Unganishwa

Search the region

22863 stories

Uncategorized · Citizen Digital

Man denies cyber harassment charge over message sent to magistrate

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Govt approves Ksh.83.6M compensation for 259 protest victims

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Iwacu

Région Centre/Gitega : Pour 20 l d’essence, des vies sont sacrifiées

A Gitega, l’annonce des stations-service approvisionnées en carburants transforme la capitale politique en un véritable champ de bataille routier. Pris dans une course contre la montre frénétique pour décrocher le précieux sésame, automobilistes et motards bravent tous les dangers allant jusqu’à faucher des innocents. La population propose la publication des stations-service approvisionnées pendant la nuit.

Thu, 08 Oct 2026 16:18:30 +0000
Uncategorized · BBC Rwanda

Nicolás Maduro wahoze ari Perezida wa Venezuela yarezwe umugambi wo gukora iyicarubozo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Autopsy: Woman in police vehicle drama died of multiple injuries

It is alleged Catherine Mwende was pushed from the moving Land Cruiser after accepting a lift to the farm at about 3 am.

Recently
Uncategorized · The Standard

IEBC urges ex-Ndaragwa MP to pay Sh2.5m fine after court dismisses challenge

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

BRITISH AIRWAYS KUREJEA TANZANIA, KUANZA SAFARI MEI 2027

Kampuni ya ndege ya British Airways imetangaza kurejesha safari za moja kwa moja kati ya Uingereza na Tanzania kuanzia Mei 2027, hatua inayolenga kuongeza usafiri wa watalii na wasafiri wa kibiashara kati ya mataifa hayo. Tangazo hilo limetolewa Oktoba 7, 2026, na Mkuu wa Masoko wa British Airways kwa Bara la Afrika, Asia na Pasifiki, Bw. Moran Birger, katika Jukwaa la Uwekezaji kati ya Tanzania na Uingereza, katika ukumbi wa Mikutano wa Peninsula Hotel London Uingereza. Jukwaa hilo limefunguliwa na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Birger amesema uamuzi huo umechangiwa kwa kiasi kikubwa na kuongezeka kwa idadi ya wasafiri na watalii wanaoitembelea Tanzania, sambamba na maendeleo ya kiuchumi na uwekezaji ambayo yameifanya Tanzania kuvutia watu wengi kufanya uwekezaji. Kwa Upande wake Dkt. Mwigulu amepongeza uamuzi huo akiutaja kuwa utasaidia kwa kiasi kikubwa kuendelea kuifungua Tanzania na kuwa kichocheo kikubwa cha uchumi kwa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla. Kadhalika, Dkt. Dkt Mwigulu amesema Tanzania ni kitovu cha uwekezaji na ina masoko zaidi. "Kwa mwekezaji anayataka kuja kuwekeza Tanzania, asiangalie soko la ndani tu, bali aione Tanzania kama jukwaa la kuwafikia wadau wengi wa kikanda kwani inanknda nyingi inazojihusisha nazo," amesema. Amewaambia washiriki wa Kongamano hilo wapatao 300 kwamba amani, utulivu na uongozi imara usiotetereka ndiyo mtaji mkubwa wa kuifanya Tanzania kuwa jukwaa la uwekezaji. Mbali na hayo, Waziri Mkuu amesema uwepo wa umeme wa uhakika, miundombinu ya barabara, reli ya kisasa ya SGR, bandari na viwanja vya ndege ni vichocheo vikubwa vya kuharakisha maendeleo nchini. Amesema mageuzi ya kiuchumi ambayo Tanzania imeyapanga kulingana na DIRA 2050, yanataka uwepo wa umeme wa uhakika na wa bei nafuu. Kwa upande wake Waziri Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Kitila Mkumbo, amesema, Serikali ya Awamu ya Sita imeandaa Dira ambayo inafungua njia na muelekeo wa nchi. “Nchi imeandaa sera, mipango na malengo thabiti kufanikisha malengo yake na kuwezesha ukuaji wa uchumi kwa mwananchi mmoja mmoja na ukuaji wa uchumi wa nchi kwa ujumla”

Thu, 08 Oct 2026 16:09:17 +0000
Uncategorized · Business Daily

Travel agents protest ‘abrupt’ rollout of visitor health insurance

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

2026 Nobel Prize winner Anne Carson: Where to start reading

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UBC

PRAU to Hold four-Day Golden Jubilee Summit in Jinja to Mark 50 Years of Professional Excellence

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

SPIKA ZUNGU AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA UINGEREZA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), leo Oktoba 8, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), jijini Arusha.

