Unganishwa

Search the region

22888 stories

Uncategorized · The Star Kenya

Two cops killed in IED blast in Garissa

The incident occurred at around 6am on Friday, October 9, police said.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Des voitures incendiées et des magasins pillés : des violences anti-migrants éclatent en Afrique du Sud

L’Afrique du Sud a connu des flambées de violence récurrentes, ciblant souvent les migrants des pays voisins.

Recently
National · Issa Michuzi

SPIKA WA BUNGE LA AUSTRALIA ACHAGULIWA RAIS MPYA IPU, AHAIDI KUIMARISHA DEMOKRASIA

Na Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha SPIKA wa Bunge la Australia, Milton Dick, amechaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) baada ya kupata kura 182 sawa na asilimia 56 ya kura zote Akitangaza matokeo ya washindi, Rais anayemaliza muda wake Dkt Tulia Ackson amesema nafasi ya pili ilichukuliwa na Spika wa Azbeijan  Ms.Sahiba Gafarova  aliyepata kura 124 sawa na asilimia 38 na mgombea wa mwisho ni Spika wa Bunge la Chile Rojo Edward Silver aliyepata kura 21 sawa na asilimia 6. Akizungumza baada ya kutangazwa mshindi, Milton Dick, ameahidi kuimarisha demokrasia, amani na ushirikiano wa kimataifa, akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa umoja huo kwa kumwamini na kumpa dhamana ya kuongoza taasisi hiyo. Amesema anapokea jukumu hilo kwa unyenyekevu na kutambua wajibu mkubwa aliopewa wa kuhakikisha kila taifa, bila kujali ukubwa wake, utajiri au ushawishi wake, linaheshimiwa na kupata nafasi ya kusikilizwa katika jukwaa la kimataifa. "kuchaguliwa kwangu ni ukumbusho kwamba demokrasia, kuheshimiana na ushirikiano bado ni misingi muhimu katika kuunganisha mataifa na kutafuta majibu ya changamoto zinazolikabili dunia," amesema. Dick amesema atafanya kazi kwa karibu na wajumbe wa mabunge kutoka mataifa mbalimbali ili kujenga mazingira ya mazungumzo, kuimarisha uelewano na kutafuta maeneo ya kukubaliana licha ya tofauti za kisiasa, tamaduni, lugha na imani. Amesisitiza kuwa changamoto za dunia, ikiwamo mabadiliko ya tabianchi, haziwezi kutatuliwa na taifa moja au eneo moja pekee, hivyo zinahitaji ushirikiano wa pamoja, akitaja umuhimu wa kuzingatia mazingira magumu yanayokabili mataifa ya visiwa vya Pasifiki na nchi ndogo. Amesema katika uongozi wake atahakikisha kuwa sauti za mataifa yote zinasikilizwa na maslahi yake yanazingatiwa, akieleza kuwa hakuna nchi inayopaswa kutengwa katika mijadala ya kimataifa kwa sababu ya ukubwa wake, utajiri au nafasi yake ya kijiografia. Katika hatua nyingine, Dick ametangaza mpango wa utekelezaji wa siku 100 za kwanza za uongozi wake, akieleza kuwa ataanza mara moja kufanyia kazi vipaumbele vilivyowekwa kwa ajili ya kuimarisha utendaji na malengo ya taasisi hiyo. Amesema IPU ilianzishwa kwa maono ya kujenga taasisi inayotumia mazungumzo kutatua tofauti badala ya kuendeleza migawanyiko, huku ikitetea demokrasia na kuhimiza amani katika mataifa mbalimbali duniani. Ameahidi kuongoza kwa unyenyekevu, uadilifu na heshima, akisisitiza kuwa atakuwa tayari kusikiliza maoni ya wajumbe na kuweka mbele maslahi ya IPU pamoja na wananchi wanaowakilishwa na mabunge yao. Dick amesema mabunge yana wajibu mkubwa katika kipindi hiki cha changamoto na kutokuwa na uhakika duniani, kwa kuwa wananchi wanategemea viongozi wao kulinda demokrasia, kuimarisha amani, kutetea uhuru na kujenga mazingira bora kwa familia na watoto. Ameongeza kuwa jukumu la kuendeleza misingi hiyo si la kiongozi mmoja pekee, bali ni wajibu wa pamoja wa wabunge na viongozi kutoka mataifa yote yanayoshiriki katika IPU. Amesema anaamini kuwa mambo yanayoyaunganisha mataifa ni makubwa kuliko tofauti zinazoweza kuyatenganisha, hivyo amewataka wajumbe kuendelea kushirikiana katika kujenga mustakabali wenye amani, usalama na maendeleo. Katika kuhitimisha hotuba yake, Dick ameomba mwongozo na hekima katika kutekeleza majukumu yake mapya, akieleza dhamira yake ya kutumia nafasi hiyo kujenga madaraja ya ushirikiano na kuimarisha demokrasia kwa manufaa ya watu wote duniani.

