Search the region
22822 stories
Rent-to-own option traps affordable homes billions
Read the full report from the original source.
RecentlyChivayo, mkewe kuzikwa kesho wakiwa kwenye majeneza yenye muundo wa magari
Read the full report from the original source.
RecentlySHA introduces one-month waiver on five KYC documents
Waiver covers Know Your Customer (KYC) documents required when healthcare providers contract with SHA
RecentlyEvicted Spanish woman who sparked housing protests has died
Read the full report from the original source.
RecentlyIEBC warns of goonism, AI misuse ahead of 2027 General Election
Read the full report from the original source.
RecentlyKatie Price messaged ex's rape accuser, court told
Price's ex-husband Kieran Hayler is accused of raping and sexually assaulting a 13-year-old in 2016
RecentlyTCAA YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUIMARISHA USIKIVU NA UTOAJI HUDUMA
MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) inaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kuanzia tarehe 5 hadi 9 Oktoba 2026, kwa kusikiliza na kuhudumia wateja, kupokea maoni na kutoa ufafanuzi kuhusu huduma zake. Shughuli hizo zinafanyika wiki hii yote katika Makao Makuu, ofisi za Kanda ya Pwani, Kanda ya Kati, Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kaskazini, Nyanda za Juu Kusini na Ofisi ya Zanzibar, kwa lengo la kuimarisha ubora wa huduma na mahusiano. Maadhimisho yalianza kwa watumishi kupewa mafunzo ya huduma kwa mteja. Akiwasilisha mada, Juma Fimbo alisisitiza umuhimu wa usikivu na kujituma katika utoaji wa huduma. “Huduma bora kwa mteja inaanza na kumsikiliza, kuelewa mahitaji yake na kuchukua hatua kwa wakati. Kauli mbiu ya ‘The Extra Mile’ inatukumbusha kujituma zaidi katika kumsaidia mteja, kumpa taarifa sahihi na kuhakikisha anapata huduma kwa heshima na ufanisi na kumfutilia baada ya kutoa huduma husika,” alisema Fimbo. Bw. Fimbo pia alisisitiza kuwa mwajiri wetu ni mteja tunayempatia huduma na TCAA ni mwakilishi tu wa mwajiri wetu. TCAA itaendelea kutoa huduma bora hata baada ya maadhimisho haya, kwa kuimarisha usikivu na mwitikio kwa mahitaji ya wateja. Katika kutekeleza dhamira hiyo, Mamlaka ilianzisha Dawati la Huduma kwa Wateja linalopokea maswali, maoni na malalamiko, pamoja na kutoa taarifa na mwongozo kuhusu huduma zake. Dawati hilo linafikiwa kupitia WhatsApp +255 771 564 070, simu ya bure 0800 110 193, au barua pepe helpdesk@tcaa.go.tz na dawatilahuduma@tcaa.go.tz. Aidha, ujio wa huduma za Mamlaka ya Usafiri wa Anga kupitia mfumo wa CASP (Civil Aviation Services Portal) unaimarisha upatikanaji wa huduma kidijitali. Kupitia portal.tcaa.go.tz, wateja wanaweza kuwasilisha maombi, kupakia nyaraka, kufanya malipo na kufuatilia hatua za maombi yao, hatua inayorahisisha upatikanaji wa huduma na kuokoa muda.
Wed, 07 Oct 2026 18:45:08 +0000Des Maliens ambitionnent de retourner dans la ville de Kidal
Read the full report from the original source.
RecentlyKagame Meets AU Panel in Latest Push for DRC Peace Process
Read the full report from the original source.
RecentlyMuseveni meets Commonwealth Secretary-General Shirley Botchwey
ENTEBBE – President Yoweri Museveni has called for African partnerships to be built around continental unity under the African Continental Free Trade Area (AfCFTA) rather than former colonial ties, during a...
RecentlyTanzania yashuka ubora viwango Fifa
Read the full report from the original source.
