Unganishwa

Search the region

22682 stories

Sports · Issa Michuzi

Ufaransa Kuikaribisha Ubelgiji Nations League

TIMU ya taifa ya Ufaransa itakuwa mwenyeji wa Ubelgiji Jumatatu, Oktoba 5, 2026, katika mchezo wa UEFA Nations League , utakaopigwa kwenye uwanja wa Stade de France, Saint-Denis. Mchezo huo utaanza saa 21:45 usiku, huku timu hizo zikitarajiwa kuingia uwanjani zikiwa na lengo la kuongeza pointi katika Kundi A1. Mchezo huo utakuwa wa pili kukutana kwa timu hizo katika kipindi hiki cha Nations League, baada ya Ufaransa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ubelgiji mjini Brussels Septemba 28. Michael Olise ndiye aliyefunga bao pekee dakika za mwisho za mchezo huo, akimpa kocha mpya wa Ufaransa, Zinedine Zidane, ushindi wake wa pili tangu kuanza kazi. Kwa upande wa Ufaransa , mchezo huu unakuja katika kipindi ambacho Zidane anaendelea kujenga kikosi chake. Timu hiyo imeanza kampeni kwa ushindi dhidi ya Uturuki na Ubelgiji, huku Zidane akionyesha utayari wa kufanya mabadiliko katika kikosi kutokana na ratiba yenye michezo mingi ndani ya muda mfupi. Ubelgiji , chini ya kocha mpya Mark van Bommel, nayo imeonyesha ushindani mkubwa katika michuano hii. Van Bommel alianza kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya Italia na kusisitiza kuwa anataka timu yake iendelee kucheza kwa kasi, nguvu na mtindo wa kushambulia hata inapokutana na wapinzani wakubwa. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Macho pia yatakuwa kwa kikosi cha Ufaransa kutokana na kutokuwepo kwa nahodha Kylian Mbappé, ambaye aliumia katika mchezo dhidi ya Uturuki na kukosa michezo dhidi ya Ubelgiji. Hivyo, wachezaji kama Michael Olise, Ousmane Dembélé na Rayan Cherki wanaweza kuwa sehemu muhimu ya mipango ya Zidane. Mchezo wa Oktoba 5 unatarajiwa kuwa mwingine wenye ushindani mkubwa huku Ufaransa ikicheza nyumbani dhidi ya Ubelgiji.

Mon, 05 Oct 2026 06:30:00 +0000
Uncategorized · The Standard

Teachers' unions demand ECDE promotions and P1 recruitment

Govt to ensure teachers and civil servants receive benefits within 10 days after retirement; new payment timeline set to take effect within three months.

Mon, 05 Oct 2026 14:21:37 +0300
Uncategorized · Daily News

Tanzania highlights progress at 153rd IPU Assembly

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Yellow Fever Certificate Not Currently Required for Entry into Uganda – UTB

Read the full report from the original source.

Recently
Health · The Star Kenya

Duale, governors set deadline for SHA hospital contracts

The move sets a fresh deadline for public hospitals to complete the contracting process

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Qcil, Health Stakeholders Call for Stronger Sickle Cell Response in Lango

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Kindiki insists on fresh vetting of alcohol manufacturers

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Zungu: Uwakilishwaji wa wanawake bungeni pekee hautoshi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tarangire Park tasked to improve its marketing strategies in attracting more tourists

ARUSHA: THE minister for Natural Resources and Tourism Dr Ashatu Kijaji has directed the management of Tarangire National Park to…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

