya ya Kilolo, ambao ni sehemu ya jamii inayohudumiwa na taasisi hiyo. Profesa Samuel amesema ushiriki huo utatoa fursa kwa wafanyakazi wa chuo kukutana na watu kutoka maeneo mbalimbali, kujenga mitandao ya mawasiliano na kubadilishana uzoefu kuhusu masuala yenye manufaa kwa maendeleo ya jamii. Amesema chuo kimejipanga kushiriki kikamilifu na kuunga mkono juhudi za waandaaji katika maandalizi ya mbio hizo, akihimiza wadau wengine kuunga mkono tukio hilo. Wakati huohuo, mtangazaji maarufu nchini, Maulid Kitenge, amethibitisha kushiriki katika Kitonga Marathon kupitia ujumbe uliosambazwa kwenye ukurasa wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Siwema H. Jumaa. Kitenge, ambaye pia ametaja ushiriki wa kundi la Crown Jogging la jijini Dar es Salaam, amewahimiza wananchi kujisajili mapema ili kushiriki katika mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika Oktoba 31, mwaka huu, katika eneo la Mlima Kitonga, wilayani Kilolo. Amesema maandalizi ya kushiriki yako tayari, huku akitoa wito kwa wananchi na wadau wa michezo kujitokeza kwa wingi kuunga mkono tukio hilo. Kitonga Marathon inalenga kutumia michezo kama jukwaa la kuhamasisha afya, kutangaza utalii na fursa za uwekezaji, pamoja na kuimarisha uhifadhi wa mazingira na kuitangaza Wilaya ya Kilolo kwa watu kutoka maeneo mbalimbali nchini. Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Siwema H. Jumaa alisema mbio hizo zitahusisha mbio za barabarani za kilomita tano, 10 na 21, pamoja na trail run ya Mlima Kitonga, ambayo itafungua fursa kwa wananchi na wageni kushiriki shughuli za hiking na utalii wa asili katika eneo hilo. Mkurugenzi Siwema alisema waandaaji wanatarajia kupata washiriki wasiopungua 800, huku usajili ukiendelea. Alisema washiriki wa mbio za kilomita tano, 10 na 21 watalipia Sh50,000, huku watakaoshiriki mbio za kupanda Mlima Kitonga wakilipa Sh70,000 na kupata T-shirt, begi, medali na namba ya mshiriki. Katika mbio za kilomita 21, mshindi wa kwanza atapata Sh1 milioni, wa pili Sh600,000 na wa tatu Sh400,000 kwa upande wa kilomita 10, washindi watatu wa kwanza kwa wanawake na wanaume watapata Sh500,000, Sh300,000 na Sh200,000 mtawalia.
Fri, 09 Oct 2026 10:52:59 +0000Tourism’s new gatekeeper: Is Kenya ready for the AI traveller?
Read the full report from the original source.
RecentlyAfrica CDC targets Africa’s clinical research skills gap with new training programme
Latest · Africa
RecentlyMet: Rain expected in 43 counties over next seven days
The department cautioned that rainfall distribution may vary across the counties, with isolated storms possible
RecentlyMadawati 1,000 na Miradi mbalimbali kuboresha Elimu Kupitia Nyerere Cycling Tour 2026
Afisa miradi ya jamii wa Vodacom Tanzania Foundation, Deborah Kaluzi (kulia) akikabidhi moja ya madawati yaliyotolewa kwa Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi ya Makumbusho, Yasini Shehaghilo (kushoto). Hafla hiyo ni sehemu ya mpango wa kusaidia shule mbalimbali unaotekelezwa kupitia msafara wa Nyerere Cycling Tour 2026. Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Archie James Killo (wa pili kushoto) na Mwanzilishi wa Nyerere Cycling Tour, Gabriel Landa (wa pili kulia). Mpango huo unaakisi dhamira ya uboreshaji miundombinu ya elimu na kusaidia jamii zilizopo kando ya njia ya safari hiyo kupitia ujenzi na ukarabati wa madarasa, ugawaji wa madawati pamoja na utekelezaji wa miradi mingine ya maendeleo ya jamii. Mwanzilishi wa Nyerere Cycling Tour Gabriel Landa (kushoto), akiwa pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC wakipanda mti ikiwa ni sehemu ya juhudi za Vodacom Tanzania Foundation za kurekebisha mazingira. Kupitia Nyerere Cycling Tour 2026, Vodacom inaunga mkono mipango ya upandaji miti kwa lengo la kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa uhifadhi wa mazingira kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo. Afisa miradi wa Vodacom Tanzania Foundation Deborah Kaluzi, akizungumza na wanafunzi na wadau wa elimu katika Shule ya Msingi Makumbusho, mojawapo ya shule zinazoungwa mkono na Nyerere Cycling Tour 2026, baada ya kukabidhi madawati yaliyotolewa kwa lengo la kuboresha mazingira ya kujifunzia. Zoezi hilo ni sehemu ya juhudi za Vodacom Tanzania Foundation za kuimarisha upatikanaji wa elimu bora, kusaidia shule kuwa na vifaa muhimu vya kujifunzia na kuchangia maendeleo endelevu ya jamii. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Makumbusho wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na waendesha baiskeli baada ya kukabidhiwa madawati yaliyotolewa kupitia Nyerere Cycling Tour 2026. Mpango huu unalenga kuboresha mazingira ya kujifunzia ikiwa ni sehemu ya juhudi za Vodacom Tanzania Foundation katika kusaidia sekta ya elimu, kuhakikisha wanafunzi wanapata vifaa muhimu vya kujifunzia na kuchangia maendeleo ya jamii kupitia uwekezaji katika elimu bora kwa watoto. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Makumbusho Yasini Shehaghilo (kushoto), Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Plc kanda ya kaskazini, Andrew Temu(wa pili kutoka kushoto), Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Archie James Killo (wa tatu kutoka kushoto), na Mwanzilishi wa Nyerere Cycling Tour, Gabriel Landa (kulia), wakishiriki zoezi la upandaji mti katika Shule ya Msingi Makumbusho. Zoezi hilo ni sehemu ya juhudi za Vodacom Tanzania Foundation kupitia Nyerere Cycling Tour 2026 za kuhamasisha utunzaji wa mazingira, kuongeza uoto wa asili na kujenga uelewa kuhusu umuhimu wa uhifadhi wa mazingira kwa manufaa ya jamii na vizazi vijavyo.
Fri, 09 Oct 2026 05:30:00 +0000Hospital identifies genders of 17 fire victims, seeks relatives of 11
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 763 of 1145 · 22892 stories