Unganishwa

Search the region

22706 stories

Uncategorized · The Star Kenya

US warns citizens in Saudi amid missile threat

The mission also issued safety guidelines in the event of an aerial attack.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Pair in court over Kura director general's term

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UBC

Iran president says talks with US ‘meaningless’: state media

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

US withdraws all bomber aircraft from UK airbase

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Rais Samia ahimiza hatua za kupunguza vifo vya mama na mtoto barani Afrika

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Azam TV Videos

FVS sasa ruksa kutumika kwenye NBC Premier League

FVS SASA ‘RUKSA’: “Tumekuwa ligi pekee ambayo inatumia mfumo huu hapa duniani” Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Cornel Barnabas amesema kuanzia kwenye #KariakooDerby Oktoba 10, 2026, wataanza kupeleka taarifa FIFA kuhusu matumizi ya teknolojia ya Football Video Supports (FVS) baada ya sasa kupata kibali cha matumizi ya kifaa hiko. Barnabas anasema kila timu itakuwa inapewa kadi mbili ambazo atakuwa anakaa nazo kocha. #FVS #FootballVideoSupport

2026-10-05T18:41:05+00:00
Uncategorized · The Star Kenya

Nobel prize goes scientists for revealing brain activity

The research has helped scientists learn more about the inner workings of the brain

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Tanzania, Algeria kuanza ushirikiano uzalishaji wa dawa nchini

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Mwanafunzi darasa la nne ajinyonga kwa kukosa kalamu Morogoro

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Dkt. Tulia: Wanawake Washiriki Kikamilifu Katika Maamuzi

Na Mwandishi Wetu - MAELEZO, ARUSHA, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amezitaka nchi wanachama kuhakikisha usawa wa kijinsia hauishii katika kuongeza idadi ya wanawake, bali uwape ushawishi na madaraka katika ngazi za maamuzi. Akizungumza katika Mkutano wa 153 wa IPU - Jukwaa la Wanawake katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), Dkt. Tulia amesema katika kipindi chake cha uongozi IPU imefanya marekebisho ya Katiba na Kanuni zake kwa lengo la kuimarisha usawa wa kijinsia katika ngazi mbalimbali. Amesema IPU pia imepitisha kwa mara ya kwanza Sera ya Kupinga Unyanyasaji katika Mikutano na Matukio, inayokataza aina zote za unyanyasaji, ikiwemo wa kingono, pamoja na kuweka mifumo ya kuripoti na kushughulikia vitendo hivyo. Dkt. Tulia amesisitiza kuwa wanawake wanapaswa kuwa na nafasi ya kushiriki kikamilifu katika kufanya maamuzi, akisema, “Tunapaswa kuhakikisha kwamba usawa wa kijinsia unaenda sambamba na uwakilishi, ushiriki na fursa sawa za uongozi na kufanya maamuzi,” amesema Dkt. Tulia. Aidha, amewataka washiriki wa mkutano huo kurejea katika nchi zao na kupeleka maazimio, mipango ya utekelezaji na mikakati ya usawa katika mabunge yao, huku wanaume wakishirikishwa kama wadau muhimu katika kufanikisha usawa huo. Amesisitiza pia umuhimu wa kuwapa nafasi wanawake vijana, wanawake kutoka jamii zilizotengwa na wanawake wenye ulemavu kushiriki katika uongozi na kufanya maamuzi.

Mon, 05 Oct 2026 18:08:29 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

Denmark: Data of millions compromised in hack

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Kenyans cleared to buy Dangote Refinery shares

Capital Markets Authority gives Dangote IPO green light

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Audio — Journal 17:00 TU (05.10.2026)

To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video

Recently
Uncategorized · DW Afrique

À Saint-Louis, les vestiges de l’esclavage menacés

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Iyo uhaye umwalimu agaciro uba ushyize ahazaza h’Igihugu ku murongo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Nyoro fault housing pledge to teachers

Nyorro said housing plan does not address the immediate concerns of teachers

Recently
Uncategorized · Capital FM

CAK approves Cable Experts acquisition of East African Cables

Business · Quick read

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Cheikh Hamidou Kane, un patriarche immortel