RecentlyABDI: CCM ITAENDELEA KUWASIMAMIA VIONGOZI KUTEKELEZA ILANI
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Ndugu Abdi Mahamoud Abdi, amesema chama hicho kitaendelea kuwasimamia viongozi wa majimbo kuhakikisha wanatekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo na kuwaletea maendeleo wananchi. Ndugu Abdi ameyasema hayo Oktoba 7, 2026, wakati akiendelea na ziara ya kukagua uhai wa CCM kuanzia ngazi ya matawi katika Jimbo la Pangawe, Zanzibar, pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili wanachama na kutafuta namna ya kuzitatua. Amesema CCM ina mpango wa kuhakikisha wanachama wake wanawezeshwa kiuchumi, ikiwemo kuwawezesha kupata mitaji itakayowasaidia kuanzisha na kuendeleza shughuli mbalimbali za biashara na kujikwamua kiuchumi. Aidha, amewataka viongozi wa CCM katika majimbo kuwa karibu na wanachama, kusikiliza changamoto zao na kuzifanyia kazi kwa wakati, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kuimarisha uhai na mshikamano wa chama. Kwa upande wake, Mnadhimu wa Wawakilishi wa CCM Zanzibar, Ndugu Machano Othman Said, amesema wanachama wa CCM katika Jimbo la Pangawe wana dhamana kubwa ya kuendeleza umoja na mshikamano ili kuhakikisha chama kinaendelea kusonga mbele. Ndugu Machano amewahimiza wanachama kuachana na makundi ndani ya chama na badala yake kujenga umoja, mshikamano na ushirikiano kwa maslahi ya CCM na wananchi kwa ujumla. Aidha, amewataka wanachama kuendelea kulipa ada za uanachama kwa wakati, akieleza kuwa ada hizo ni muhimu katika kuimarisha shughuli za chama na kuhakikisha CCM inaendelea kutekeleza majukumu yake kwa maslahi ya wanachama na taifa kwa ujumla. Katika ziara hiyo, Ndugu Abdi ametembelea matawi mbalimbali ya CCM ndani ya Jimbo la Pangawe, yakiwemo Tawi la CCM Pangawe, Tawi la CCM Pangawe Bondeni na Tawi la CCM Muembe Majogoo, ambako amepata fursa ya kuzungumza na wanachama na kusikiliza changamoto zinazowakabili. Mbali na kutembelea matawi, Ndugu Abdi pia amewatembelea na kuwajulia hali Wazee wa CCM, akiwemo Ndugu Kassima Haji Ameir nyumbani kwake Pangawe na Ndugu Daudi Mussa Daudi nyumbani kwake Pangawe Bondeni. Ziara hiyo imeelezwa kuwa sehemu ya kuendeleza utamaduni wa CCM wa kuwajali na kuwaheshimu wazee, pamoja na kuimarisha mshikamano na uhusiano kati ya viongozi na wanachama wa chama.
Wed, 07 Oct 2026 18:44:17 +0000Kindiki: Officials aiding illicit alcohol trade to face law
Deputy President directs security agencies to intensify crackdown on illegal brews
RecentlyFuraha Ya Superheli Yazidi Kunoga Kwa Beti Za Bure!
