Search the region
22799 stories
Health ministry quarantines 10 as Ebola contact tracing expands
Latest · News
RecentlyUK issues fresh travel advisory for Kenya
"Follow advice of local authorities and monitor updates from MoH,” the notice reads
RecentlyWaziri Mkuu awasili Uingereza
Read the full report from the original source.
RecentlyWAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AWASILI UINGEREZA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 7, 2026, amewasili nchini Uingereza, ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini humo. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu ataongoza ujumbe wa Tanzania katika mikutano na wadau, wawekezaji pamoja na viongozi wa kampuni mbalimbali zinazofanya shughuli katika sekta za madini, benki, teknolojia, usafirishaji na miundombinu. Mikutano hiyo inalenga kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji, pamoja na kutangaza fursa mbalimbali zinazopatikana nchini Tanzania kwa wawekezaji kutoka Uingereza na maeneo mengine.
Wed, 07 Oct 2026 10:59:07 +0000Can code save onshore oil? Inside Heirs Energies’ $1.1 billion operational experiment
Read the full report from the original source.
RecentlyPassenger dies aboard Kenya Airways flight to Lagos
Read the full report from the original source.
RecentlyPassenger dies aboard Kenya Airways flight from Nairobi to Lagos
Read the full report from the original source.
RecentlyIda Odinga: Raila's enemies were temporary
Ida said understanding Kenya’s politics also meant understanding Raila, noting that former political opponents would eventually come together.
RecentlyTanzania yawafungulia milango Jumuiya ya Ulaya kuwekeza fursa za madini muhimu
Read the full report from the original source.
RecentlyL'histoire de 3 000 ans cachée derrière le symbole @ (et pourquoi il est lié à la céramique)
À Taïwan, on appelle le signe @ « petite souris ». En russe, c'est un « chien », et en néerlandais, une "queue de singe". Le symbole @ est un miroir, et son histoire remonte à des milliers d'années.
RecentlyM23 yasuye serivise z'umupaka wa Congo n'u Rwanda
Read the full report from the original source.
RecentlyTNCC calls for technological tax administration to supports business growth in Tanzania
ARUSHA: TANZANIA’S private sector has called for a modern, fair and transparent tax administration system that uses technology to support…
RecentlyTanzania’s horticulture seeks stronger global investment, technological partnerships to advance its productivity
ARUSHA: Tanzania’s horticulture sector is seeking stronger international investment and technology partnerships to raise productivity, competitiveness and market opportunities for…
RecentlyM23 yasuye isoko mpuzamipaka w'u Rwanda na Congo
Read the full report from the original source.
RecentlySafaricom Launches Ziidi Shari’ah Money Market Fund on M-PESA
Read the full report from the original source.
RecentlyNameless, Mejja, Breeder LW Lead Star-Studded Safari Sevens Entertainment Line-Up
Latest · Entertainment
RecentlyGeopolitical crisis in the Middle East hurts Tanzania as its fuel prices hit heights
Read the full report from the original source.
RecentlyNCIC censures CS Ruku over divisive remarks, says CSs must exercise restraint
Latest · NATIONAL NEWS
RecentlyTanzania, Uganda move to share experience on local participation in oil and gas projects
DODOMA: TANZANIA and Uganda are set to deepen the exchange of experience on local participation in oil and gas projects,…
RecentlyAGA KHAN YABUNI TEKNOLOJIA YA AI KUBAINI MAGONJWA KUPITIA SAUTI YA KIKOHOZI
Na Mwandishi Wetu CHUO Kikuu cha Aga Khan kimekuja na Kikohozi Classifier, teknolojia inayotumia akili bandia (AI) kuchanganua sauti za kikohozi kwa lengo la kusaidia kubaini magonjwa ya mfumo wa upumuaji, ikiwamo Kifua Kikuu (TB), pumu na magonjwa sugu ya mapafu (COPD). Akizungumza kuhusu ubunifu huo, Msimamizi wa Mradi na Profesa Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Aga Khan, Dkt. Kahabi Isangula, amesema teknolojia hiyo imetengenezwa nchini Tanzania kwa lengo la kuwezesha uchunguzi wa magonjwa hayo kufanyika kwa urahisi, haraka na kwa gharama nafuu. Amesema mfumo huo unalenga kutengeneza kifaa kisichohitaji kuingizwa ndani ya mwili wa mgonjwa na ambacho kinaweza kutumika katika vituo vya afya vya ngazi za chini na maeneo ya jamii, hivyo kuongeza fursa ya wananchi kupata huduma za uchunguzi. Kwa mujibu wa Dkt. Isangula, watafiti wanatarajia kukusanya na kurekodi sauti za kikohozi za watu 30,000 kwa kutumia simu janja na vifaa maalumu vya kurekodia. Taarifa hizo zitatumika kujenga kanzidata kubwa ya sauti za kikohozi ambayo itasaidia katika uundaji wa mfumo wa AI. Amesema mfumo huo utachanganua sifa mbalimbali zinazopatikana katika sauti ya kikohozi na kuzihusianisha na viashiria vinavyoweza kuonyesha uwepo wa TB, pumu au COPD, hatua inayotarajiwa kusaidia wataalamu wa afya katika mchakato wa uchunguzi. Utekelezaji unafanyika kwa ushirikiano na Maabara ya Teknolojia Chipukizi za Afya (Emerging Technologies for Health) ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) pamoja na Chuo Kikuu cha Warwick cha Uingereza, kwa ufadhili wa UK Research and Innovation (UKRI) kupitia Medical Research Council (MRC). Dkt. Isangula amesema mpango huo umepitishwa na Wizara ya Afya pamoja na Programu ya Taifa ya Kudhibiti Kifua Kikuu na Ukoma, huku shughuli za utafiti zikifanyika katika maeneo ya Dar es Salaam, Dodoma, Shinyanga, Iringa na Kilimanjaro. Ameongeza kuwa baada ya kukamilika kwa utafiti na uchambuzi wa taarifa, hatua inayofuata ni kutengeneza programu ya simu janja, Kikohozi App, itakayounganishwa na mfumo wa AI na kufanyiwa majaribio kabla ya kuanza kutumika kwa upana. Kwa upande wake, Mtafiti Msaidizi kutoka Chuo Kikuu cha Aga Khan na Shule ya Uuguzi na Ukunga Kanda ya Afrika Mashariki (SONAM EA), Devotha Kibanga, amesema ukusanyaji wa sauti unahusisha wagonjwa wapya ambao hawajaanza kutumia dawa au walioanza matibabu ndani ya kipindi kisichozidi miezi mitatu. Amesema wakati wa zoezi hilo, mgonjwa huombwa kukohoa huku sauti ikirekodiwa kwa simu janja. Taratibu za usalama huzingatiwa, ikiwa ni pamoja na matumizi ya barakoa na usafishaji wa vifaa kwa sanitaiza baada ya zoezi. Ukusanyaji wa sauti hizo ulianza Machi mwaka huu na unatarajiwa kuendelea hadi Septemba 2027, wakati mradi mzima ukitarajiwa kukamilika mwaka 2028. Katika kipindi hicho, watafiti wataendelea kukusanya na kuchambua taarifa pamoja na kuendeleza mfumo huo kwa ajili ya matumizi yanayokusudiwa.
Wed, 07 Oct 2026 10:28:50 +0000Page 815 of 1140 · 22799 stories