Unganishwa

Search the region

22731 stories

Uncategorized · Capital FM

Unilever invests Sh70m in solar at Nairobi factory

Business · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Kenya confirms first Ebola case in Nairobi

The Ministry of Health said the patient is a Kenyan citizen who has been living in the DRC

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Ce que l'échec de l'exécution de Christa Pike nous apprend sur la peine de mort aux États-Unis

L'échec de l'exécution de Christa Pike, condamnée à mort dans le Tennessee, a relancé le débat sur la peine de mort et sur la manière dont elle est appliquée aux États-Unis.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Le Nigeria pleure la mort de 32 personnes dans le crash d'un avion militaire dans un marais

Le président Bola Tinubu décrit l'accident comme un «moment douloureux» pour l'armée et pour toute la nation.

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

COPED poursuit la sensibilisation à la protection de l’environnement

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

TASAC, NBS KUANZA SENSA MAALUMU YA VYOMBO VYA MAJINI TANZANIA BARA

Na Mashaka Mhando, Tanga SERIKALI kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imeanza maandalizi ya kufanya sensa maalumu ya vyombo vyote vya majini Tanzania Bara ili kuwezesha mipango sahihi ya maendeleo, usalama, na huduma za uokozi. Sensa hiyo ya kimkakati itahusisha vyombo vyote vya majini bila kujali ukubwa au eneo vinapofanyia shughuli; ikiwemo meli, boti, mashua, mitumbwi, pamoja na karakana zinazojihusisha na ujenzi wa vyombo hivyo. Akizungumza na kituo hiki, Ofisa Mfawidhi wa TASAC Mkoa wa Tanga, David Chilagi, amesema zoezi hilo linalenga kuibua idadi halisi, maeneo vilipo, pamoja na aina ya vyombo vinavyotumika katika shughuli za usafirishaji na uvuvi. "Tunapotambua idadi halisi ya vyombo na maeneo vilipo, tunakuwa na uwezo wa kujua wapi tunapaswa kuongeza elimu ya usalama, wapi tunahitaji kuimarisha huduma za utafutaji na uokozi, na wapi wananchi wanahitaji kupewa kipaumbele katika mipango ya maendeleo," amesema Chilagi. Kwa Mkoa wa Tanga, zoezi hilo litafanyika katika maeneo mbalimbali yenye vyombo vya majini, huku likipanuliwa pia kwenye mikoa jirani ikiwemo Kilimanjaro (Bwawa la Nyumba ya Mungu) na Manyara (Mto wa Mbu), ili kuhakikisha hakuna chombo kinachorukwa iwe kipo baharini, mtoni, ziwani au kwenye mabwawa. Kwa upande wake, Mtakwimu kutoka NBS, Meshack Alfred, amesema ushiriki wao utasaidia kupatikana kwa takwimu rasmi na sahihi za kisekta kuhusu usafirishaji majini, ambazo zitatumika moja kwa moja katika kufanya maamuzi na mipango ya maendeleo ya Serikali. Ameongeza kuwa takwimu hizo zitasaidia pia kubaini mahitaji halisi ya wavuvi na wadau wengine, huku akisisitiza kuwa NBS itahakikisha ubora na usahihi wa taarifa zitakazokusanywa. Kufuatia hatua hiyo, TASAC na NBS zimetoa wito kwa wamiliki wa vyombo vya majini, wavuvi, na wadau wote wa sekta hiyo kutoa ushirikiano kikamilifu kwa kutoa taarifa sahihi wakati wa zoezi hilo, ili kuiwezesha nchi kuwa na kanzidata (database) inayoonyesha uhalisia wa sekta ya usafiri majini.