WAPENZI wa michezo ya kasino, muda wa kuongeza msisimko umefika! Meridianbet inakuletea Superheli , mchezo wa kasino unaokupa nafasi ya kutumia Beti za Bure ulizopewa huku ukifurahia safari yenye burudani na msisimko wa kipekee. Hii ni fursa nzuri kwa wachezaji kujaribu bahati yao bila kutumia fedha zao za moja kwa moja, hivyo kuongeza raha ya mchezo na kufanya kila spin kuwa ya kusisimua zaidi. Ili kuanza, ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet, kisha nenda kwenye ukurasa wa Kasino. Ukiwa kwenye App, utauona chini katikati, huku kwenye browser ukipatikana juu kushoto. Hatua hii inakupeleka moja kwa moja kwenye ulimwengu wa michezo ya kasino, ambapo unaweza kuchagua michezo mbalimbali inayopatikana na kuanza kucheza mara moja. Baada ya kufika Kasino, chagua AVIATOR , kisha bonyeza Kasino ya SUPERHELI. Ukishaingia, utaona ujumbe unaokujulisha kuhusu Beti za Bure ulizopewa. Ni rahisi, haraka na hakuna mizunguko mirefu ya kufuata, hivyo hata mchezaji mpya anaweza kuanza bila ugumu wowote. Sasa bonyeza kiboksi cheupe kilicho pembeni ya salio lako , kisha chagua kitufe cha Beti za Bure. Hapo ndipo utakapoweza kuona na kutumia ofa yako ya Beti za Bure ndani ya Superheli . Hakikisha unatumia ofa hii kabla ya muda wake kuisha, kwani Beti za Bure mara nyingi huwa na kipindi maalum cha matumizi. Usiache ofa ikupite! Ingia Meridianbet , fuata hatua hizo na anza safari yako ya Superheli. Kumbuka kucheza kwa burudani na kwa uwajibikaji, huku ukifurahia kila hatua ya mchezo. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kwa kutumia Beti za Bure, una nafasi ya kujifunza mchezo na kuelewa jinsi unavyofanya kazi bila kuhatarisha fedha zako. Hii inakusaidia kujenga ujuzi na kujiamini zaidi kabla ya kucheza kwa fedha halisi. Hivyo, tumia fursa hii kwa busara na ufurahie kila sekunde ya Superheli . Kwa ujumla, Superheli ni mchezo unaochanganya bahati na msisimko, na kwa kuwa na Beti za Bure, furaha inazidi kunoga. Kwa hiyo, usikose nafasi hii ya kipekee. Ingia Meridianbet leo, fuata hatua zilizoelezwa na anza kuzungusha kwa furaha na matumaini.
Wed, 07 Oct 2026 06:35:00 +0000WATAFITI WA MIGOMBA AFRIKA WAKUTANA TANZANIA KUIMARISHA UTAFITI, UZALISHAJI WA NDIZI
Na Byera Deus, Bukoba WATAFITI na wataalamu wa zao la migomba kutoka nchi tisa barani Afrika wamefanya ziara nchini Tanzania kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kuimarisha ushirikiano katika utafiti, uzalishaji na upatikanaji wa mbegu bora za migomba. Ziara hiyo imefanyika katika mikoa ya Arusha na Kagera, ambapo wataalamu hao wametembelea mashamba ya wakulima na kujionea namna wanavyotumia aina mpya za migomba iliyofanyiwa utafiti, ikiwemo FIA na Taribani 1-14, ambazo zimeonesha uwezo wa kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazokabili uzalishaji wa zao hilo, zikiwemo magonjwa, wadudu na athari za mabadiliko ya tabianchi. Wataalamu hao ni sehemu ya Mtandao wa Utafiti wa Zao la Migomba (BBN) unaowakutanisha watafiti kutoka Tanzania, Comoro, Nigeria, Rwanda, Burundi, Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Kenya na Ghana. Mratibu wa Zao la Migomba ambaye pia ni Meneja wa Utafiti wa Mazao na Utunzaji wa Mazao baada ya Mavuno kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Shimwela, amesema mtandao huo ulianza shughuli zake mwaka 2024 kwa lengo la kuimarisha utafiti na upatikanaji wa mbegu bora za migomba zinazoweza kuendana na mazingira mbalimbali na kuwasaidia