Unganishwa

Search the region

22731 stories

Uncategorized · The Observer Uganda

International schools must choose one curriculum – govt

The ministry of Education and Sports has tightened regulations on international schools, requiring institutions offering both foreign and Ugandan curricula to choose a clear licensing…

Recently
Uncategorized · Daily News

U-23 AFCON 2027 QUALIFIERS: Tanzania hunt Kenya comeback

DAR ES SALAAM: NATIONAL U-23 football team face a massive test at Uhuru Stadium today as they attempt to overturn…

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Audio — Info Matin 7h00 TU (06.10.2026)

To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video

Recently
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Retour du président après sa participation à la 81ème assemblée générale de l’ONU

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Germany: Ex-spy chief arrested for espionage — reports

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Techweez

Safaricom Adds Jumbe SMS to Hide Your M-PESA Balance When Paying

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

KISE advertises 18 permanent and pensionable jobs

Applications close on October 14, 2026.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

India: Opposition leaders march towards Election Commission

Read the full report from the original source.

Recently
World · Issa Michuzi

SPIKA WA UINGEREZA AMPENDEKEZA SPIKA ZUNGU KUWA RAIS WA MKUTANO WA 153 WA IPU

Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) limemchagua Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, kuwa Rais wa Mkutano wa 153 wa Umoja huo unaoendelea jijini Arusha. Hoja ya kumchagua Mhe. Zungu kuwa Rais wa Mkutano huo ilitolewa na Spika wa Bunge la Wawakilishi la Uingereza (House of Commons), Sir Lindsay Hoyle, na kuungwa mkono na wawakilishi kutoka Uganda na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Uchaguzi huo umefanyika wakati wa Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani kinachofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).

Tue, 06 Oct 2026 08:06:38 +0000
Uncategorized · SoftPower News

Ankole Heifer ‘Queen Arusha’ Sets South African Record at R6.4 Million

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Twelve held for allegedly running cat trafficking ring

Police allege the suspects roamed through residential areas in small groups on motorbikes at night to steal the cats.