Tue, 06 Oct 2026 08:35:04 +0000
Uncategorized · DW Afrique

Des médiateurs de l’UA à Goma, en RDC

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Moderniser les compétences et les plateaux techniques pour lutter efficacement contre les maladies du cœur

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Germany's ex-spy chief arrested for espionage

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Techweez

Gemini Could Soon Call Your Mom for You And Do the Talking

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Ruto congratulates Abiy Ahmed on re-election, vows closer Kenya-Ethiopia ties

NATIONAL NEWS · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Daily News

Speaker Zungu elected President of 153rd IPU Assembly

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

BREAKING NEWS: Kenya confirms its first ever Ebola case

Kenya has confirmed its first case of Ebola. Health Cabinet Secretary Aden Duale, speaking to the press on Ebola preparedness in Nairobi, said the patient was a Kenyan citizen living…

Recently
Uncategorized · Capital FM

OpenAI admits response to Australian government hacks ‘not good enough’

Latest · technology

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Les parents appelés à mieux encadrer les enfants face aux influences des réseaux sociaux

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Nigeria mourns as 32 killed in military plane crash

Latest · Africa

Recently
Uncategorized · Daily News

DSE records surge in equity turnover

DAR ES SALAAM: THE value of equity turnover at the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) surged 231.2 per cent…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