wakulima kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Amesema ziara hiyo imewapa wataalamu fursa ya kufanya vikao vya pamoja, kubadilishana uzoefu na kujadili namna ya kuendeleza tafiti zinazolenga kupata aina za migomba zenye tija zaidi kwa wakulima na wazalishaji wa ndizi barani Afrika. “Tumekuja pamoja kujadili namna ya kuimarisha utafiti wa migomba, lakini pia kuona kwa vitendo namna wakulima walivyopokea aina za migomba zinazofanyiwa utafiti. Kwa mfano, FIA imefanya vizuri, lakini pia Taribani 1-14, jamii ya Matoke kwa Tanzania na Uganda, nazo zimeleta matokeo chanya,” alisema Shimwela. Alisema kupitia tafiti zinazofanywa na taasisi za utafiti wa kilimo barani Afrika, ikiwemo TARI, jitihada zinaendelea za kupata na kusambaza aina za migomba zinazoweza kutoa uzalishaji unaoendana na mazingira ya mkulima pamoja na changamoto zinazoukabili uzalishaji wa zao hilo. Aliongeza kuwa nchi zinazoshiriki katika mtandao huo zimeahidi kuongeza nguvu katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu namna ya kukabiliana na mabadiliko ya uzalishaji wa migomba, hususan matumizi ya aina mpya zilizofanyiwa utafiti. Mbali na vikao vya wataalamu, timu hiyo imetembelea mashamba ya wakulima katika maeneo mbalimbali na kuzungumza nao kuhusu uzoefu wao baada ya kuanza kutumia aina za migomba iliyofanyiwa utafiti. Kwa mujibu wa wataalamu hao, hatua hiyo ni muhimu katika kupata mrejesho kutoka kwa wakulima ambao ndio watumiaji wakuu wa teknolojia na aina mpya za migomba zinazozalishwa kupitia tafiti. Miongoni mwa wakulima hao ni Nasoro Mpendekaki, mkulima kutoka Kemondo, Halmashauri ya Bukoba, ambaye alieleza namna alivyopokea mbegu mpya aina ya FIA na changamoto alizokutana nazo katika kuachana na migomba ya asili ambayo ilikuwa imeanza kupungua uzalishaji na kushambuliwa na ugonjwa wa Mnyauko. Mpendekaki alisema haikuwa rahisi mwanzoni, hasa kutokana na mtazamo wa jamii iliyomzunguka, lakini kwa sasa amepata matokeo mazuri kutokana na matumizi ya migomba iliyofanyiwa utafiti. Alisema kwa sasa huuza kati ya mikungu 100 hadi 120 kwa mwezi, huku bei ya mkungu mmoja ikiwa kati ya Sh15,000 na Sh20,000. Amesema mapato hayo yamemsaidia kupata mahitaji ya chakula na kuboresha maisha yake, huku pia akirithisha uzoefu huo kwa watoto wake ambao, kwa sasa, wameanza kuwa na mashamba ya migomba. Mpendekaki aliongeza kuwa ameweza kufungua tawi la mauzo katika Mkoa wa Tabora, hatua ambayo amesema imeongeza kwa kiasi kikubwa kipato chake kutokana na biashara ya ndizi. Kwa upande wao, wajumbe kutoka nchi nyingine, akiwemo Dorcas Ibitoye kutoka Nigeria, Jean Prosper kutoka Comoro na Michael Batee kutoka Uganda, wamesema ziara hiyo imewakutanisha watafiti kutoka nchi tisa zinazozalisha ndizi barani Afrika. Wamesema jambo kubwa lililokubaliwa ni namna ya kuhakikisha matokeo ya tafiti yanaondoka maabara na kuwafikia wakulima moja kwa moja. Wamesema watafiti hao kwa pamoja wanataka kuona aina za migomba zinazofanyiwa utafiti zikifanya kazi katika mazingira halisi ya wakulima, hatua ambayo itasaidia kuongeza uzalishaji na kipato kwa wazalishaji wa ndizi barani Afrika.
Wed, 07 Oct 2026 18:37:03 +0000Small Budget, Strong Story: How Filmmakers Can Stretch Limited Resources
For independent filmmakers, a limited budget does not have to mean a limited story. With the right creative and practical decisions, filmmakers can turn resource constraints into opportunities to produce compelling...
