Search the region
22809 stories
Qui a réellement pris la « fille au napalm », l'une des photos les plus célèbres au monde ?
Un documentaire controversé remet en question la paternité de l'une des plus célèbres photos de guerre de tous les temps.
RecentlyRwanda calls on older people to play a bigger role in national development
Read the full report from the original source.
RecentlyNo compensation for livestock killed during Samburu operation, Murkomen says
News · Quick read
RecentlyRuto promises to build library, museum at Raila’s mausoleum in Bondo
Read the full report from the original source.
RecentlyPolice officer arraigned over alleged involvement in Nairobi car theft syndicate
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya steps up tourism safety measures after Ebola case
Tourism CS says the government is working with the Health Ministry to strengthen precautions
RecentlyWatoa huduma migodini kupata msukumo wa mtaji kupitia NMB, TAMISA
Benki ya NMB na Tanzania Mining Industry Suppliers Association (TAMISA) zimesaini Makubaliano ya Ushirikiano ya miaka mitano yatakayowapa wanachama wa TAMISA fursa ya kupata huduma za kifedha, elimu ya fedha, ushauri wa biashara na mafunzo. Kupitia makubaliano hayo, NMB itapokea na kutathmini miradi ya wanachama wa chama hicho na kutoa ufadhili kwa miradi itakayokidhi vigezo vya mikopo. Ushirikiano huo pia unalenga kuwajengea uwezo wa kusimamia fedha na kutekeleza kandarasi katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini. Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi, alisema changamoto kubwa kwa watoa huduma wengi migodini imekuwa ni mtaji. Alisema NMB imeimarisha huduma zake za sekta ya madini, ikiwemo dawati maalum la kuwahudumia wasambazaji na watoa huduma. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kamati ya Masoko na Uwekezaji ya TAMISA, Dk Sebastian Ndege, alisema makubaliano hayo yatawasaidia wanachama wa chama hicho kuongeza uwezo wa kushindania zabuni, kupata mitaji na kushiriki kwa tija katika fursa zinazotokana na sekta ya madini.
Wed, 07 Oct 2026 06:00:00 +0000‘Rocket revolution’ opens access to space
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya among 8 African countries to get UK clean energy funding
The funding will support 10 projects across the continent, including two in Kenya
RecentlyHuye Stadium cleared to host Premier League matches after 16-month closure
Read the full report from the original source.
RecentlyFrom bite to fatal disease: The rabies threat
Rabies is a vaccine-preventable viral disease that affects the central nervous system.
RecentlyKATIBU: BUNGE LA TANZANIA LIPO TAYARI KUSHIRIKIANA NA MABUNGE MENGINE
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Ndugu Baraka Leonard, amesema Bunge la Tanzani lipo tayari kujifunza na kushirikishana uzoefu kutoka mabunge mengine Duniani. Katibu wa Bunge ameeleza hayo Oktoba 7, 2026 wakati akitoa hotuba katika Mkutano wa Makatibu wa Bunge wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Makatibu hao wanashiriki Mkutano wa 153 wa IPU unaoendelea jijini Arusha katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC). “Tunatambua kuwa hakuna Bunge linalojua kila kitu, mbinu yetu ni kujifunza kutoka kwa wengine na kushirikishana uzoefu,” amesema. Akizungumia mifumo mbalimbali ya kibunge, amesema hakuna mfumo mmoja ulio bora zaidi ya mwingine na kwamba tofauti ya mifumo hiyo ya kibunge ndiyo inayofanya Umoja huo wa Makatibu wa Bunge kuwa muhimu. “Tunapotazama mifumo tofauti ya kibunge iliyopo hapa, tunakumbushwa kuwa hakuna mfumo mmoja ulio bora zaidi. Wengine mna mfumo wa mabunge mawili, wengine kama Tanzania tuna Bunge moja.Tofauti hii ndiyo inayofanya umoja huu kuwa muhimu sana. “Tunakutana si kupanga ni mfumo gani bora zaidi, bali kuelewa ni nini kinachofanya kazi, kwa nini kinafanya kazi na ni mafunzo gani tunaweza kuyachukua,” amesema katibu wa