Unganishwa

Search the region

22849 stories

Uncategorized · KBC

Duale assures Kenya is safe, open amid imported Ebola case

Kenya’s laboratory network has tested 268 samples, with a turnaround time of approximately six to 12 hours to support timely public health interventions.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Goodbye mango tree, hello AWS: The cloud sovereignty paradox behind Nigeria’s new postcode

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Techweez

KRA to Use eTIMS to Check Business Inventory Records

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Clubs raise concerns over political interference in Man City appeal

Latest · English Premier League

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Makaburi ya Chivayo, Lulu yaandaliwa; muundo wa majeneza waibua hisia

Makaburi mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kuhifadhi mabaki ya mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mkewe Lucy ‘Lulu’ Muteke yameandaliwa katika eneo la Sahwira Glen Forest Memorial Park, Harare...

Recently
Business · PML Daily

Absa Bank Uganda launches wealth unit as collective investments pass Shs7 trillion

KAMPALA – Absa Bank Uganda has launched a wealth management and investment advisory service, as assets held in Uganda's collective investment schemes pass Shs7 trillion. The service, Absa Wealth, was launched...

Recently
Business · Issa Michuzi

JAMAL AITAKA CCM DAR KUTATHMINI MIKATABA, KUBUNI VYANZO VIPYA VYA MAPATO

DAR ES SALAAM Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Uchumi na Fedha, Ndugu Jamal Kassim Ali, ameitaka CCM Mkoa wa Dar es Salaam kufanya tathmini ya mikataba na miradi ya chama, akisema baadhi ya mikataba iliyopo haina maslahi ya kutosha kwa chama. Jamal ameyasema hayo leo, Oktoba 8, 2026, wakati akizungumza na Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba, jijini Dar es Salaam. Amesema ni muhimu kwa chama kupitia upya mikataba na miradi yake ili kubaini maeneo yanayohitaji maboresho na kuhakikisha mali na rasilimali za CCM zinatumika kwa tija na kwa maslahi ya chama. Aidha, amesema baadhi ya wawekezaji wamekuwa na mtazamo kwamba CCM ni “shamba la bibi” , akieleza kuwa hali hiyo imechangiwa na utaratibu wa muda mrefu ambao, kwa mujibu wake, chama kinapaswa kuufanyia marekebisho. Jamal pia ameitaka CCM Mkoa wa Dar es Salaam kubuni vyanzo vipya vya mapato na kutafuta maeneo mapya ya uwekezaji yatakayosaidia kuimarisha uwezo wa chama kiuchumi. Amesisitiza kuwa hatua hizo ni muhimu katika kuhakikisha rasilimali za chama zinasimamiwa kwa ufanisi na kutumika katika kuimarisha shughuli na maendeleo ya CCM.

Thu, 08 Oct 2026 10:37:59 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

Russian strike on buses in Ukraine's Kramatorsk kills 30

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

SAS helps illuminate the health impact of solar power in rural Uganda

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Suqoon urges action to close 60–70 protection gap

Latest · News

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Russian strike on buses kills 33, say officials

Ukraine accused Russia of targeting the crowded bus in the frontline city to kill as many civilians as possible.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