RecentlyNyoro: I was not given enough time to substantiate Kenya Pipeline claims
MP says he asked for two more weeks to provide evidence supporting remarks made in Parliament
RecentlyCHIEF JUSTICE OF TANZANIA, HON. MASAJU, CHAIRS PANEL AT SEACJF CONFERENCE IN ZANZIBAR
-He shared Tanzania's successful experience with Alternative Dispute Resolution (ADR) with fellow Chief Justices -Representatives underscored the role of ADR, calling it a natural extension of traditional African dispute resolution By MARY GWERA, Judiciary-Zanzibar The Chief Justice of the United Republic of Tanzania, Hon. George Masaju, chaired a panel at the Southern and Eastern Africa Judicial Forum (SEACJF) conference to discuss “Court-Annexed ADR as a Transformative Tool for Justice Delivery.” Chief Justice Masaju shared his experience on Alternative Dispute Resolution (ADR) within the Tanzanian Judiciary on October 05th, 2026, at the ongoing SEACJF Annual Conference at Hotel Verde in Zanzibar. He stated that, ADR which he named as the amicable dispute resolution has also been used in Tanzania noting that it was used before the modern methods of dispute settlement. Hon. Masaju noted: “The Constitution of the United Republic of Tanzania, under Article 107A(2)(d), requires the Judiciary to promote and enhance mediation between disputing parties. Since this is a legitimate method of dispute resolution, what we are doing here has constitutional validity. If it is enshrined in the Constitution, it cannot merely be an ‘alternative’ method; mediation itself is a direct pathway to justice delivery.” Furthermore, Chief Justice Masaju informed conference participants that the Judiciary of Tanzania operates a Mediation Centre that is performing exceptionally well. Beyond mediation, Hon. Masaju discussed how the Judiciary in Tanzania successfully resolved commercial disputes, helping return over 13 trillion Tanzanian shillings to the country's economic circulation to boost national growth. Opening the plenary session, the Chair emphasized the imperative of adopting approaches rooted in African dispute resolution practices, proposing a terminology shift from "alternative dispute resolution" to "amicable dispute resolution" to better reflect the continent's cultural approach to settling conflicts. He noted that under proposed regional procedural frameworks, courts will actively encourage parties to reach amicable settlements within fixed timelines, such as an initial 75-day period, before escalating matters to full trials. HHowever; the Chair convened other Chief Justices to discuss their jurisdictions' ADR challenges. The leading panellist, Mr Ron Chari, also presented a position paper on Court-Annexed ADR, while Chief Justices from across Southern and Eastern Africa shared key lessons from their respective jurisdictions. On his side, Hon. Justice Richard Mwongo, from the Judiciary of Kenya, traced Kenya's court-annexed mediation back to the aftermath of the 2007 post-election violence, when a panel of eminent African mediators including former United Nations Secretary-General Koffi Annan, late former Tanzanian President Benjamin Mkapa, and Graça Machel facilitated a political breakthrough. “That intervention led to the national consensus between the Party of National Unity (PNU) and the Orange Democratic Movement (ODM). The success of that high-stakes mediation sparked a pivotal late-night meeting involving key negotiators, including the late Mutula Kilonzo and representatives from the Chartered Institute of Arbitrators. The group successfully advocated for the inclusion of dispute resolution mechanisms directly into Kenya's draft constitution,” said Hon. Mwongo. During the forum, Chief Justice of Kenya, Hon. Martha Koome, acknowledged her recent receipt of the King Sejong Legal Culture Award for Judicial Excellence in South Korea. "I was honoured by the Republic of South Korea... to celebrate an ancient king who promoted people-centred justice," Chief Justice Koome stated. "I received the award on behalf of all my colleagues who are working with me in Kenya to promote ADR, AJS, court-annexed mediations, Children's Courts, and Small Claims Courts all those working toward making justice responsive to the people." Justice Koome further highlighted how non-traditional mechanisms like Alternative Dispute Resolution (ADR) and Alternative Justice Systems (AJS) are transforming access to justice across the continent. Sharing her views during the discussion, Chief Justice Emeritus of Ethiopia, Hon. Meaza Ashenafi, who peer-reviewed the draft