Bunge. Amesema Umoja wa Makatibu wa Bunge unatoa fursa ya kipekee ya kujifunza kutoka kwa kila Bunge kuhusu taratibu za kibunge, jinsi taasisi za kibunge zinavyohifadhi mwendelezo, kusaidia Wabunge, kukabiliana na mabadiliko na kubaki na ufanisi katika mazingira yanayobadilika kwa kasi. Akizungumzia kuhusu mabadiliko kwenye Mabunge amesema, Bunge la Tanzania linafanyia kazi mazingira ya mabadiliko ya haraka ikiwemo mabadiliko katika ya matarajio ya wananchi, mabadiliko ya kiteknolojia na kuogeza uwazi. “Bunge la Tanzania limeingia katika mfumo wa kidijitali kupitia mfumo wa Bunge Mtandao (e-Parliament), ambao unawawezesha Wabunge kupata nyaraka kwa njia ya mtandao na kufanya kazi bila karatasi. “Pia tumeongeza upatikanaji wa shughuli za Bunge kwa umma. Vikao vya Bunge hurushwa kupitia Televisheni ya Bunge na mitandao ya kijamii. Bunge letu lipo wazi kwa wananchi wanaotaka kufuatilia shughuli moja kwa moja, hasa wanafunzi,” amesema. Katibu wa Bunge aliwakaribisha wageni wote Arusha ambao ni washirika katika usimamizi wa shughuli za kibunge. “Mimi na timu yangu tumeandaa kila kitu kuhakikisha mkutano huu unatoa mazingira muafaka ya kubadilishana uzoefu, kujifunza na kushirikiana kitaalamu. “Arusha kwa muda mrefu imehusishwa na diplomasia, majadiliano, ushirikiano wa kikanda na ushiriki wa kimataifa, Mkutano huu pia unakuja katika wakati muhimu sana katika historia ya taasisi za kibunge nchini Tanzania,” amesema.
Wed, 07 Oct 2026 14:15:56 +0000Tanzania’s Parliament Ready to Learn from Its Peers - Bunge Secretary Baraka Leonard
By TBN Reporter Tanzania’s Parliament is ready to learn from other legislatures and share its own experience, Secretary to the Tanzania Parliament Baraka Leonard said today. Speaking at a meeting of parliamentary secretaries held alongside the 153rd Assembly of the Inter-Parliamentary Union (IPU), which is under way at the Arusha International Conference Centre, Leonard said cooperation between parliamentary administrations helped institutions improve their work. “We recognise that no Parliament knows everything. Our approach is to learn from others and share experiences,” he said. Leonard said there was no single parliamentary system that could be considered best in every circumstance. Some countries have bicameral legislatures, while Tanzania has a unicameral Parliament. Such differences, he said, made professional exchange between parliamentary secretaries valuable. “We are not meeting to decide which system is best, but to understand what works, why it works and what lessons we can take from it,” he said. He said the forum offered an opportunity to learn how legislatures manage parliamentary procedure, preserve institutional continuity, support members of parliament and adapt to rapid change while remaining effective. Tanzania’s Parliament was responding to shifts in public expectations, technological change and demands for greater transparency, Leonard said. He cited the introduction of the e-Parliament system, which allows members of parliament to access documents online and carry out their work with fewer paper records. The Parliament had also expanded public access to its proceedings, he said. Sessions are broadcast on Parliament television and through social media, enabling citizens to follow debates, including students and other members of the public. Leonard welcomed delegates to Arusha, describing them as partners in the administration of parliamentary business. He said his team had worked to create a setting for professional exchange, learning and cooperation. “Arusha has long been associated with diplomacy, dialogue, regional cooperation and international engagement,” he said. “This meeting also comes at an important time in the history of parliamentary institutions in Tanzania.”
Wed, 07 Oct 2026 14:19:05 +0000Sababu rufaa ya Zitto kuhusu CAG Kichere, Profesa Assad kutupwa
Soma zaidi hapa...
