Unganishwa

Search the region

22888 stories

Uncategorized · Rwanda Inspirer

Rwanda’s financial institutions lose Rwf471 million to fraud in three months

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Unlocking rural Embu through Kivwe-Kevote road upgrade

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Hagadera police chief, driver killed in suspected IED attack in Garissa

NATIONAL NEWS · 3 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

MPs raise accountability concerns over proposed AFC, Ford Foundation privileges

Latest · News

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Why Ruto’s Mt Kenya allies are fleeing UDA ahead of '27

Several former Ruto allies have left UDA or distanced themselves from the party as political alignments shift

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

South Africa pulls asylum directive after violent protests

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Police arrest Homa Bay ‘chief goon’ linked to rally chaos

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Wanted gang leader arrested in chaotic operation

Police said the warrant was issued by the Homa Bay Law Courts on August 14, 2026.

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Santé mentale, un centre pour s'occuper des plus vulnérables

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

2,863 petitioners challenge authority of local firms in P&G, Kimberly-Clark case

Business · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Court clears way for prosecution of Nairobi lawyer in Sh10 million bribery case

Latest · News

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

SENYAMULE AWAAGIZA VIONGOZI DODOMA KUWAPA KIPAUMBELE WANANCHI

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amewataka viongozi wa Mkoa huo kuimarisha uwajibikaji, weledi na ubunifu katika utendaji wao ili kuboresha huduma za umma na kuhakikisha changamoto za wananchi zinapatiwa ufumbuzi kwa wakati. Ametoa agizo hilo Oktoba 8, 2026, wakati akiongoza kikao kazi kilichowakutanisha Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Sekretarieti ya Mkoa katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Mhe. Senyamule amesema viongozi wanapaswa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia dhamana waliyopewa na Serikali, kusimamia watumishi walio chini yao na kuhakikisha huduma zinazotolewa kwa wananchi zinaendana na misingi ya utawala bora, huku wakilinda amani na utulivu katika maeneo yao. Amesisitiza pia umuhimu wa viongozi kuwa karibu na wananchi kwa kuwasikiliza, kuwahudumia kwa upendo na kuhakikisha kila anayefika katika ofisi za umma anapokelewa vizuri na kupata msaada unaostahili. “Wananchi wanahitaji kuona tabasamu kutoka kwa viongozi wao, jambo linaloashiria upendo, ukaribu na utayari wa kuwahudumia,” amesema Mhe. Senyamule. Aidha, amewahimiza viongozi kutumia ubunifu katika kutekeleza majukumu yao kwa kubuni njia mpya za kutatua changamoto za wananchi, kuharakisha shughuli za maendeleo na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma. Akizungumzia vipaumbele vya Mkoa wa Dodoma, amewataka viongozi kuelekeza nguvu katika sekta za elimu, afya, mazingira, uchumi, kilimo, viwanda na madini ili kuchochea maendeleo na kuboresha maisha ya wananchi. Amesisitiza kuwa mafanikio ya uongozi yanapaswa kuonekana kupitia matokeo ya kazi zinazofanyika, ubora wa huduma zinazotolewa na mabadiliko chanya katika maisha ya wananchi, akiwataka viongozi kuhakikisha utekelezaji wa majukumu yao unaleta manufaa yanayoonekana kwa jamii.

Fri, 09 Oct 2026 09:19:13 +0000
Uncategorized · Capital FM

OPINION: AI governance must rise above Cold War thinking

Latest · Fifth Estate

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Wanted gang leader arrested in chaotic operation

His arrest turned chaotic

Recently
Uncategorized · HabariLeo

TANESCO yatwaa tuzo nne za mawasiliano

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Daily News

Let Dar Derby celebrate football in harmony

DAR ES SALAAM: TOMORROW, Dar es Salaam will once again turn its attention to the Dar Derby as Simba and…

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Watu 28 wafariki Morogoro, basi na lori yakigongana

Watu 28 wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lililokuwa limebeba miti aina ya milunda na basi la abiria lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya.

Recently
Uncategorized · Daily News

Jihan Dimack: Tanzania closes ranks behind its grand crown hope

DAR ES SALAAM: THE calls are coming from different corners of the country, but they are carrying the same message:…

Recently
National · Issa Michuzi

SERIKALI YAWATAKA WAZALISHAJI WA SARUJI KUEPUKA UHUJUMU WA SOKO LA SARUJI.

📌Asema hatua za kisheria kuchukuliwa kwa atakayebainika. 📌wazalishaji wahakikishe saruji inawafikia wananchi Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb) amewataka wazalishaji wa saruji nchini kuhakikisha wanaepuka tabia ya kuhujumu soko kwa kufanya mjengeko wa bei za saruji kwenye soko. Amesema hayo mkoani Mbeya wakati wa ziara yake katika Kiwanda cha Saruji cha Mbeya Cement ambapo alikagua shughuli za uzalishaji, kusikiliza changamoto zao na kutambua fursa zilizopo katika sekta ya viwanda. Waziri Kapinga amesema serikali iko makini na itachukua hatua stahiki kwa wazalishaji au kiwanda cha saruji kitakapobainika. Vilevile amewataka kuhakikisha wanazalisha saruji kwa wingi na kuwafikia wananchi wa chini kwa bei iliyopangwa kwa kupitia mawakala wao. Aidha Waziri Kapinga pia ametembelea Kiwanda cha Magodoro cha G&B na Kiwanda cha TBL ambapo amesisitiza kuwa Serikali haitakubali changamoto za wafanyabiashara kubaki bila majibu, hivyo ziara katika maeneo ya uzalishaji zitaendelea kutumika kama sehemu ya kusikiliza kero, kutambua fursa na kuweka mikakati ya kuzitatua.

Fri, 09 Oct 2026 09:08:37 +0000
Uncategorized · Burundi Forum

Burundi 2027: au delà du vote le pays à construire

ARTICLE N° 2 AVANT DE PARLER D’AVENIR, SAVONS-NOUS D’OÙ VIENT NOTRE ÉCONOMIE ? Un pays qui oublie sa mémoire productive risque de chercher très loin ce qu’il portait déjà dans son histoire. À l’approche de l’élection présidentielle de 2027, les débats vont...

Fri, 09 Oct 2026 09:02:44 +0000

Page 765 of 1145 · 22888 stories