NSSF YATUNUKIWA ISO 9001:2015, YAAHIDI HUDUMA BORA ZAIDI

Yazindua Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026 Kilimanjaro, Oktoba 5, 2026 Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umefikia hatua muhimu katika kuimarisha ubora wa huduma baada ya kutunukiwa Cheti cha ISO 9001:2015 cha Mfumo wa Usimamizi wa Ubora na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uhakiki na ithibati ya mfumo wake wa usimamizi wa ubora. Hatua hiyo inaweka msingi muhimu kwa Mfuko kuendelea kuimarisha utendaji, uwajibikaji na utoaji wa huduma bora kwa wanachama, waajiri na wadau wake. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kitaifa wa Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026 mkoani Kilimanjaro, Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Nurdin Babu, aliipongeza NSSF kwa kupata cheti hicho, akisema ni ishara ya juhudi zinazofanywa na Mfuko katika kuhakikisha huduma zinazotolewa zinaendelea kuimarika. Mhe. Babu pia aligusia hatua ya Serikali ya kutoa msamaha wa tozo kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango, akiwataka kutumia fursa hiyo kurekebisha madeni yao na kuendelea kutimiza wajibu wa kulipa michango kwa wakati. Naye, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Bw. Masha Mshomba, alisema katika jitihada za kuboresha huduma, Mfuko ulikamilisha mchakato wa kupata Cheti cha ISO 9001:2015 cha Mfumo wa Usimamizi wa Ubora hadi kufikia Juni 2026, hatua inayoonesha dhamira ya NSSF ya kuhakikisha huduma zake zinaendelea kutolewa kwa viwango bora. “Cheti hiki kinaonesha dhamira ya Mfuko ya kuendeleza huduma bora na uwajibikaji. Hivyo, natumia nafasi hii kuwapongeza TBS kwa kazi kubwa waliyoifanya hadi kufanikisha upatikanaji wa cheti hicho, pamoja na watumishi wote wa NSSF,” alisema Bw. Mshomba. Kwa mujibu wa Bw. Mshomba, Mfuko pia umepata mafanikio makubwa katika utekelezaji wa majukumu yake, ikiwemo uandikishaji wa wanachama, ukusanyaji wa michango, uwekezaji, ulipaji wa mafao pamoja na matumizi ya TEHAMA. Alibainisha kuwa mafanikio hayo yanaenda sambamba na ukuaji mkubwa wa Mfuko, ambapo thamani yake imeongezeka kutoka shilingi trilioni 9.8 Juni 2025, hadi shilingi trilioni 11.42 Juni 2026, sawa na ongezeko la asilimia 16. “Mfuko umekua kwa kiwango kikubwa katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutokana na kazi kubwa inayofanyika pamoja na ushirikiano kutoka kwa waajiri na wanachama. Hivyo, nampongeza Mhe. Rais kwa kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini, jambo ambalo limechangia ongezeko kubwa la waajiri,” alisema Bw. Mshomba. Aidha, alisema NSSF imepiga hatua katika kuboresha utoaji wa mafao, ambapo wastani wa muda wa kushughulikia na kulipa mafao umepungua kutoka siku 63 mwaka 2021 hadi siku 19 katika mwaka wa fedha 2025/26. Bw. Mshomba alisema matumizi ya mifumo ya kidijitali yameendelea kurahisisha huduma kwa wanachama na waajiri, kwa kuwa sasa wanaweza kupata huduma mbalimbali kwa njia ya mtandao bila kulazimika kufika ofisini, hatua inayolenga kupunguza usumbufu na kuongeza ufanisi wa huduma. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Uthaminishaji, Takwimu na Usimamizi wa Hadhari wa NSSF, Bw. Ibrahim Maftah, alisema kupata Cheti cha ISO 9001:2015 hakukuwa tukio la siku moja, bali ni matokeo ya juhudi za pamoja, mipango madhubuti, kujifunza, kujitathmini na kuboresha mifumo ya kazi kwa kipindi kirefu. “Safari hii tuliianza kwa kupitia michakato yetu ya kazi, kuiboresha na kuhakikisha taratibu mbalimbali zinaendana na viwango vilivyowekwa. Tuliandaa nyaraka za mifumo ya ubora na kutoa mafunzo kuanzia ngazi ya Bodi ya Wadhamini hadi kwa watumishi wote. Baadaye ulifanyika ukaguzi na kubainika kuwa tumekidhi vigezo vyote vilivyowekwa, hatimaye tukatunukiwa cheti hicho,” alisema Bw. Maftah. Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Ashura Katunzi, Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora, Mhandisi Abdallah Kileo, alisema cheti hicho ni ushahidi wa dhamira ya Bodi, Menejimenti na watumishi wa NSSF katika kuzingatia viwango vya kimataifa vya ubora. Alisema cheti hicho kitasaidia kuhakikisha huduma zinatolewa kwa kiwango kinachofanana katika ofisi za NSSF nchini, kupunguza urasimu na kuimarisha mifumo ya utoaji huduma inayokwenda sambamba na maendeleo ya teknolojia. Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali Watu na Utawala, Bw. Ekwabi Mujungu, alisema ubora wa huduma unaanzia ndani ya taasisi, akiwataka watumishi kuvaa “viatu vya mwanachama na mteja” wanapotekeleza majukumu yao. Kwa upande wake, Meneja wa Huduma kwa Wateja wa NSSF, Bw. Robert Kadege, alisema Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026 ni fursa ya kuwakumbuka na kuwashukuru wateja, kutambua mchango wa waajiri na watumishi, pamoja na kupata maoni yao kuhusu huduma zinazotolewa. Alisema maoni hayo ni muhimu katika kubaini maeneo yanayohitaji maboresho na kuhakikisha Mfuko unaendelea kukidhi na kuvuka matarajio ya wateja. Awali, Meneja wa NSSF Mkoa wa Kilimanjaro, Bi. Audrey Claudius, alisema mkoa huo unaendelea kutoa huduma kupitia Ofisi ya Mkoa, Ofisi ya Wilaya ya Hai na vituo vya huduma vya Rombo, Same na TPC, huku ukitumia mifumo ya kidijitali kuongeza ufanisi. Akifafanua mwelekeo wa NSSF, Mkurugenzi wa Uendeshaji, Bw. Omary Mziya, alisema kaulimbiu ya “Huduma Bora kwa Vitendo” inapaswa kuonekana katika matokeo ya huduma, si maneno pekee. Alisema NSSF itaendelea kuboresha michakato na mifumo, ikiwamo lango la huduma kwa waajiri na wanachama, ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa za michango, madai ya mafao na huduma nyingine. Kwa hatua hiyo, NSSF inaendelea kujenga utamaduni wa ubora unaolenga kuhakikisha viwango vya huduma vinaendelea kuimarika, huku mahitaji na matarajio ya wanachama, waajiri na wadau yakiwekwa katika kiini cha utekelezaji wa majukumu ya Mfuko.

Tue, 06 Oct 2026 08:23:14 +0000
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Le plan d’aménagement de Gitega présenté aux sénateurs

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Government activates national response ahead of El Niño rains

The Government has activated a national response plan ahead of forecast El Niño rains, with search-and-rescue teams, evacuation centres and relief supplies placed on standby in areas at risk of…

Recently

Page 845 of 1137 · 22731 stories