RecentlyRwanda and Senegal sign investment and trade cooperation agreement
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya must be ‘clean’ to be credible, says Wada chief
Latest · Athletics
RecentlyProf Kabudi asisitiza majadilino kumaliza changamoto
Read the full report from the original source.
RecentlyWIZARA YA AFYA YAIMARISHA USHIRIKI WA JAMII KUKABILIANA NA VVU
Na Mwandishi Wetu. Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi, Magonjwa ya Ngono na Homa ya Ini (NASHCoP), imeendelea kuimarisha ushiriki wa jamii katika kukabiliana na changamoto za VVU na UKIMWI kupitia mafunzo yanayolenga kuwajengea uwezo viongozi na wadau wa afya katika kutambua changamoto na kutafuta suluhisho zinazozingatia mazingira halisi ya jamii. Mafunzo hayo yamefanyika Mkoani Morogoro na ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa miaka miwili unaofadhiliwa na Global Fund katika mikoa ya Tanga, Morogoro, Geita, Dodoma na Singida. Kupitia mafunzo hayo ya Adaptive Leadership, washiriki wamejengewa uwezo wa kuchambua changamoto za afya kulingana na mazingira ya jamii, kushirikisha wadau mbalimbali na kuandaa suluhisho endelevu, hususan katika kukabiliana na VVU na magonjwa ya ngono. Mwanaharuna Ramadhani Saidi, muelimishaji rika kutoka Taasisi ya TAYOA mkoani Morogoro, amesema mafunzo hayo yamemsaidia kuelewa kwa kina mazingira yanayoweza kuchangia maambukizi ya VVU miongoni mwa vijana, ikiwemo maeneo ya starehe, matumizi ya dawa za kulevya na maeneo ya uchimbaji wa madini. Amesema changamoto ya maambukizi ya VVU haiwezi kuhusishwa na wingi wa watu pekee katika eneo fulani, bali inapaswa kuangaliwa kwa kuzingatia sababu mbalimbali za kijamii na kitabia zinazowazunguka vijana. Kwa upande wake, Hezron Yuda, Mratibu wa Huduma za Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto Wilaya ya Chato mkoani Geita, amesema mafunzo hayo yamempa uelewa zaidi kuhusu umuhimu wa kuishirikisha jamii katika kutambua changamoto za afya na kushiriki katika kutafuta suluhisho. Amesema wataalamu wanapaswa kutambua kuwa jamii yenyewe ina maarifa muhimu kuhusu changamoto zinazowakabili, hivyo ushirikishwaji wake unaweza kusaidia kupata suluhisho linaloendana na mazingira na mahitaji halisi ya wananchi. Naye Ayubu Bwanamadi, Kiongozi wa Dini ya Kiislamu na Katibu wa Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu mkoani Geita, amesema mafunzo hayo yamemsaidia kuelewa kuwa uongozi si suala la kuwa na nafasi au mamlaka pekee, bali ni wajibu wa kutumia nafasi hiyo kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Amesema viongozi wa dini wana nafasi kubwa katika kuwafikia vijana, kuwaelimisha kuhusu afya, maadili na namna ya kujikinga dhidi ya VVU na magonjwa ya ngono. Washiriki wa mafunzo hayo yaliyofanyika Dodoma wameitaka Serikali na wadau wa afya kuendelea kuwekeza katika elimu kwa vijana, kuimarisha ushiriki wa jamii na kuhakikisha afua za kukabiliana na VVU zinazingatia mazingira halisi ya wananchi. Wamesema ushiriki wa jamii na uongozi unaozingatia changamoto zilizopo katika mazingira husika ni muhimu katika kuhakikisha jitihada za kuzuia maambukizi ya VVU na magonjwa ya ngono zinakuwa na matokeo endelevu.
Wed, 07 Oct 2026 14:12:17 +0000Burundi : le Conseil des droits de l’homme renouvelle le mandat du rapporteur spécial
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda records 6.8% growth in industrial output in August
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 809 of 1141 · 22809 stories