KIBASILA YAFUTA ZIRO, YAPUNGUZA DARAJA LA NNE

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam SHULE ya Sekondari Kibasila, Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam, imeendelea kufanya vizuri katika mitihani ya kitaifa baada ya kufanikiwa kuondoa kabisa wanafunzi waliopata daraja sifuri (0) na kupunguza idadi ya wanafunzi wanaopata daraja la nne. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Shule hiyo, Dkt. Juma Boniface Orenda, wakati wa Mahafali ya 67 ya Kidato cha Nne ya shule hiyo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Dkt. Orenda alisema shule hiyo imeweka mikakati mbalimbali ya kuhakikisha inaondokana na daraja sifuri katika mitihani ya kitaifa, hatua ambayo imekuwa ikiongeza morali kwa walimu na wanafunzi katika kuimarisha ufundishaji na ujifunzaji. “Na hapa tutakubaliana wote kuwa kwa punguzo hili ni dhahiri kwamba walimu wote wa shule hii wanaunga mkono kauli mbiu ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ya ‘Kazi na Utu Tunasonga Mbele’,” alisema. Alisema mwaka 2024, matokeo ya Kidato cha Pili yalikuwa na ufaulu wa asilimia 100, huku Kidato cha Nne kikiwa na asilimia 100 na Kidato cha Sita asilimia 99.3. “Kwa mwaka 2025, Kidato cha Pili, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita yote yalikuwa na ufaulu wa asilimia 100,” alisema. Akizungumzia hali ya elimu nchini, Dkt. Orenda alisema idadi ya shule za sekondari imeendelea kuongezeka, ambapo shule zilizosajiliwa kwa ajili ya kufanya Mtihani wa Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE) mwaka 2025 zilifikia 5,864, ikilinganishwa na shule takribani 4,700 zilizokuwepo mwaka 2015. Alisema ongezeko hilo linaonesha hatua kubwa iliyopigwa katika kupanua fursa za elimu ya sekondari nchini, huku takribani asilimia 80 ya shule hizo zikiwa za Serikali. Pamoja na mafanikio hayo, Dkt. Orenda alisema shule hiyo bado inakabiliwa na changamoto mbalimbali, ikiwamo ukosefu wa kantini yenye uwezo wa kutoa huduma bora ya chakula kwa wanafunzi wote. Alisema changamoto hiyo imekuwa kubwa zaidi katika kipindi hiki ambacho wanafunzi wote hupata chakula cha mchana shuleni. “Changamoto nyingine ni ukosefu wa gari la shule kwa ajili ya wanafunzi wa bweni na shughuli mbalimbali za shule, pamoja na uhaba wa samani katika ofisi za walimu kama vile viti, meza na makabati, hali inayofanya walimu kufanya kazi katika mazingira magumu,” alisema. Hata hivyo, aliishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa kujenga mabweni kwa ajili ya wanafunzi wa kike wa Kidato cha Tano na Sita. Dkt. Orenda alisema wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka huu ni 358, wakiwemo wasichana 157 na wavulana 201, ambao walianza masomo yao Januari 2023 na wote waliosajiliwa walifanya mtihani wa taifa. Alisema Kibasila ni miongoni mwa shule kongwe nchini, ikiwa imetimiza miaka 75 tangu ilipoanzishwa mwaka 1951 chini ya usimamizi wa Jumuiya ya Magoa, wakati huo ikiwa ikijulikana kama St. Xavier Secondary School. “Katika kipindi hicho ilikuwa shule ya msingi na sekondari iliyokuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 225. Mwaka 1970, baadaye ilibadilishwa rasmi na kuwa shule ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kubadilishwa jina na kuitwa Kibasila Sekondari,” alisema. Kwa sasa, alisema shule hiyo ina jumla ya mikondo 40 na wanafunzi 1,835, wakiwemo wasichana 859 na wavulana 976. Alisema shule hiyo ina jumla ya walimu 65, kati yao wanaume 31 na wanawake 34, pamoja na mfanyakazi mmoja asiye mwalimu na walimu wa kujitolea 21, wakiwemo wanawake wanane na wanaume 13. Kwa upande wake, mgeni rasmi katika mahafali hayo, Diwani Mariam Juma Mtemvu, aliipongeza shule hiyo kwa mafanikio iliyoyapata katika ufaulu na kuahidi kuwasilisha changamoto zilizotajwa kwa uongozi husika ili zipatiwe ufumbuzi. “Hotuba ya Mkuu wa Shule nimeisikia pamoja na wanafunzi, lakini katika shule zote nilizowahi kuhudhuria, Kibasila ni namba moja. Nawapongeza sana,” alisema. Mtemvu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii, alisema suala la uhaba wa vyoo shuleni ni miongoni mwa changamoto atakazozifanyia kazi. “Pamoja na mambo mengine, nimeisikia suala la uhaba wa vyoo. Kwa kweli hili pia nitalivalia njuga, kwa sababu kero hii imeniumiza sana,” alisema. Mahafali hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali, wazazi, walimu, wanafunzi wahitimu pamoja na wanafunzi wengine wa shule hiyo.

