Search the region
22858 stories
Over 500 genocide convicts begin reintegration training ahead of release
Read the full report from the original source.
RecentlyLe Rwanda gagne neuf places et réalise la plus forte progression du dernier classement FIFA
Read the full report from the original source.
RecentlyAliyetuhumu umri wa Mwalimu, ndiye mzalendo zaidi
Soma zaidi hapa
RecentlyNight Crackdown: Police Round Up 93 Suspected Gang Members in Kampala
Read the full report from the original source.
RecentlyEquity Bank Honours 80 Customers Whose Banking Journeys Became Business and Community Success Stories
Read the full report from the original source.
RecentlyMdau atoa msaada wa milioni 2/- kukabiliana na changamoto ya maji sekondari ya Zimamoto Songea
Read the full report from the original source.
RecentlyVODACOM YACHANGIA DAMU KUONGEZA AKIBA YA BENKI YA DAMU
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Harriet Lwakatare, akichangia damu kwa ajili ya kuongeza akiba ya damu katika Benki ya Damu nchini na kusaidia kuokoa maisha ya watu wanaohitaji huduma hiyo. Zoezi hilo ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026, inayoangazia umuhimu wa kuwahudumia wateja huku pia ikichangia ustawi wa jamii. Mchango wa damu una umuhimu mkubwa katika kusaidia wagonjwa wanaohitaji damu wakati wa matibabu na huduma nyingine za dharura. Tukio hilo limefanyika tarehe 7 Oktoba 2026, jijini Dar es Salaam, likiwa sehemu ya shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Vodacom Tanzania katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026 yenye kaulimbiu “Zaidi ya Huduma ni Ukaribu! Baadhi ya washiriki waliojitolea kuchangia damu kupitia zoezi lililoandaliwa na Vodacom Tanzania wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026, jijini Dar es Salaam. Zoezi hilo linalenga kuchangia kuongeza akiba ya damu katika Benki ya Damu Taifa na kusaidia kuokoa maisha ya watu wanaohitaji huduma hiyo. Mmoja wa wateja wa Vodacom aliyejitolea kuchangia damu akifanyiwa vipimo vya afya kabla ya kuchangia damu wakati wa zoezi lililoandaliwa na Vodacom Tanzania Plc katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. Tukio hilo limefanyika jana jijini Dar es Salaam, likiwa sehemu ya shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Vodacom Tanzania katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026 yenye kaulimbiu “Zaidi ya Huduma ni Ukaribu! Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja baada ya tukio la uchangiaji damu wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja . Tukio hilo limefanyika jana jijini Dar es Salaam likiwa sehemu ya shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Vodacom Tanzania katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026 yenye kaulimbiu “Zaidi ya Huduma ni Ukaribu”
Thu, 08 Oct 2026 08:30:00 +0000Rwanda, Nigeria explore new areas for partnership in health sector
Read the full report from the original source.
RecentlyVictoria Motors exhibits new Mitsubishi Triton and Outlander
KAMPALA, 8 October 2026 — Victoria Motors Limited (VML), the authorised Mitsubishi distributor in Uganda, is exhibiting the 2026 Mitsubishi Triton pickup and the Mitsubishi Outlander SUV at the Kampala Marriott...
