Search the region
22767 stories
EU seeks ways to make expansion more palatable to members
Read the full report from the original source.
RecentlyKileleshwa voters put security, drainage ahead of party politics as MCA race remains open
Kenya · 5 hours ago
RecentlyPresident Ruto to preside over official commissioning of Raila mausoleum in Bondo
NATIONAL NEWS · 4 hours ago
RecentlyKenya, Rwanda deepen security and justice cooperation with 11 new bilateral agreements
Latest · Africa
RecentlyELIMU YA UDHIBITI YAWAFIKIA WENYE ULEMAVU TABORA
Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi,Mhandisi Karim Ally, akitoa elimu kwa wanachama wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu ( SHIVYAWATA) mkoa wa Tabora leo Oktoba 6,2026. Na Mwandishi Wetu,TABORA Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi, leo, tarehe 6/10/2026, imekutana na wanachama wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) kwa mkoa wa Tabora, na kuwaelimisha kuhusu haki na wajibu wao katika huduma za nishati na maji. Wanachama hao pia wamepata elimu kuhusu utaratibu wa kuwasilisha malalamiko na namna yanavyoshughulikiwa, kanuni za ubora wa huduma ya maji, matumizi sahihi na salama ya gesi ya kupikia na umuhimu mikataba ya huduma kwa wateja huku wakisisitizwa kutumia mafundi umeme wenye leseni zilizotolewa na EWURA. Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mha. Karim Ally, akifungua warsha hiyo iliyofanyika katika Ofisi za EWURA Kanda ya Magharibi, mjini Tabora, ameeleza kuwa ni utaratibu wa Mamlaka kukutana na wadau mbalimbali ikiwemo watu wenye ulemavu ili kuwaelimisha kuhusu udhibiti sanjari na kupokea mrejesho kuhusu huduma zinazodhibitiwa. Aidha, washiriki wameiomba EWURA kuendeleza elimu hiyo kwa kuwafikia wanachama wa SHIVYAWATA katika maeneo mbalimbali nchini na pia kwa makundi mengine ya aina hiyo ili kuimarisha uelewa wao katika masuala ya kiudhibiti. Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi,Mhandisi Karim Ally, akitoa elimu kwa wanachama wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu ( SHIVYAWATA) mkoa wa Tabora leo Oktoba 6,2026. Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi,Mhandisi Karim Ally, akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutoa elimu kwa wanachama wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu ( SHIVYAWATA) mkoa wa Tabora leo Oktoba 6,2026. Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi,Mhandisi Karim Ally, akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutoa elimu kwa wanachama wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu ( SHIVYAWATA) mkoa wa Tabora leo Oktoba 6,2026. Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi,Mhandisi Karim Ally, akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutoa elimu kwa wanachama wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu ( SHIVYAWATA) mkoa wa Tabora leo Oktoba 6,2026.
Tue, 06 Oct 2026 17:59:14 +0000Musasizi Urges UDB to Mobilise Long-Term Capital as Bank Commissions New Head Office
Read the full report from the original source.
RecentlyPolice arrest CN Sugar agent as land claim spills into fraud probe
Police in Busia District have detained a CN Sugar agent after allegations of misrepresentation and fraud over land claims by CN Sugar Limited. Mr Joseph Nyongeza, linked to the disputed land...
RecentlyDeadline Extension for Bids Submission – Aircraft Procurement Tender
Read the full report from the original source.
RecentlyMPs order arrest of two officials over digital number plate pricing
Two government officials were on Tuesday handed over to the Parliamentary Police after a parliamentary committee accused them of giving false information under oath about the pricing of digital number plates....
RecentlyWanga: Oburu Oginga recovering steadily
ODM chairperson says she visited Oburu on Tuesday evening as the senator recovers
RecentlyWhen streets become pharmacies: Booming illicit markets in Central Africa
Read the full report from the original source.
RecentlyPearl Bank appoints Steven Mwesige to lead cybersecurity
Uganda's state-owned Pearl Bank has appointed Steven Mwesige as its chief information security officer, confirming him in a role he had held in an acting capacity for a year. Mr Mwesige,...
RecentlyCrypto accelerator Alliance invests $500,000 in Kenyan fintech Cloud9
Read the full report from the original source.
RecentlyWanga: Oburu Oginga recovering steadily, in high spirits
ODM chairperson says she visited Oburu on Tuesday evening as the senator recovers
RecentlyMagoli | Tanzania 3-1 Kenya | U23 AFCON Qualifiers 06/10/2026
Selemani Mwalimu amefunga magoli mawili, kikosi cha Tanzania U23 kikishinda 3-1 dhidi ya Kenya U23, katika mchezo wa marudiano kusaka tiketi ya kufuzu AFCON-U23 mwaka 2027, ukipigwa kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Aliyetangulia kufunga alikuwa ni Shekhan Ibrahim, kabla ya Selemani kufunga mawili, moja likiwa ni la penati.. na Kenya wakipata la kufutia machozi kupitia kwa Andres Odhiambo. Hata hivyo ushindi huo haukutosha kuivusha Tanzania, na ikatupwa nje kwa jumla ya mabao 5-4 kufuatia kichapo cha 4-1 katika mchezo wa mkondo wa kwanza. Mechi
2026-10-06T17:14:59+00:00Tanzania 3-1 Kenya | HIghlights | U23 AFCON Qualifiers 06/10/2026
Selemani Mwalimu amefunga magoli mawili, kikosi cha Tanzania U23 kikishinda 3-1 dhidi ya Kenya U23, katika mchezo wa marudiano kusaka tiketi ya kufuzu AFCON-U23 mwaka 2027, ukipigwa kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Aliyetangulia kufunga alikuwa ni Shekhan Ibrahim, kabla ya Selemani kufunga mawili, moja likiwa ni la penati.. na Kenya wakipata la kufutia machozi kupitia kwa Andres Odhiambo. Hata hivyo ushindi huo haukutosha kuivusha Tanzania, na ikatupwa nje kwa jumla ya mabao 5-4 kufuatia kichapo cha 4-1 katika mchezo wa mkondo wa kwanza.
2026-10-06T17:30:08+00:00Parliament Calls for Increased Support to Smallholder Farmers
Read the full report from the original source.
RecentlyMPs Raise Alarm Over Falling Shilling, Escalating Fuel Costs
Read the full report from the original source.
RecentlyGov't plans Ksh.70B Ebola response fund with support from US, World Bank
Read the full report from the original source.
RecentlyCMA clears seven firms to facilitate Dangote refinery IPO
Latest · Business
RecentlyPage 830 of 1139 · 22767 stories