Search the region
22700 stories
Rising costs choke firms despite growing demand
Read the full report from the original source.
RecentlyBenjamin Babunga reste détenu au Burundi malgré deux décisions ordonnant sa libération sous caution
Read the full report from the original source.
RecentlyPolice officers undergo crime intelligence and analysis training
Read the full report from the original source.
RecentlyUganda’s Mombasa Consul General Remanded Over Shs494m Loss
Read the full report from the original source.
RecentlyCHIMP SPORT: Bogere Strikes Late as Uganda Hold DR Congo
Read the full report from the original source.
RecentlySmall banks make loans expensive on costly funds
Read the full report from the original source.
RecentlyKindiki declares total fight against harmful alcoholic drinks, warns against political interference
Read the full report from the original source.
RecentlyJSE wants to turn 10 South African tech SMEs into investor-ready businesses
Read the full report from the original source.
RecentlyRead article: NARO establishes 200-acre cassava farm to cushion Karamoja against drought
Read the full report from the original source.
RecentlyMuseveni adviser pitches Uganda to visiting dragon boat crews as investment destination
KAMPALA – Dr. Hillary Musoke, a senior adviser to the president has asked athletes and officials at the Africa Dragon Boat Cup to bring investors and tourists to Uganda. Speaking to...
RecentlyState steps up measures to shield exams from El Nino
Government adds 48 storage containers and puts field officers on standby as examination numbers rise
RecentlyUEDCL commissions Shs240m power projects in Butebo
Uganda Electricity Distribution Company Limited (UEDCL) has commissioned two projects worth more than Shs240 million to improve electricity supply in Butebo District, connecting a primary school to the national grid and.
RecentlyMAKAMU WA RAIS KUFUNGUA MKUTANO WA 46 WA CATA JIJINI ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, amewasili mkoani Arusha leo, Jumatatu, Oktoba 5, 2026, kwa ajili ya kufungua Mkutano wa 46 wa Chama cha Wasimamizi wa Kodi wa Jumuiya ya Madola (CATA). Makamu wa Rais amewasili kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ambako amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla, pamoja na viongozi wengine wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali. Mkutano huo utafanyika katika Ukumbi wa Grand Melia jijini Arusha na unatarajiwa kuwakutanisha viongozi na wataalamu zaidi ya 400 kutoka mataifa 48.
Mon, 05 Oct 2026 15:55:57 +0000Nigeria military plane crashes with 32 on board
Read the full report from the original source.
RecentlyUkraine says Russian drones behind Turkish ship sinking
Read the full report from the original source.
RecentlySweet potatoes move from farm into the living room
Read the full report from the original source.
RecentlyNARO Steps Up Cassava Multiplication to Boost Food Security in Drought-Prone Karamoja
NAPAK | October 5, 2026 –As drought and climate variability continue to threaten food security in Karamoja, the National Agricultural Research Organisation (NARO), through the Uganda Climate-Smart Agricultural Transforma
RecentlyNestor Basemera, PhD: Bye-Bye Morals, Welcome Vulgarity: Uganda’s New Normal
Step inside any packed taxi near Jinja Road in Kampala, and you will hear a massive shift in how people talk. A youthful conductor casually lets out a string of…
RecentlySERIKALI YAITAKA CRDB KUONGEZA FURSA ZA KIUCHUMI KWA WANAWAKE, VIJANA
Na Janeth Raphael - MichuziTv Serikali imeitaka CRDB Bank kuongeza zaidi fursa za kiuchumi kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, kwa kuwawezesha kupata mitaji, mikopo na huduma za kifedha zitakazowasaidia kujikwamua kiuchumi na kukuza shughuli zao za uzalishaji. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, ametoa rai hiyo wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, ambapo amesisitiza umuhimu wa taasisi za kifedha kuendelea kuboresha huduma zao na kwenda hatua ya ziada ili kukidhi mahitaji ya wananchi. Senyamule amesema taasisi za kifedha zina nafasi kubwa katika kuchochea maendeleo ya wananchi, hususan vijana na wanawake, kwa kuwawezesha kupata rasilimali zitakazowawezesha kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi, ikiwamo kilimo na sekta nyingine za uzalishaji. Amesema utoaji wa huduma bora haupaswi kuishia katika kuongeza idadi ya bidhaa au huduma, bali unapaswa kuzingatia namna taasisi zinavyoweza kurahisisha maisha ya wateja na kuwapatia suluhisho linaloendana na mahitaji yao. “Ni muhimu kila mmoja wenu kuwa sehemu ya taswira na sifa ya taasisi hii. Jiulizeni ni huduma gani mpya inaweza kuanzishwa ili kwenda hatua ya ziada katika kuwahudumia wateja,” amesema Senyamule. Ameongeza kuwa Wiki ya Huduma kwa Wateja inapaswa kuwa fursa kwa watumishi wa CRDB kujitathmini, kubaini maeneo yenye changamoto na kuweka mikakati ya kuboresha huduma ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma kwa ufanisi na kwa wakati. Kwa upande wake, Meneja Biashara CRDB Kanda ya Kati, Andrew Kihenzia, amesema benki hiyo inaendelea kufanya maboresho ya huduma, mifumo na bidhaa zake kwa lengo la kuwafikia wateja kwa urahisi zaidi na kuwapatia suluhisho zinazokidhi mahitaji yao. Kihenzia amesema CRDB imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa vikundi vya wajasiriamali, wanawake na vijana kupata mikopo inayolenga kuwawezesha kuanzisha, kuendeleza na kupanua shughuli zao za kiuchumi. “Tunatoa fursa kwa vijana na wanawake kuhakikisha wanainuka kiuchumi kupitia mikopo ya vikundi. Tunapoendelea kusherehekea Wiki ya Huduma kwa Wateja, tunaendelea kuboresha huduma zetu kila siku,” amesema. Amesema CRDB pia inaendelea kushirikiana na Serikali katika kuboresha mifumo inayowawezesha wafanyakazi kupata huduma za kifedha na mikopo kwa urahisi, huku ikiendelea kupanua wigo wa huduma zake kupitia matawi na vituo mbalimbali ili kuwafikia wananchi wengi zaidi. Kihenzia amesema kwa mwaka huu CRDB imetenga Shilingi bilioni 6.5 kwa ajili ya makundi maalum, akisisitiza kuwa fursa hizo zinapaswa kutolewa kwa uwazi na kuhakikisha zinawafikia walengwa wanaokusudiwa. Amesema hatua hiyo ni sehemu ya dhamira ya benki hiyo ya kuhakikisha huduma za kifedha zinakuwa chachu ya uwezeshaji wa wananchi na kuongeza ushiriki wa makundi mbalimbali katika shughuli za kiuchumi. Aidha, amesema kaulimbiu ya Wiki ya Huduma kwa Wateja ya mwaka huu, “Piga Hatua Mbele,” inaendana na dhamira ya CRDB ya kuendelea kuboresha huduma, mifumo na bidhaa zake ili kuongeza ufanisi na kuhakikisha wateja wanapata huduma zinazokidhi mahitaji yao.
Mon, 05 Oct 2026 15:48:01 +0000Read article: Furaha’s bank-backed model takes school fees lending to 100,000 learners
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 858 of 1135 · 22700 stories