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Techweez

Googlebooks Allows Users to Officially Unlock the Bootloader

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

YAS NA MIXX KUPELEKA HUDUMA KWA WATEJA MASOKONI NCHINI, WATEJA KUJISHINDIA ZAWADI MADUKANI

Wateja wa Yas na Mixx wataweza kupata msaada wa huduma moja kwa moja masokoni kote nchini, huku wakijishindia zawadi katika maduka ya kampuni hizo, kupitia Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyozinduliwa leo jijini Mwanza na itakayoendelea hadi Oktoba 9. Uzinduzi huo umefanyika Rock City Mall,jijini Mwanza ambapo viongozi mbalimbali wa chapa hizo wamesema kaulimbiu ya mwaka huu, 'The Extra Mile', inasisitiza wajibu wa kwenda hatua ya ziada katika kumhudumia mteja, ikiwemo kumsikiliza, kumpa msaada kwa wakati na kutimiza ahadi anazopewa. Akizungumza katika hafla hiyo, Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Yas, Mwangaza Matotola, amesema timu za Yas na Mixx zitafika katika masoko makubwa nchini kukutana na wateja, kusikiliza maoni yao na kutatua changamoto zao papo hapo. Jijini Mwanza, timu hizo zitakuwa katika soko kuu la Mwanza. Matotola ameahidi kuwa maoni na mrejesho wote wa wateja utafanyiwa kazi, na wateja watapewa taarifa za hatua zilizochukuliwa kupitia njia mbalimbali za mawasiliano za kampuni. Changamoto zinazohitaji uchunguzi zaidi zitafuatiliwa hadi zipatiwe ufumbuzi. "Tunapomsaidia mteja kupata suluhisho kwa wakati, maana yake tunawezesha mambo yake biashara yake, urahisi wa mawasiliano na familia yake au kukamilisha jambo lililokuwa limekwama," amesema Matotola. Bi Matotola pia amewashukuru wateja wa Yas zaidi ya milioni 33 kwa kuendelea kuwaamini na kuwachagua kila siku, akisema imani hiyo inaongeza wajibu wa kuhakikisha wanapata huduma bora kila siku. Ameongeza kuwa Huduma bora kwa wateja ni pamoja na kuhakikisha wanatoa Huduma za viwango na ndio maana Yas imewekeza zaidi ya Sh trilioni 1.2 katika kupanua na kuboresha mtandao wake wenye minara zaidi ya 4,900, ili kuwawezesha wateja kupata mawasiliano ya uhakika kwa ajili ya biashara, elimu na shughuli za kila siku. Katika wiki hii, maduka ya Yas na Mixx yatakuwa na shughuli za kusherehekea pamoja na wateja, ambapo wateja watajishindia zawadi mbalimbali kupitia michezo shirikishi kama kuzungusha gurudumu (spin the wheel) na kujibu maswali. Kila mteja atakayefika dukani atapata zawadi na keki. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mixx, Arnold Ngarashi, amesema kwa kutambua umuhimu wa uhakika, uthabiti na msaada wa haraka kwenye miamala ya simu wanahakikisha wanaenda extra mile katika kuwahudumia wateja wao. "Tunapopokea changamoto ya mteja, tunaishughulikia kwa kuelewa umuhimu wa fedha hizo kwake. Kuwatambua watoa huduma Wiki hii pia itatumika kuwasherehekea watoa huduma wa Yas na Mixx wanaofanya kazi nyuma ya pazia, sambamba na wale wanatoa huduma katika maduka mbalimbali ya Yas na Mixx yaliyoenea nchi nzima. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Afisa Mkuu wa Masuala ya Udhibiti - Yas Tanzania, Sylvia Balwire, alisisitiza dhamira ya kampuni hiyo ni kuendelea kutoa huduma zilizojengwa juu ya misingi ya uaminifu, uwazi na ulinzi madhubuti wa taarifa za wateja. “Kaulimbiu ya “The Extra Mile” inaakisi kujitolea kwa Yas na Mixx katika kulinda taarifa za wateja, kutoa mawasiliano yaliyo wazi na ya kuaminika, pamoja na kuendelea kuboresha uzoefu wa wateja kupitia maoni yao na utoaji wa huduma kwa uwajibikaji” alisema. Wateja wanahimizwa kushiriki katika shughuli za wiki hii na kutoa maoni yao. Wanaweza kupata msaada kwa kupiga namba 100, kutembelea maduka zaidi ya 567 nchini, au kuwasiliana kupitia @yastanzania_ na @mixx.tz. Afisa Mkuu wa Udhibiti wa Yas Tanzania, Bi. Sylvia Balwire (katikati), akishirikiana na viongozi waandamizi wa Yas na Mixx kukata keki kuashiria uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja wakati wa hafla iliyofanyika Rock City Mall jijini Mwanza jana. Kupitia uzinduzi huo, wiki hii, timu za Yas na Mixx zitawafikia wateja masokoni kote nchini kutatua changamoto zao, huku wateja watakaotembelea maduka ya Yas na Mixx watapata fursa ya kujishindia zawadi mbalimbali.

Mon, 05 Oct 2026 11:30:00 +0000

Page 856 of 1136 · 22706 stories