Recently
National · Issa Michuzi

TAEC, IAEA WAPELEKA AJENDA YA RASILIMALI WATU KATIKA USALAMA WA NYUKLIA

Na Mwandishi Wetu - ARUSHA. Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake katika juhudi za kikanda na kimataifa za usalama wa nyuklia baada ya kukutanisha wataalamu na washiriki kutoka nchi 18 katika warsha ya kikanda inayolenga kuimarisha uwezo wa rasilimali watu katika masuala ya usalama wa nyuklia. Warsha hiyo ya siku tano, inayofanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026, imeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) na Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomu (IAEA), ikiwa na lengo la kujadili namna Vituo vya Usaidizi wa Usalama wa Nyuklia (Nuclear Security Support Centres – NSSCs) vinavyoweza kusaidia nchi kujenga na kudumisha wataalamu wenye uwezo wa kusimamia masuala ya usalama wa nyuklia. Akifungua warsha hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC), ambaye pia ni Mratibu wa Kitaifa wa Tanzania na Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomu (IAEA) (National Liaison Officer – NLO), Prof. Najat Kassim Mohamed, amesema matumizi ya teknolojia ya nyuklia kwa madhumuni ya amani yanahitaji kwenda sambamba na uwepo wa wataalamu wenye ujuzi na uwezo wa kuhakikisha nyenzo za nyuklia na vyanzo vingine vya mionzi vinatumika kwa uwajibikaji na kulindwa ipasavyo. Amesema mifumo bora na vifaa vya kisasa pekee haviwezi kuhakikisha usalama wa nyuklia bila kuwa na wataalamu wenye ujuzi wa kuvitumia, kuvitunza na kuchukua hatua stahiki pale linapotokea tukio linalohusisha usalama wa nyuklia. “Maendeleo ya rasilimali watu ni jukumu endelevu la kila nchi. Tunahitaji kutambua ujuzi unaohitajika, kujua uwezo tulionao, kutoa elimu na mafunzo yanayofaa na kutathmini kama mafunzo hayo yameleta matokeo yanayotarajiwa,” amesema Prof. Najat. Warsha hiyo imekusanya watu 48 kutoka nchi 18, wakiwemo washiriki 25 wanaohudhuria moja kwa moja jijini Arusha, washiriki 18 wanaoshiriki kwa njia ya mtandao pamoja na wataalamu watano. Wataalamu wanaowezesha warsha hiyo wanatoka Algeria, Misri, Malaysia na Tanzania. Prof. Najat amesema ushirikiano huo unaonesha dhamira ya pamoja ya nchi zinazoshiriki katika kujenga uwezo endelevu wa kukabiliana na changamoto za usalama wa nyuklia, huku akisisitiza umuhimu wa kuwa na mifumo ya kuhifadhi maarifa na kuendeleza utaalamu hata pale watumishi wanapobadilisha majukumu au kuondoka katika utumishi. Kwa mujibu wa Prof. Najat, Vituo vya Usaidizi wa Usalama wa Nyuklia vina nafasi muhimu katika maeneo matatu yanayokamilishana, ambayo ni maendeleo ya rasilimali watu, msaada wa kiufundi na msaada wa kisayansi. Maeneo hayo yanasaidia nchi kuwa na wataalamu wenye uwezo, vifaa na mifumo inayofanya kazi kwa ufanisi pamoja na utaalamu wa kisayansi unaohitajika katika kushughulikia masuala ya usalama wa nyuklia. Katika kipindi cha warsha hiyo, washiriki watajadili misingi ya mifumo ya usalama wa nyuklia na namna ya kuifanya iwe endelevu, nafasi ya Vituo vya Usaidizi wa Usalama wa Nyuklia katika maendeleo ya rasilimali watu, pamoja na umuhimu wa kuwa na mipango ya kitaifa ya kujenga uwezo wa wataalamu wanaohusika na usalama wa nyuklia. Majadiliano pia yataangalia kwa kina maeneo matatu muhimu ya usalama wa nyuklia ambayo ni kuzuia matukio ya kiusalama, kugundua vitendo au matukio yanayoweza kuhatarisha usalama na kuwa na uwezo wa kuchukua hatua stahiki yanapotokea. Mada nyingine zitakazojadiliwa ni pamoja na usimamizi na utunzaji wa maarifa ndani ya taasisi, kubaini mapungufu katika uwezo uliopo, kujenga uwezo wa kitaifa na namna ya kutekeleza mipango ya maendeleo ya rasilimali watu kwa kuzingatia mahitaji halisi ya kila nchi. Prof. Najat amewataka washiriki kutumia warsha hiyo kubadilishana uzoefu kwa uwazi, ikiwemo kueleza mafanikio, changamoto, upungufu wa rasilimali na vikwazo wanavyokutana navyo katika nchi zao ili majadiliano hayo yasaidie kupata njia zinazoweza kutekelezeka katika mazingira halisi. Amesisitiza kuwa mafanikio ya warsha hiyo hayatapimwa kwa idadi ya mada zitakazowasilishwa pekee, bali kwa namna maarifa na uzoefu watakaoupata washiriki vitakavyosaidia kuleta maboresho katika taasisi na nchi zao baada ya kumalizika kwa warsha. Warsha hiyo pia inatoa fursa kwa nchi zinazoshiriki kujifunza kutokana na uzoefu wa kila mmoja, kubaini mbinu zinazoweza kutumika katika mazingira tofauti na kuimarisha mahusiano ya kitaalamu yatakayosaidia kuendeleza ushirikiano katika masuala ya usalama wa nyuklia. Kwa upande wake, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa TAEC, Bwana Peter Ngamilo, amesema kufanyika kwa warsha hiyo nchini Tanzania ni fursa muhimu ya kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa usalama wa nyuklia na kuonesha mchango wa ushirikiano wa kimataifa katika kujenga uwezo wa wataalamu wanaosimamia eneo hilo. “Usalama wa nyuklia ni suala linalohitaji ushirikiano, ujuzi na uelewa wa pamoja. Kukutana kwa wataalamu kutoka nchi 18 hapa Arusha kunatoa nafasi ya kubadilishana uzoefu na maarifa ambayo yatasaidia kuimarisha uwezo wa nchi zetu katika kulinda nyenzo za nyuklia na vyanzo vingine vya mionzi,” amesema Ngamilo. Ngamilo amesema TAEC itaendelea kutoa elimu na taarifa sahihi kwa umma kuhusu masuala ya usalama wa mionzi na nyuklia ili wananchi wawe na uelewa mpana kuhusu matumizi salama na yenye manufaa ya teknolojia ya nyuklia katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Akihitimisha hotuba yake, Prof. Najat ameishukuru IAEA kwa kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kujenga uwezo wa kitaifa na kikanda katika usalama wa nyuklia, huku akiwataka washiriki kutumia kikamilifu siku tano za warsha hiyo kupata maarifa na uzoefu utakaosaidia kuleta maboresho katika nchi na taasisi wanazowakilisha. Warsha hiyo inatarajiwa kuhitimishwa Oktoba 9, 2026, jijini Arusha.