RecentlyWAZIRI KAPINGA AZINDUA KIKOSI KAZI CHA AMCHAM KUIMARISHA VIWANDA NA MAUZO YA NJE
Dar es Salaam, 📌Awakilishwa na Naibu Katibu Mkuu kuzindua kikosi kazi hicho chini ya chemba ya wafanyabiashara wa Marekani-AMCHAM 📌Awataka Wazalishaji kutumia fursa ya soko la AGOA kuuza bidhaa zao. Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Salvio Kapinga, leo amezindua Kikosi Kazi cha Uzalishaji (Manufacturing Working Group) chini ya Chemba ya Wafanyabiashara wa Marekani Tanzania (AMCHAM Tanzania), ikiwa ni jukwaa muhimu la kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi katika kukuza uzalishaji, uwekezaji na mauzo ya bidhaa za Tanzania katika masoko ya kimataifa. Uzinduzi huo uliwakilishwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Bw. Aristides Mbwasi, ambaye aliwasilisha ujumbe wa Serikali na kusisitiza umuhimu wa sekta binafsi kushirikiana na Serikali katika kutatua changamoto zinazoathiri ushindani wa bidhaa za Tanzania. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Bw. Mbwasi amesema kuanzishwa kwa Kikosi Kazi hicho kunalenga kuwaleta pamoja wazalishaji, wawekezaji na Serikali, ili kujadili kwa utaratibu changamoto zinazokabili sekta ya uzalishaji na kuibua suluhisho zinazoweza kuongeza uzalishaji, uwekezaji, ajira na mauzo ya nje. Amesema Serikali inahimiza wazalishaji wa Tanzania kutumia kikamilifu fursa ya soko la Marekani kupitia African Growth and Opportunity Act (AGOA), hususan katika kipindi kilichosalia cha mpango huo, kwa kuongeza idadi ya bidhaa na makampuni ya Tanzania yanayofikia soko hilo. “Tunaendelea kuhimiza wazalishaji kutumia fursa zilizopo katika masoko ya kimataifa, ikiwemo soko la Marekani kupitia AGOA, ili kuongeza mauzo ya nje na kuongeza thamani ya bidhaa zinazozalishwa hapa nchini,” amesema Bw. Mbwasi. Ameongeza kuwa takwimu za mwaka 2025 zinaonesha kuwa shughuli za uzalishaji zimeendelea kukua ambapo amesema Serikali ina dhamira ya kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wazalishaji na wawekezaji, ikiwemo kuboresha miundombinu, sera na mifumo ya biashara, pamoja na kushughulikia changamoto zinazoweza kupunguza ushindani wa bidhaa zinazozalishwa nchini. Aidha, amesisitiza umuhimu wa Kikosi Kazi hicho kuwa jukwaa la mazungumzo ya mara kwa mara kati ya Serikali na sekta binafsi, ambapo changamoto zitawasilishwa kwa ushahidi, kupatiwa taasisi zinazohusika na kufuatiliwa hadi kupata ufumbuzi. Katika uzinduzi huo, wawakilishi wa sekta binafsi waliwasilisha changamoto mbalimbali zinazokabili wazalishaji, zikiwemo gharama na upatikanaji wa nishati, bidhaa bandia na biashara isiyo rasmi, masuala ya kodi, ushuru na tozo, upatikanaji wa ardhi ya viwanda, changamoto katika mnyororo wa thamani wa nguo, pamba na malighafi, pamoja na upatikanaji wa masoko ya nje. Kwa upande wake, Serikali imewahimiza wadau kuwasilisha mapendekezo yenye ushahidi, vipaumbele na suluhisho mahsusi, ili kurahisisha hatua za Serikali katika kushughulikia changamoto hizo. Kikosi Kazi cha AMCHAM Manufacturing Working Group kinajumuisha wawakilishi wa wazalishaji, wawekezaji na wadau mbalimbali wa sekta ya uzalishaji, kwa lengo la kuimarisha ushindani wa viwanda vya Tanzania na kukuza uwekezaji pamoja na biashara kati ya Tanzania na Marekani. Uzinduzi huo unatarajiwa kuwa mwanzo wa ushirikiano wa karibu zaidi kati ya Serikali na sekta binafsi, hususan katika kuongeza uzalishaji wa ndani, thamani ya bidhaa, ajira na mauzo ya bidhaa za Tanzania katika masoko ya kikanda na kimataifa. ]
Thu, 08 Oct 2026 14:20:11 +0000Makerere Orders Buyinza to Step Aside Amid Harassment Probe
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya Retains Safari Rally on 2027 World Championship Calendar
Read the full report from the original source.
RecentlyKFS seeks public views on proposed Londiani Forest airstrip
Aviation · 4 hours ago
RecentlyIPU yasisitiza uwekezaji afya ya mama na mtoto
Read the full report from the original source.
RecentlyZungu calls on IPU members to cooperate in bolstering maternal and child healthcare services
Read the full report from the original source.
RecentlySerengeti opens Sh3.9 billion visitor centre to promote conservation
Read the full report from the original source.
RecentlyFrom price to specs: What’s new with the Oppo F35 Pro
Read the full report from the original source.
RecentlyRevealed: 84 Kenyans killed, 52 missing in Russia-Ukraine war
Mudavadi says 84 Kenyans are killed or missing in the Russia-Ukraine war, while 354 are on official records. Five Kenyans remain prisoners of war in Ukraine.
Thu, 08 Oct 2026 16:55:00 +0300Africa CDC calls for increased investment in pharmaceutical production for maternal and child health
ARUSHA: THE Head of Reproductive, Maternal, Newborn, Child and Adolescent Health at the Africa Centres for Disease Control and Prevention…
RecentlyWamuchomba announces exit from UDA over 'disrespect' by CS Duale
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 783 of 1143 · 22858 stories