Unganishwa

Search the region

22837 stories

Uncategorized · Daily News

TANESCO unveils new customer service reforms

DAR ES SALAAM: TANZANIA Electric Supply Company Limited (TANESCO) has shortened the period for connecting new electricity customers, with some…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

PSSSF YATOA WITO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA: 'HATUNA MAWAKALA,HUDUMA ZETU ZOTE NI BURE

Afisa Matekelezo Mfuko wa PSSSF Josephine Nyamtondo, akimsaidia mstaafu Bi. Sara Banali, kujihakiki kwenye ofisi ya PSSSF Kibaha Mkoani Pwani, Oktoba 7, 2026 wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja yakiingia siku ya tatu Watumishi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Kituo cha Afya Mkoani Mjini Kibaha baada ya kuwakabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja Mjini Kibaha Pwani Oktoba 7, 2026 Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Mkoa wa Pwani, Bw. John Mwalisu (Mwenye suti nyeusi kulia), akimkabidhi Dkt. Ephraim Tahhan, Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Mkoani Mjini Kibaha Pwani, msaada wa mahitaji mbalimbali uliotolewa na Watumishi wa PSSSF Mkoani Pwani, kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Oktoba 7, 2026. Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa Psssf Mkoa wa Pwani, Bw. John Mwalisu, akizungumza na wanachama wa PSSSF waliotembelea ofisi za Mfuko Mjini Kibaha, huo Oktoba 7, 2026 wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa PSSSF Mkoa wa Pwani, Bw. John Mwalisu, akizungumza na wanachama wa PSSSF waliotembelea ofisi za Mfuko Mjini Kibaha, huo Oktoba 7, 2026 wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Na Mwandishi Wetu, Kibaha Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Mkoa wa Pwani, Bw. John Mwalisu, amewakumbusha wanachama wa Mfuko huo kuwa huduma zote za PSSSF zinapatikana kupitia ofisi za Mfuko na njia rasmi za huduma, huku akisisitiza kuwa PSSSF haina mawakala wanaofanya kazi kwa niaba yake. Bw. Mwalisu ametoa kauli hiyo Oktoba 7, 2026, wakati akiwashukuru wanachama wa PSSSF waliotembelea ofisi za Mfuko mjini Kibaha, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. “PSSSF hatuna mawakala. Taarifa sahihi kuhusu huduma za Mfuko utazipata moja kwa moja kutoka PSSSF. Aidha, hakuna huduma yoyote ya PSSSF inayolipiwa; huduma zetu zote ni bure. Hata wazee ambao hawana uwezo wa kufika ofisini kwa ajili ya kuhakiki taarifa zao, tunawafuata hadi majumbani kwao,” alisema Mwalisu. Katika tukio hilo, wanachama wa PSSSF, wakiwemo maafisa kutoka Idara ya Uhamiaji, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji pamoja na watoa huduma za afya, walipata fursa ya kufahamu zaidi kuhusu majukumu ya Mfuko, huduma zinazotolewa na maboresho mbalimbali yaliyofanywa ili kuongeza ufanisi na kuendana na mahitaji ya wakati. Akizungumzia maboresho hayo, Mwalisu alisema PSSSF inaendelea kutekeleza kaulimbiu ya “Tunalipa Jana”, inayolenga kuhakikisha mwanachama anayestaafu anapata stahiki zake kwa wakati na bila kuchelewa. “Kwa sasa PSSSF tunakwenda na kaulimbiu ya ‘Tunalipa Jana’, ikiwa na maana kwamba mwanachama anapostaafu, stahiki zake anazipata mara moja,” alisema. PSSSF YAENDA ‘EXTRA MILE’ KUWAFIKIA WANACHAMA Katika hatua nyingine, watumishi wa PSSSF Mkoa wa Pwani wameenda “Extra Mile” kwa kuwatembelea wanachama wao katika Kituo cha Afya cha Mkoani kilichopo Kibaha, Mkoa wa Pwani. Msafara huo uliongozwa na Afisa Mfawidhi wa PSSSF Mkoa wa Pwani, Bw. John Mwalisu, na kupokelewa na Mganga Mfawidhi wa kituo hicho, Dkt. Ephraim Taahani. Katika ziara hiyo, PSSSF ilikabidhi mahitaji mbalimbali kwa ajili ya watumishi wa kituo hicho ambao pia ni wanachama wa Mfuko huo. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Bw. Mwalisu aliwashukuru watumishi wa kituo hicho kwa kuendelea kutoa huduma bora za afya kwa wananchi, wakiwemo wanachama wa PSSSF. Alisema mchango wa watumishi hao ni muhimu katika kujenga jamii yenye afya na kuchochea maendeleo ya taifa. Kwa upande wake, Dkt. Taahani aliishukuru PSSSF kwa kutambua mchango wa wahudumu wa afya katika jamii kupitia ziara hiyo na utoaji wa mahitaji muhimu. Aliahidi kuhakikisha kuwa mahitaji hayo yanawafikia pia watumishi wengine ambao walikuwa wakiendelea kuwahudumia wagonjwa wakati wa ziara hiyo. Aidha, uongozi wa kituo hicho ulieleza kuwa una imani na namna PSSSF inavyosimamia fedha na maslahi ya wanachama wake, huku ukipongeza juhudi za Mfuko katika kuboresha huduma na kuwafikia wanachama wake.

