Unganishwa

Search the region

22748 stories

Uncategorized · The Star Kenya

Mobile money market share (%)

Safaricom’s M-Pesa maintains its dominant position in the mobile financial ecosystem.

Recently
National · Issa Michuzi

NAIBU WAZIRI MWANA FA AIPA BARAKA GARASA YA LAURA PETTIE.

Mwandishi wa riwaya ya Garasa, Laura Pettie Kissakwa, amekutana na Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo na kumkabidhi kitabu hicho kama zawadi. Tukio hilo lililoambatana na ubadilishanaji wa saini za kipekee kati ya mwandishi huyo na Naibu Waziri. Katika makabidhiano hayo, Laura Pettie alimsainia Naibu Waziri nakala ya Garasa kwa autograph yake kama mwandishi wa kitabu hicho. Naye, Naibu Waziri aliweka autograph yake katika nakala hiyo kwa kalamu yenye wino wa kijani kama ishara ya heshima ya kuipokea kazi hiyo. Tukio hilo limeifanya nakala hiyo ya Garasa kuwa na thamani ya kipekee ya kihistoria na kifasihi, kwa kuwa imepokelewa na kusainiwa na mtu huyo katika nafasi mbili zinazotambulika katika jamii: kwanza, kama Mheshimiwa Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo, na pili, kama msanii nguli wa muziki. Kwa upande wa Laura Pettie, makabidhiano hayo yanaipa Garasa nafasi nyingine katika safari yake ya kutambulika na kuthaminiwa katika medani ya fasihi na sanaa nchini, huku yakifungua fursa ya kazi hiyo kuhusishwa na wadau mbalimbali wa sanaa na utamaduni. Garasa ni riwaya iliyotokana na muswada ulioshinda Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere, kipengele cha Riwaya, mwaka 2024. Kitabu hicho kilizinduliwa rasmi mwaka 2026 na Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, na kimesambazwa na kinaendelea kusomwa katika shule za sekondari za Serikali nchini Tanzania. Makabidhiano hayo yanaweza kutazamwa pia kama mfano wa namna fasihi na muziki zinavyoweza kukutana kupitia sanaa, huku autograph za pande zote zikibeba kumbukumbu ya kipekee ya mwingiliano kati ya mwandishi wa riwaya na msanii mwenye nafasi ya uongozi katika sekta ya sanaa. Hongera sana Laura Pettie na karibu tena ulingoni.

Tue, 06 Oct 2026 12:17:56 +0000
Uncategorized · The Standard

How Kenya brought Ebola to its doorstep

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

La première dame sensibilise les élèves à la prévention des maladies transmissibles

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KT Press

Rwanda Says Growth, Not Higher Taxes, Will Pay Its Debt

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

CHIMP SPORT: Uganda Cubs Face Regional Test on Road to AFCON

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

UEDCL Strengthens Butebo Power Network with New Projects

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Why Soil Testing is the Fool-Proof Answer to Modern Farming, Food Security

Latest · Fifth Estate

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

JE WAJUA SABABU ZA BEI ZA MAFUTA KUBADILIKA NCHINI?

Tue, 06 Oct 2026 08:30:00 +0000
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Vers une loi portant accès à l’information publique

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Ebola Contact Tracing: Jambojet, Health Officials Seek Flight JM8523 Passengers