guide, highlighted empirical research from the Netherlands-based HiiL Institute showing that demand for legal remedies far exceeds formal judicial capacity. Institutionalizing ADR, she noted, provides court oversight to ensure fairness, enforceability, reduced costs, and faster case resolution. Hon. Justice Andrew Kaukha from Uganda detailed Uganda's ongoing integration of ADR practices, while Hon. Justice Harrison Mutabazi from Rwanda outlined progress in embedding mediation directly within its formal court structure. The proceedings opened with reflections from delegates highlighting the importance of sharing regional successes and challenges to address modern legal affairs. Representatives underscored the role of Alternative Dispute Resolution (ADR), calling it a natural extension of traditional African dispute resolution methods rather than merely an alternative mechanism. The session concluded with panelists presenting strategies for leveraging smart database systems to improve case management while safeguarding judicial integrity while emphasizing that resolving disputes through culturally aligned, accessible, and fast-tracked mechanisms remains essential to decongesting traditional courtrooms and building a truly people-centred justice system in Africa. The SEACJF Conference features a range of topics and panel discussions among Chief Justices from across Southern and Eastern Africa to improve justice delivery for citizens in the region. Additional topics at the ongoing SEACJF Annual Conference include: “Courts of Tomorrow: How AI Will Shape the Judiciary,” “Digital Transformation of Courts: e-Filing, Virtual Hearings, and Case Management Systems,” and “Strengthening Court Administration: Professionalisation, Training, and Institutional Support Systems for Judicial Staff.” The Chief Justice of the United Republic of Tanzania, Hon. George Masaju sharing experience about Alternative Dispute Resolution (ADR) during the presentation of a topic titled “Court-Annexed ADR as a Transformative Tool for Justice Delivery,” as a Session Chair. The topic was discussed on October 05th, 2026 during the ongoing Southern and Eastern Africa Chief Justices Forum (SEACJF) Conference and Annual General Meeting taking place at Hotel Verde in Zanzibar. Hon. Justice Andrew Kaukha from Uganda (on the podium) sharing ADR experience in Uganda during the Panel discussion about 'Court-Annexed ADR as a Transformative Tool for Justice Delivery,' Topic chaired by The Chief Justice of the United Republic of Tanzania, Hon. George Masaju (the third one on the right side). The Chief Justice of the United Republic of Tanzania, Hon. George Masaju who's the Chair (second left) in a photo with some Panel Members. Hon. Justice Harrison Mutabazi from Rwanda sharing experience about ADR. On the right is the Chief Justice Emeritus of Ethiopia, Hon. Meaza Ashenafi. Chief Justice Emeritus of Ethiopia, Hon. Meaza Ashenafi presents her views about 'Court-Annexed ADR as a Transformative Tool for Justice Delivery.' Judge of the High Court of Tanzania Main Registry Dodoma, Hon. Amir Mruma (first left) with other participants attentively following up the ongoing discussion. Attentive listening. Judges of the High Court of Tanzania, Hon. Ruth Massam (right) with Hon. Gladys Barthe (left) and other participants following up the panel discussion. The Chief Court Administrator of the Judiciary of Tanzania, Dr. John Antony Jingu (with light brown suit) and other Participants following the discussion about 'Court-Annexed ADR as a Transformative Tool for Justice Delivery,' Topic chaired by The Chief Justice of the United Republic of Tanzania, Hon. George Masaju. Deputy Registrar of the High Court of Tanzania who's also Personal Secretary to the Chief Justice, Hon. Venance Mlingi attending the SEACJF Conference in Zanzibar. Chief Justices from Southern and Eastern Africa region following up the ongoing discussion about 'Court-Annexed ADR as a Transformative Tool for Justice Delivery,' Topic chaired by The Chief Justice of the United Republic of Tanzania, Hon. George Masaju.
Wed, 07 Oct 2026 18:32:22 +0000DJ Bugy wants Kampala to remember how the 2000s felt
When Pius Fortunate Buguzi chose DJing over a career in medicine, he was making a decision that, at the time, may not have looked like the obvious one. Known today as...
RecentlyMusenero Warns Fuel Dealers Against Excessive Profits as Pump Prices Rise
Energy and Mineral Development Minister Dr Monica Musenero has warned oil marketing companies against using tr..
RecentlyPage 804 of 1142 · 22822 stories