Thu, 08 Oct 2026 16:04:30 +0000
Uncategorized · Business Daily

Sasra chief on Kuscco lessons and why Saccos should merge

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Minister Babalanda Calls for Financing Architecture to Match Uganda’s US$500 Billion Growth Ambition by 2040

KAMPALA — The Minister for the Presidency, Hon. Babirye Milly Babalanda, has called for the re-engineering of Uganda’s development financing architecture to support the country’s ambition of growing its economy…

Recently
Business · Issa Michuzi

EITI YASISITIZA UWAZI RASILIMALI ZA MADINI, MAFUTA NA GESI, TANZANIA KUTATHMINIWA 2027

Na Mwandishi Wetu Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Mpango wa Uwazi na Uwajibikaji katika Sekta ya Uziduaji (EITI Global Conference 2026) umefunguliwa rasmi mjini Brussels, Ubelgiji, ukiwakutanisha wawakilishi kutoka zaidi ya nchi 57 zinazotekeleza vigezo vya EITI kwa lengo la kuimarisha uwazi, uwajibikaji na usimamizi bora wa rasilimali za madini, mafuta na gesi asilia. Akifungua mkutano huo leo Oktoba 8, 2026, Mwenyekiti wa Bodi ya Kimataifa ya EITI anayemaliza muda wake, Rt. Helen Clark, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, kampuni zinazojihusisha na sekta ya uziduaji pamoja na asasi za kiraia, akieleza kuwa mshikamano wa wadau hao ni muhimu katika kuhakikisha rasilimali hizo zinawanufaisha wananchi na nchi husika kwa ujumla. Clark, aliyeiongoza Bodi ya EITI kwa kipindi cha miaka saba, amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha utekelezaji wa viwango vya EITI ili kuongeza uwazi na uwajibikaji katika usimamizi wa rasilimali hizo muhimu kwa maendeleo ya nchi. Kwa upande wake, Mwenyekiti mpya wa EITI, Maria van der Hoeven, ameahidi kushirikiana na nchi wanachama katika kuimarisha utekelezaji wa viwango vya kimataifa vya EITI. Anatarajiwa kuiongoza Bodi ya taasisi hiyo kwa kipindi cha mwaka 2026 hadi 2029. Katika mkutano huo, Mwenyekiti wa Kamati ya Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Uziduaji Tanzania (TEITI), Balozi Wilson Masilingi, amekutana na Katibu Mtendaji wa EITI, Mark Robinson, aliyeipongeza Tanzania kwa hatua zinazochukuliwa katika kutekeleza shughuli za taasisi hiyo. Robinson ameeleza kuridhishwa na jitihada za Tanzania katika kuimarisha uwazi na uwajibikaji, huku akipongeza matumizi ya wataalamu wa ndani katika kuandaa ripoti za TEITI za kila mwaka, hatua inayochangia kuimarisha uwezo wa kitaifa katika kusimamia utekelezaji wa vigezo vya EITI. Tanzania pia imeshiriki katika maonesho yanayoambatana na mkutano huo, yaliyotoa fursa kwa nchi wanachama kuonesha bidhaa, huduma na mbinu mbalimbali wanazotumia kuimarisha uwazi na uwajibikaji katika sekta ya uziduaji. Miongoni mwa masuala yanayopewa uzito katika mkutano huo ni ushirikiano wa kimataifa na kubadilishana uzoefu kuhusu usimamizi wa rasilimali za madini, mafuta na gesi asilia. Tanzania inatarajiwa kufanyiwa tathmini ya utekelezaji wa shughuli za EITI mwezi Julai 2027. Mkutano huo unatarajiwa kuhitimishwa Oktoba 9, 2026, ukiwa na lengo la kuimarisha uelewa na ushirikiano wa nchi wanachama katika kuhakikisha rasilimali za uziduaji zinasimamiwa kwa uwazi na uwajibikaji kwa manufaa ya wananchi.

Thu, 08 Oct 2026 15:59:15 +0000
Business · KBC

Ruto unveils plan to transform Kenya’s agriculture into a food economy

President William Ruto has outlined an ambitious plan to transform Kenya’s agricultural sector from commodity production into a fully-fledged food economy, with increased irrigation, value addition, financing and market

Recently
Uncategorized · Business Daily

KPC joined in case as contractor seeks Sh540m

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Uganda draws red line over Kenya’s 2027 polls

"We therefore distance ourselves from any conduct that has been undertaken by individuals outside the law."

Recently
Uncategorized · Capital FM

Murkomen moves to operationalize county policing authorities amid push for community-led security

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

EACC recovers Ksh.51 million KCAA land in Mombasa

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

South Africa targets 17.5 billion spam calls with new registry

Read the full report from the original source.

Recently

Page 780 of 1144 · 22863 stories