NATIONAL NEWS · Quick read

Recently
Uncategorized · Capital FM

Swamibapa one win from title glory as Samaj B retains Div 1

Latest · Cricket

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Faru weusi kuongeza watalii Mkomazi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MKUTANO WA CATA UANGAZIE MIJADALA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA UKUSANYAJI MAPATO - MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema matumizi ya mifumo ya kisasa ya teknolojia ni chachu katika ukusanyaji wa kodi hivyo yanapaswa kutiliwa mkazo ili kuongeza uwazi, kuimarisha usimamizi wa kodi na kurahisisha ulipaji kodi. Makamu wa Rais ameyasema hayo jijini Arusha Oktoba 06, 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa wa Chama cha Wasimamizi wa Kodi wa Jumuiya ya Madola (CATA) na kueleza kuwa teknolojia ni nyenzo muhimu katika kuboresha ukusanyaji wa mapato ya ndani na kuimarisha huduma kwa walipa kodi ndiyo maana mkutano huo umekuja na kauli mbiu inayogusa teknolojia. Amesema pamoja na umuhimu wa teknolojia, mafanikio katika ukusanyaji wa mapato hayawezi kutegemea teknolojia pekee, bali yanahitaji sera nzuri, madhubuti, zinazoeleweka na zinazotabirika, pamoja na usimamizi wa kodi wenye ufanisi na unaokidhi mahitaji ya walipakodi. Makamu wa Rais pia amesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kimataifa katika masuala ya kodi, akibainisha kuwa biashara zinazovuka mipaka, makampuni ya kimataifa, miamala ya kidijitali pamoja na mali za kifedha zinazohifadhiwa nje ya nchi zimefanya ushirikiano kati ya mamlaka za kodi kuwa muhimu zaidi. Amesema Tanzania inaendelea kuimarisha ushiriki wake katika ushirikiano wa kimataifa wa kodi, ikiwemo kubadilishana taarifa za kodi na kutoa msaada wa kiutawala baina ya nchi huku akieleza kuwa ushirikiano huo ni muhimu katika kuongeza uhakika wa kodi, kubadilishana taarifa, kuzuia na kutatua migogoro ya kikodi. Amesema uratibu mzuri kati ya nchi unaweza kusaidia kulinda mapato ya Serikali huku ukipunguza uwezekano wa kutozwa kodi mara mbili na kuondoa sintofahamu kwa wawekezaji halali. “Nchi inayovutia uwekezaji siyo ile isiyokuwa na kodi, bali ni ile yenye kanuni za kodi zilizo wazi, thabiti na zinazosimamiwa kwa haki, zikiungwa mkono na taratibu bora za forodha na ukusanyaji wa mapato,” amesema. Awali akizungumza katika mkutano huo Rais wa CATA Mhe. Abu Tariq Jamaluddin amesema matumizi ya teknolojia ya kisasa yamekuwa yakisaidia nchi wanachama wa CATA kurahisisha utawala wa kodi kwa kuweka mazingira rahisi ya ukusanyaji wa mapato na kuwasaidia walipakodi kufuata sheria za kodi. Amesema kauli mbiu ya mkutano huo inalenga kuhimiza matumizi zaidi ya teknolojia na kueleza kuwa CATA itaendelea kuwezesha matumizi ya teknolojia katika ukusanyaji wa kodi ili kuimarisha usimamizi wa kodi baina ya nchi wanachama. Amesema kupitia mkutano huo nchi washiriki wataweza kubadilishana ujuzi na uzoefu kuhusu usimamizi wa kodi na matumizi ya teknolojia. Kwa upande wake Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambao ndiyo waandaaji wa mkutano huo Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema Mamlaka hiyo imepiga hatua kubwa katika matumizi ya teknolojia ambayo yameboresha zaidi huduma za usimamizi wa kodi kwa kuongeza uwazi na ufanisi. Amesema kupitia matumizi ya teknolojia TRA imekuja na mfumo wa IDRAS unaosimamia kodi za ndani ambao unamuwezesha Mlipakodi kutoa risiti za kielektroniki kwa kutumia simu ya mkononi bila kuwa na mashine hali ambayo imeongeza uhiari katika kulipa kodi na kupunguza kuonana kwa walipakodi na maofisa wa TRA. Amesema kupitia mkutano huo wataweza kubadilishana ujuzi na mataifa mengine akieleza kuwa matumizi ya teknolojia ya kisasa pia kwa Tanzania yameongeza wigo wa kodi kutokana na kuwapa uhuru walipakodi kujisajili kupitia mtandao na kupata namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN). Mkutano huo utadumu mpaka Oktoba 09 mwaka huu.

Tue, 06 Oct 2026 12:07:48 +0000
Uncategorized · UN News Burundi

Security, sacrifice or opportunity: Visions differ over effective climate action

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Uganda Housing Dialogue Shifts Focus From Deficit to Practical Solutions

Read the full report from the original source.

Recently
Health · Chimpreports

Don’t Act Like Doctors, Tayebwa Tells Mitooma Community Health Workers

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Man Arrested for Defrauding Russian Tourist $2,215 in Online Scam

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Jambojet says working with authorities to trace flight contacts after Ebola case

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

How Nairobi’s Trendsetters Ruled The Fashion Eras At The ‘Third Flow Experience @30’

Entertainment · 4 hours ago

Recently

Page 838 of 1138 · 22748 stories