Tue, 06 Oct 2026 08:02:25 +0000
Uncategorized · Agence Burundaise de Presse

Mise en place des cliniques juridiques mobiles à Muyinga

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Dar City seal BDL final berth as Tausi Royals edge closer

DAR ES SALAAM: DEFENDING champions Dar City have booked their place in the Basketball Dar es Salaam League (BDL) men’s…

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Uganda Coffee Prices Stable as Global Robusta and Arabica Prices Rise

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

TLGU name national team for Abuja AACT

DAR ES SALAAM: TANZANIA will be represented by a four-member women’s golf team at the 2026 All Africa Challenge Trophy…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

SUA YAUNGANISHA WAHITIMU NA WANAFUNZI KWA FURSA ZA UJUZI NA AJIRA

Na FARIDA MANGUBE, MOROGORO Viongozi wa kampuni mbalimbali waliohitimu Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wamekutana na uongozi wa chuo hicho katika jukwaa la kujadili fursa za ushirikiano na namna ya kuwaandaa wanafunzi na wahitimu kuwa na ujuzi unaokidhi mahitaji ya soko la ajira. Katika jukwaa hilo, uongozi wa SUA umewataka viongozi hao kutumia nafasi zao kuwapa wanafunzi fursa za kupata uzoefu wa vitendo kupitia miradi na shughuli mbalimbali hatua inayolenga kuwaongezea uwezo wa kushindana katika soko la ajira na kujiajiri. Akizungumza katika mjadala huo, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo anayeshughulikia Fedha, Mipango na Utawala, Profesa Mulid Mwatawala, alisema ushirikiano kati ya SUA, wahitimu wake na sekta binafsi ni muhimu katika kuhakikisha wanafunzi wanapata ujuzi unaoendana na mazingira halisi ya kazi. Profesa Mwatawala alisema chuo kitawaunganisha wanafunzi na viongozi hao wa kampuni ili waweze kupata fursa za kujifunza na kupata uzoefu katika maeneo mbalimbali ya uzalishaji na uendeshaji wa biashara. Aidha, aliwataka viongozi hao kutenga muda wa kuwafundisha wanafunzi namna bora ya kubuni miradi na kusimamia mawazo yao ya kibunifu hadi kuyafikisha katika hatua ya uzalishaji na hatimaye sokoni. Kwa upande wake, Mkuu wa Idara ya Kilimo Biashara kutoka NMB Makao Makuu, Bw. Nsolo Mlozi, alisema benki hiyo imetenga Sh bilioni 20 kwa ajili ya kuendeleza miradi anzilishi ya vijana na makundi maalum. Alisema uwezeshaji wa miradi hiyo una umuhimu mkubwa katika kukuza uchumi wa Taifa, huku ukiwapa wahitimu fursa ya kupata uzoefu katika uzalishaji na uendeshaji wa biashara. "Miradi anzilishi pamoja na kuchangia katika uchumi wa Taifa, pia inasaidia wahitimu kupata uzoefu katika uzalishaji na uendeshaji wa biashara," alisema Mlozi. Kabla ya kuanza kwa jukwaa hilo, viongozi hao walifanya ziara ya kujionea shughuli na miradi mbalimbali inayotekelezwa na SUA, ikiwa ni sehemu ya kupata uelewa wa shughuli zinazofanyika chuoni hapo na kubaini maeneo ambayo wanaweza kushirikiana na chuo. Katika ziara hiyo, viongozi hao walipata fursa ya kufuatilia maelezo kuhusu utekelezaji wa Mradi wa APOPO pia walitembelea eneo kinapojengwa kiwanda cha uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za SUA, ikiwemo maji na sharubati (juisi), pamoja na majengo yanayotekelezwa kupitia Mradi wa Higher Education for Economic Transformation (HEET).

Tue, 06 Oct 2026 07:52:37 +0000
Uncategorized · Watchdog Uganda

Dr. Ayub Mukisa: When Politics Becomes Unusual: Gen. Muhoozi Kainerugaba and the Changing Face of Ugandan Politics (Part 1)

As a matter of fact, something fundamentally non-traditional is occurring…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Open Letter to Prof. Pamela K. Mbabazi: The Soul of Kampala cannot be replaced by a Shopping Mall

By Bwanika Joseph Professor Pamela, you're the Executive Chairperson of the National Planning Authority (NPA), I wish to draw your urgent attention to a matter of grave civic and environmental…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Uganda’s Best 100 Law Firms Recognised by Public Opinions with Responsible Investment Global Award

KAMPALA, UGANDA — Public Opinions has recognised Uganda’s Best 100 Law Firms for 2026 with the Responsible Investment Global Award, in recognition of their commitment to professional excellence, responsible business…

Recently

Page 846 of 1137 · 22731 stories