Thu, 08 Oct 2026 07:19:37 +0000
Uncategorized · Mwananchi

Zitto afunguka hukumu rufaa ya Profesa Assad, CAG Kichere

Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema rufaa aliyokata kupinga kuondolewa kwa Profesa Mussa Assad katika wadhifa wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)...

Recently
Uncategorized · Daily News

Faith leaders join fight against GBV

INSIDE Gombani Conference Hall, religious and community leaders gathered around a common goal: helping create a South Pemba where women…

Recently
Uncategorized · Capital FM

High Court upholds LSK challenge over National Fertiliser Subsidy Programme

NATIONAL NEWS · 3 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Sifuna wants DNA, forensic identification completed before burial of 443 Shakahola remains

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Uncategorized · HabariLeo

‘Tunalenga ajira zaidi nchi za Ghuba’

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

2027 plan: Gachagua's DCP to partner with Sifuna's TEP

Edwin Sifunas presidential bid is reshaping Opposition alliances, with Rigathi Gachaguas DCP signalling willingness to work with him and potentially strengthen his claim to the Opposition ticket.

Thu, 08 Oct 2026 08:00:00 +0300
Uncategorized · Daily News

Women seek more than parliamentary seats

ARUSHA: THE conversation on women in politics is shifting from how many women are in Parliament to how much influence…

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Otunnu’s UN Chief Bid Falters as Support Drops to Three Votes

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Accident that broke her legs did not deter Onlysiima from modeling

SIIMA SHAMIM, 28, professionally known as ONLYSIIMA, is a Ugandan model, actress and influencer. Born in Kampala in 1998, Onlysiima began her modelling career in…

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

North Korea demands South show 'utmost respect' to restore relations

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Skater Kiarie disputes State claim of support

Kiarie and Sports Ministry have given conflicting accounts of government funding and visa assistance.

Recently
Uncategorized · Daily News

Engineering her future, breaking barriers

TANZANIA: FOR Engineer Neema Kahabi, engineering is more than a profession. It is a way of turning an empty piece…

Recently
Uncategorized · Daily News

EU, Germany launch 49bn/- blue economy project

DAR ES SALAAM: THE European Union (EU) and Germany have launched a 16.5 million-euro (about 49bn/-) blue economy programme, targeting…

Recently
Uncategorized · Capital FM

Kenyans need Sh107,000 minimum to invest in Dangote Refinery IPO

Latest · Business

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

US and Lebanon protecting wanted Syrian general, BBC finds

Bassam al-Hassan was a senior adviser to former President Bashar al-Assad

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

TANZANIA YALENGA AJIRA ZAIDI KATIKA NCHI ZA GHUBA

Waziri wa Kazi na Kinga ya Jamii wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. Alfred Mutua, EGH (katikati), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu (kulia), na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Mkutano wa Pili wa Doha Dialogue, jijini Dar es Salaam, Oktoba 6, 2026. Tanzania inatarajia kupata fursa zaidi za ajira katika nchi za Ghuba, zikiwemo nafasi za kitaalamu kwa madaktari, wauguzi, wafamasia na wahandisi, kufuatia Mkutano wa Pili wa Doha Dialogue kuhusu uhamaji wa nguvu kazi na ajira. Katika mkutano huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amesema Tanzania imepata fursa ya kuimarisha ushirikiano na nchi za Ghuba pamoja na mataifa mengine ya Afrika katika kukuza fursa za ajira na kurahisisha uhamaji wa wafanyakazi.

Thu, 08 Oct 2026 07:02:15 +0000
Uncategorized · The Citizen

Fuel prices may stay high into next year as ME crisis persists

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Zungu: Public trust key to attracting investment inflows

Read the full report from the original source.

Recently

Page 796 of 1142 · 22837 stories