Unganishwa

Search the region

22740 stories

Uncategorized · The Star Kenya

Jambojet moves to trace Ebola contacts on Entebbe-Nairobi flight

The airline says it is working with health authorities to identify possible contacts

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania affirms its position as major trade gateway for Zambian businesses

NDOLA: TANZANIA is seeking to strengthen its position as a preferred trade gateway for Zambian businesses as the Tanzania Ports…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

RAIS DKT. MWINYI: AFRIKA NA NCHI ZA GHUBA ZIIMARISHE USHIRIKIANO WA AJIRA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa wito kwa nchi za Afrika na zile za Ghuba (GCC+) kuimarisha ushirikiano katika uhamaji wa wafanyakazi ili kuhakikisha unakuwa salama, wenye haki, unaozingatia taratibu na wenye manufaa kwa pande zote. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo, tarehe 06 Oktoba 2026, katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam, akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Doha kuhusu Uhamaji salama wa Wafanyakazi Amesema ahadi za kisiasa zinapaswa kugeuzwa kuwa sera, makubaliano na programu zinazotekelezeka zitakazoboresha maisha ya wafanyakazi wahamiaji, familia zao, waajiri na uchumi wa nchi. Aidha, Rais Dkt. Mwinyi amesisitiza umuhimu wa kulinda haki za wafanyakazi, kuboresha mifumo ya uajiri, kuimarisha mikataba ya pande mbili kuhusu ajira na kutumia takwimu sahihi katika kupanga sera za uhamaji wa wafanyakazi. Halikadhalika, Rais Dkt. Mwinyi amesema Tanzania itaendelea kuimarisha ushirikiano kati ya Afrika na nchi za Ghuba( GCC+) kwa kuzingatia misingi ya manufaa ya pamoja na uwajibikaji wa pamoja. Mkutano huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali, akiwemo Waziri wa Kazi wa Qatar, Mhe. Dkt. Ali bin Samikh Almarri; Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Clement Sangu; Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana na Uwezeshaji Zanzibar, Mhe. Ali Suleiman Ameir Mrembo; Balozi wa Tanzania nchini Qatar, Mhe. Habibu Awesi Mohamed, pamoja na Taasisi mbalimbali za kimataifa, wajumbe kutoka nchi zaidi ya 33, zikiwemo nchi za Afrika, Nchi Wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Nchi za Ghuba (GCC+), Jordan na Lebanon.

Tue, 06 Oct 2026 11:04:49 +0000
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Poursuite des travaux de construction du bâtiment administratif de la commune Matongo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

L’épidémie de choléra maîtrisée dans les districts sanitaires de Ndava et Cibitoke

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Pesa is taking its cross-border payments business to Australia

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Kenya's exports to Uganda and USA (Sh bn): 2023 - 2026

American-bound exports expanded rapidly over the four-year period

Recently
Uncategorized · The Standard

How Kenya courted Ebola: The virus that came close, eventually entered the border

The threat began thousands of kilometres away in the Democratic Republic of Congo, but geography and human movement steadily pulled it closer.

Tue, 06 Oct 2026 14:00:00 +0300
Business · HabariLeo

Tanzania yatakiwa kutumia madini kujenga viwanda

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

IPU calls for fully participation of persons with disabilities in politics, and decision-making processes

ARUSHA: THE Inter-Parliamentary Union (IPU) has called on parliaments worldwide to ensure the full participation of persons with disabilities in…

Recently
Uncategorized · Capital FM

Alliad launches Empowering Africa podcast to drive continent’s growth from ambition to action

NATIONAL NEWS · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

KICD begins distributing Grade 11 textbooks ahead of 2027 Senior School transition

NATIONAL NEWS · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Spika: Dunia inapaswa kushirikiana, hakuna upande unaoweza kufanikiwa bila mwingine

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Maslahi ya taifa yawe kipaumbele mikataba ya madini

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UBC

US-German trio wins medicine Nobel for illuminating the brain

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

NSSF yatunukiwa cheti ubora wa huduma

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

WAANDISHI WA KIMATAIFA WAKOSHWA NA UZURI WA NGORONGORO

Waandishi nguli wa habari za michezo na burudani kutoka sehemu mbalimbali duniani, walioko nchini Tanzania kwa ziara ya kiutalii na kufuatilia maandalizi ya AFCON 2027, Oktoba 5, 2026 wamefika katika Hifadhi ya Ngorongoro na kushuhudia utajiri wa vivutio vya utalii nchini. Katika ziara hiyo, waandishi hao wamejionea wanyamapori mbalimbali wakiwemo simba, faru, twiga na wengine, huku wakipata fursa ya kutembelea pia Makumbusho ya Binadamu wa Kale na kujifunza historia ya mwanadamu. Waandishi hao wamesema ziara hiyo imewapa picha halisi ya Tanzania, wakisisitiza kuwa wageni watakaokuja nchini kwa ajili ya AFCON 2027 hawatapata fursa ya kufurahia mpira pekee, bali pia watapata nafasi ya kutembelea vivutio mbalimbali na kujionea uzuri, historia na utamaduni wa Tanzania. “Hii ndiyo Tanzania! Ukija kwa AFCON 2027, hutafurahia mpira tu—utapata pia nafasi ya kugundua maajabu ya Tanzania kama Ngorongoro.”

Tue, 06 Oct 2026 10:50:30 +0000
Uncategorized · Techweez

ADaM: The Outbreak Tracking Tool That Could Help Contain Ebola in Kenya

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Dr Mutiso Murder: Husband asks court to keep five accused in custody

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ngetich, Sawe nominated for global award

Sawe currently holds the world record in the marathon

Recently

Page 841 of 1137 · 22740 stories