BRELA YAWATAKA WASANII KURASIMISHA KAZI ZAO

Na Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha WASANII nchini wametakiwa kubadili mtazamo na kuanza kuzitazama kazi zao za sanaa kama biashara kwa kuzirasimisha, kusajili majina ya biashara na kulinda miliki bunifu ili kuongeza fursa za kukuza shughuli zao na ushindani katika soko. Wito huo umetolewa na Msaidizi wa Msajili Mkuu, Mkurugenzi wa Miliki Bunifu kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Nassoro Mtavu, aliyewahimiza wasanii kutumia fursa zinazopatikana kupitia usajili na ulinzi wa kazi zao. Mtavu ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wadau wa sanaa katika Tamasha la Arusha Artisan Festival linaloendelea katika viwanja vya General Tyre, Njiro jijini Arusha. Amesema BRELA imejipanga kuwasaidia wasanii kuelewa taratibu za usajili wa biashara pamoja na masuala ya majina ya biashara, alama za biashara na miliki bunifu yanayoweza kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya sekta ya sanaa. Amesema ushiriki wa BRELA katika tamasha hilo unalenga kutoa elimu kwa wasanii na wafanyabiashara kuhusu umuhimu wa kurasimisha shughuli zao na kuhakikisha wanafanya biashara kwa kuzingatia matakwa ya sheria. “Maonyesho haya yamekuwa fursa muhimu kwa wasanii na wafanyabiashara kupata elimu kuhusu namna ya kuendesha na kukuza shughuli zao kwa kuzingatia taratibu za kisheria,” amesema Mtavu. Amesema wasanii wanapaswa kutumia nafasi hiyo kuuliza maswali na kueleza changamoto zinazowakabili katika shughuli zao ili kupata majibu na ushauri kutoka kwa wataalamu wa BRELA. Kwa mujibu wa Mtavu, baadhi ya changamoto zinazowakabili wasanii zinaweza kutatuliwa iwapo wataongeza uelewa kuhusu usajili wa biashara, majina ya biashara, alama za biashara pamoja na namna ya kulinda miliki bunifu. Amesema usajili wa shughuli za sanaa unaweza kuwasaidia wasanii kuwa na utambulisho rasmi wa kibiashara na hivyo kuongeza uwezo wao wa kutumia fursa mbalimbali zinazopatikana kwa wafanyabiashara waliosajiliwa. Aidha, amesema ulinzi wa miliki bunifu ni muhimu kwa wasanii kwa kuwa kazi zao zinaweza kuwa na thamani kubwa kiuchumi na hivyo zinahitaji kulindwa dhidi ya matumizi yasiyoruhusiwa. Mtavu amewataka wasanii kutumia mafunzo na huduma zinazotolewa na BRELA kama sehemu ya kujenga msingi imara wa biashara zao badala ya kutegemea kipaji pekee katika kuendesha shughuli zao. Amesema msanii anayelinda kazi yake, anasajili shughuli zake na kuzingatia taratibu za kisheria ana nafasi kubwa ya kukuza thamani ya kazi zake na kufikia masoko mapana zaidi. Ameongeza kuwa wasanii wanapaswa kutumia majukwaa kama Tamasha la Arusha Artisan Festival si kwa ajili ya kuuza na kutangaza kazi zao pekee, bali pia kujifunza namna ya kuzifanya kazi hizo kuwa biashara endelevu. Amesema BRELA itaendelea kushirikiana na wadau wa sanaa kutoa elimu na kuwasaidia kuelewa huduma zinazotolewa na taasisi hiyo ili waweze kutumia ipasavyo fursa zilizopo. Mtavu amewahimiza wasanii wengine ambao bado hawajar formalisha shughuli zao kuchukua hatua kwa kuanza mchakato wa usajili na kupata uelewa kuhusu namna bora ya kulinda kazi zao. Amesema hatua hiyo itasaidia kujenga sekta ya sanaa yenye wasanii wanaoweza kutumia ubunifu wao kama chanzo cha ajira, kipato na biashara endelevu nchini.

Thu, 08 Oct 2026 10:29:38 +0000
Uncategorized · Rwanda Inspirer

Rwanda earns over Rwf14bn from agricultural exports in five days

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

President Kagame, AU facilitators discuss next steps towards lasting peace and stability in eastern DRC

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

Education stakeholders urge stronger support for learners with dyslexia

KAMPALA — Education stakeholders have called for more research, early identification and better teacher preparation to ensure learners with dyslexia receive support throughout their education. The call was made at the...

Recently
Uncategorized · Daily News

MSD hosts Algerian envoys in talks to  share experience on management of health products

DAR ES SALAAM: THE Medical Stores Department (MSD) has held talks with a delegation from Algeria’s ministry responsible for the…

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Les 10 meilleures villes du monde en 2026 et les secrets de leur succès

Qu'est-ce qui rend une ville si attrayante que les gens ont envie d'y vivre, d'y travailler ou même de la visiter ?

Recently
Business · KT Press

Rwanda is Testing Digital Platform to Get Small Farmers Loans in 48 Hours

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Suss Ads bets on AI to transform customer service across Africa

Latest · News

Recently
National · Rwanda News Agency

Parliament begins First Ordinary Session of 2026/2027

Read the full report from the original source.

Recently

Page 789 of 1143 · 22849 stories