Search the region
22866 stories
MAKAMU WA RAIS NDEJEMBI AMFARIJI DKT. MAGHEMBE
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amefika Kigamboni jijini Dar es Salaam kuifariji familia ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe, kufuatia kifo cha mama yake mzazi, Bi. Kudra Salim Maghembe. Bi. Kudra amefariki dunia leo, Oktoba 8, 2026. Katika ziara hiyo, Makamu wa Rais ametoa pole kwa Dkt. Maghembe pamoja na familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu, akiwataka kuwa na subira na uvumilivu katika kipindi hiki cha majonzi.
Thu, 08 Oct 2026 17:26:55 +0000President Kagame received Senegal’s Minister of Foreign Affairs
Read the full report from the original source.
RecentlyUBC Hosts Launch of PRAU at 50 Celebrations
Read the full report from the original source.
RecentlyCourt rules on Nakivubo drowning, Northern Bypass Shs 11.3bn claim
Nearly a decade after street vendor Olive Basemera plunged into the Nakivubo drainage channel and drowned while fleeing a Kampala Capital City Authority enforcement operation,…
RecentlySaccos Afrika 2026 fursa kwa Watanzania
Read the full report from the original source.
RecentlyMashujaa FC 2-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 08/10/2026
Mashujaa FC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Lake Tanganyika Stadium, Kigoma. Mashujaa wametangulia kwa goli la Mishamo Daud, kabla ya Anuary Jabir kuchomoa kwa penati lakini Mashujaa nao wakapiga la ushindi kwa penati kupitia kwa Michael Joseph.
2026-10-08T17:09:26+00:00Vidéo — Rencontre avec Dial Diop, ex-toxicomane sénégalais
Read the full report from the original source.
RecentlyFrance: Police clash with protesters at Paris student rally
Read the full report from the original source.
RecentlyHeavy rains, fierce winds wreak havoc in Kisumu
A billboard was brought down by strong winds, landing on vehicles that were packed nearby
RecentlyMagoli | Pamba Jiji 4-0 Geita Gold FC | NBC Premier League 08/10/2026
#NBCPL Hizi hapa bakora zote walizocharazwa Geita Gold FC kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza; Wachapaji ni Henry Lutonja, Deogratius Mafie, Zabona Mayombya na Idriss Diomande kwa assist tamu ya Zabona. FT: Pamba Jiji 4-0 Geita Gold #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #PambaJijiFC #GeitaGoldFC #PambaJijiGeitaGold
2026-10-08T16:49:18+00:00Au total 369 réfugiés retenus par les FDLR en RDC sont rentrés au Rwanda
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto: Digitalisation has helped eliminate fertiliser cartels
Ruto said the platform closed loopholes that allowed middlemen and people without farms to buy the commodity and resell it to farmers.
RecentlyTansfoma nne zasafirishwa kwenda miradi ya Taza
Read the full report from the original source.
RecentlyDr Norga Komba calls for Development Beyond Project Completion
CHINA: “Tanzania should assess development not only by the number of projects completed, but also by how those projects improve…
RecentlyREA YAENDELEA KUWEZESHA SEKTA BINAFSI KATIKA MIRADI YA UZALISHAJI UMEME
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kuwa kiungo muhimu katika kuwezesha waendelezaji wadogo wa miradi ya uzalishaji wa umeme unaotokana na maporomoko ya maji, hatua inayolenga kuongeza upatikanaji wa umeme nchini na kuhakikisha wananchi wanapata nishati ya uhakika kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Nishati Jadidifu na Teknolojia Mbadala wa REA, Mhandisi Advera Mwijage, wakati akitembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa kuzalisha umeme kwa maporomoko ya maji katika kijiji cha Boimanda wilayani Ludewa, mkoani Njombe. Mradi huo una uwezo wa kuzalisha Kilowati 317 za umeme na unasimamiwa na Shirika la Masista wa Benedictine wa Kanisa Katoliki. Mhandisi Mwijage amesema Serikali kupitia REA imetoa zaidi ya shilingi milioni 738 katika awamu ya pili kwa ajili ya kuendeleza mradi huo, huku sehemu kubwa ya miundombinu ikiwa tayari imekamilika. Kwa mujibu wa Mhandisi Mwijage, jengo la kuhifadhia mitambo ya kuzalisha umeme limekamalika na kinachobaki ni kukamilisha miundombinu ya kusafirisha umeme kutoka katika mradi huo hadi kwenye mfumo wa TANESCO, ili umeme unaozalishwa uweze kuingizwa katika gridi ya taifa. Aidha, Mhandisi Mwijage amewataka wananchi wanaoishi katika maeneo yanayozunguka mradi huo kuendelea kutunza mazingira na kulinda vyanzo vya maji, akisema upatikanaji wa maji ya kutosha ni muhimu kwa uendelevu wa mradi huo. Kwa upande wake, Sister Imakulata Mlowe msimamizi wa mradi huo kutoka Shirika la Benedictine Sisters la Kanisa Katoliki, ameishukuru Serikali kupitia REA kwa kuwezesha mradi huo, akisema hadi sasa wamepokea zaidi ya shilingi bilioni 4.5 kwa ajili ya ujenzi na maendeleo ya mradi huo. Amesema fedha hizo zimetumika katika ujenzi wa bwawa, jengo la kufulia umeme maarufu kama power house, pamoja na miundombinu ya kusafirisha umeme kwa wananchi wa Vijiji vya Boimanda na Matola. Amesema mradi huo ukikamilika utakuwa na mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya wananchi, kuongeza shughuli za kiuchumi na kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali zinazohitaji umeme. Ametaja baadhi ya manufaa kuwa ni pamoja na wananchi kupata mwanga wa uhakika, kuanzisha na kuendesha shughuli ndogo za biashara, huduma za maji, saluni na matumizi ya mashine mbalimbali, pamoja na kuboresha huduma za afya. Mradi huo ni miongoni mwa juhudi za Serikali za kuongeza uzalishaji wa umeme kupitia vyanzo vya nishati jadidifu, huku ushiriki wa sekta binafsi ukitarajiwa kuongeza kasi ya upatikanaji wa umeme katika maeneo ya vijijini na kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Thu, 08 Oct 2026 17:03:20 +0000Mawaziri wa ulinzi Tanzania na Msumbiji wahitimisha mkutano wa saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama
Read the full report from the original source.
RecentlyTransfoma nne zasafirishwa kwenda mradi wa TAZA
Read the full report from the original source.
RecentlyUboreshwaji wa daraja la Chalinze Mzee wafikia asilimia 90
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya races to trace all contacts after first Ebola death, WHO official says
Read the full report from the original source.
Recently2026 Nobel Prize winner Anne Carson: Where to start reading
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 778 of 1144 · 22866 stories