Fri, 09 Oct 2026 10:29:27 +0000
Uncategorized · The Citizen

Family of woman allegedly shot dead by husband bars his relatives from mourning at home

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Dick amrithi Dk Tulia Urais IPU, aahidi kuimarisha demokrasia na amani

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Arajiga kusimama kati Dabi ya Kariakoo

Mwamuzi Ahmed Arajiga kutoka Manyara, ametangazwa kuwa refa wa mchezo wa Dabi ya Kariakoo baina ya Simba na Yanga utakaochezwa Jumamosi, Oktoba 10, 2026 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

TMDA YATWAA TUZO YA UHUSIANO BORA NA VYOMBO VYA HABARI 2026

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetwaa tuzo ya Uhusiano Bora na Vyombo vya Habari Tanzania kwa mwaka 2026 (Best Media Relations in Tanzania 2026), katika tuzo za umahiri wa uhusiano wa umma na mawasiliano. Tuzo hiyo imetolewa Oktoba 8, 2026, katika hafla ya Tuzo za Umahiri wa Uhusiano kwa Umma na Mawasiliano (PR & Communications Awards), zilizoandaliwa na Chama cha Uhusiano wa Umma Tanzania (PRST). Utambuzi huo unaakisi mchango wa TMDA katika kutumia vyombo vya habari kufikisha taarifa na elimu sahihi kwa umma kuhusu masuala ya dawa na vifaa tiba, pamoja na umuhimu wa mawasiliano yenye weledi na ufanisi. Tuzo hizo hutolewa kila mwaka na PRST kwa kuzingatia kura za wadau mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuhamasisha ubora katika taaluma ya uhusiano wa umma na mawasiliano nchini.

Fri, 09 Oct 2026 10:15:17 +0000
Uncategorized · Capital FM

Homa Bay County, Assembly given 21 days to disclose headquarters project financing

Latest · County News

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Court allows withdrawal of fraud charges against ex-SHA official Wachira

The prosecution withdrew charges against Elijah Wachira and co-accused Robert Ingarisa

Recently
Health · The Star Kenya

What is Bundibugyo virus disease, why is it lethal?

Transmission risks and the absence of an approved vaccine are raising concern over the rare Ebola strain

Recently
Uncategorized · Capital FM

IG Kanja, US delegation discuss election security, counter-terrorism ahead of 2027 polls

Latest · KENYA US RELATIONS

Recently
Health · The Star Kenya

What is Bundibugyo virus disease and why is it lethal?

Transmission risks and the absence of an approved vaccine are raising concern over the rare Ebola strain

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

L'exécution par peloton d'exécution du soldat Nidal Hassan sera retransmise en direct, annonce le Pentagone

Pete Hegseth affirme que l'exécution sera publique, mais un expert juridique déclare que cette décision « sans précédent » se situe sur un « terrain juridique incertain ».

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Kenya receives Sh171 million Ebola response equipment

MoH will distribute laboratory equipment and protective gear to high-risk health facilities

Recently
Uncategorized · The Citizen

Australia’s Milton Dick elected IPU president

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Trump avuga ko Amerika itazagaba ibitero kuri Iran mbere y'amatora yo mu kwa 11

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Your Next Work Trip to South Africa Should Come With a Holiday Attached

Latest · Africa

Recently
Uncategorized · Daily News

Milton Dick elected President of the IPU Assembly

Read the full report from the original source.

Recently
Business · The Observer Uganda

Gold, oil and expensive loans: IMF on Uganda’s economic risks

Uganda is preparing for an economy that could look markedly different from today’s. The country is buying gold to strengthen its reserves, anticipating oil revenues,…

Recently
Uncategorized · Isango Star

Arabiya Sawudite yanze agahenge mu rugamba ihanganyemo n’Abahuti

Arabiya Sawudite yanze guhagarika imirwano ihanganyemo n’inyeshyamba z’Abahuti bo muri Yemeni. Yashimangiye ko itazemera agahenge kugeza igihe ingabo za Leta ya Yemeni ziyishyigikiye zizaba zisubije ibice ziherutse kwigarurirwa n’izo nyeshyamba. Ni mu gihe ibitero byazo byahitanye Abanyasawudi batatu ku kibuga cy’indege cya Riyadh.

Fri, 09 Oct 2026 11:24:06 +0200

Page 764 of 1145 · 22888 stories