Mon, 05 Oct 2026 12:49:59 +0000
Business · Issa Michuzi

TANZANIA KUTUMIA COP12 KUVUTIA UWEKEZAJI UCHUMI WA BULUU

Na Karama Kenyunko Michuzi tv TANZANIA inatarajia kutumia Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), unaofanyika Dar es Salaam Septemba 6 hadi 9, 2026, kuimarisha diplomasia ya mazingira na kuvutia fedha, teknolojia na uwekezaji katika Uchumi wa Buluu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, amesema Tanzania imepata fursa hiyo ikiwa mwenyeji wa mkutano huo, unaotarajiwa kuongeza ushawishi wa nchi katika masuala ya mazingira ya bahari na pwani katika ngazi ya kikanda na kimataifa. Amesema COP12 inatarajiwa kujadili na kupitisha maamuzi ya Mkutano wa Nchi Wanachama pamoja na Joint Ministerial Declaration, huku pia ikifanya uchaguzi wa Baraza la Viongozi kwa kipindi cha 2026/2028. Kwa mujibu wa Masauni, mkutano huo unatarajiwa kutoa Azimio la DSM litakalolenga kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika Uchumi wa Buluu, ikiwemo kuongeza fursa za uvuvi endelevu, ufugaji viumbe maji, utalii wa baharini, usafiri wa majini na uwekezaji unaozingatia mazingira. Amesema Tanzania pia inatarajia kutumia mkutano huo kuvutia fedha, teknolojia na uwekezaji kwa ajili ya uhifadhi wa bahari na pwani, kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, kudhibiti uchafuzi na kuendeleza miradi ya Uchumi wa Buluu. “Lengo la Serikali ni kuhakikisha fursa za Uchumi wa Buluu zinawafikia wananchi, hususan jamii zinazotegemea bahari na pwani,” amesema Masauni. Ameeleza kuwa fursa hizo ni pamoja na ajira, uvuvi endelevu, ufugaji viumbe maji, utalii, biashara, huduma na kuongeza thamani ya mazao. Aidha, amesema COP12 itatoa fursa ya kuunganisha Tanzania na mifuko ya kimataifa pamoja na taasisi za fedha kwa ajili ya miradi ya uhifadhi wa bahari na pwani, mabadiliko ya tabianchi, uchafuzi na bioanuwai. Masauni amesema mkutano huo pia utatumika kuimarisha utekelezaji wa Marine Spatial Planning (MSP), pamoja na kupata utaalamu, teknolojia na ushirikiano wa kikanda katika kupanga matumizi endelevu ya maeneo ya bahari. Amesema Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imeanzisha Kitengo mahsusi cha kuratibu maendeleo ya Uchumi wa Buluu, unaohusisha matumizi endelevu ya rasilimali za bahari kwa ajili ya kukuza uchumi na ustawi wa jamii. Kwa upande wa manufaa kwa jamii, amesema utekelezaji wa Mkataba wa Nairobi umechangia kuongezeka kwa uelewa wa wananchi kuhusu matumizi endelevu ya rasilimali za bahari na pwani, pamoja na kuimarika kwa shughuli za kujipatia kipato kwa jamii za wavuvi. Amesema pia jamii zimehusishwa katika urejeshaji na uhifadhi wa misitu ya mikoko, ikiwemo Delta ya Rufiji, huku hatua za kupunguza uchafuzi wa bahari kupitia usimamizi wa taka za plastiki na maji machafu zikiendelea. Masauni ametoa wito kwa Wizara, taasisi za umma, sekta binafsi, wanazuoni, watafiti, mashirika ya kiraia na wananchi kwa ujumla kushiriki kikamilifu katika maandalizi ya COP12 ili kuongeza tija kwa Taifa. Amesema matarajio ya Tanzania ni kuhakikisha mkutano huo unaleta matokeo yatakayolinda mazingira ya bahari na pwani, kuimarisha Uchumi wa Buluu, kuongeza ushirikiano wa kikanda na kimataifa na hatimaye kuleta manufaa kwa wananchi, hususan jamii zinazotegemea rasilimali za bahari na pwani.

Mon, 05 Oct 2026 12:54:14 +0000
Uncategorized · Isango Star

Minisitiri w’Intebe wa Espagne yateguje amatora rusange mbere y'igihe cyari giteganyijwe

Kuri uyu wa mbere Minisitiri w’Intebe wa Espagne, Pedro Sánchez, yatangaje ko hazaba amatora rusange mbere y’igihe cyari giteganyijwe, aho yimuriwe taliki 29 Ugushyingo 2026, mu gihe yari ateganyijwe kuba mu 2027.

Mon, 05 Oct 2026 14:35:12 +0200
Uncategorized · Capital FM

African ICT regulators told to unite against cross-border digital threats

Latest · Business

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Daraja jipya la muungano kumaliza adha ya usafiri Namtumbo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Koko’s carbon credits find no buyer as creditors fund UK wind-down

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

DP Kindiki: Alcohol manufacturers to undergo fresh vetting

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Capital FM

NBA Africa and Quest Water Global to build 55 basketball courts in DR Congo in honor of legendary Dikembe Mutombo

Latest · Africa

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Businesses rebound as demand offsets rising costs

Even so, output remained in contraction for a seventh consecutive month

Recently
Uncategorized · Azam TV Videos

Kutoka Afrika Kusini hadi Dabi ya Kariakoo, Timu zijitendee haki kumalizia nafasi.

VIWANJANI | Wachambuzi wa soka Ramadhani Mbwaduke, Godlisten Muro na Jabir Aziz wamesema klabu zetu hazijitendei haki katika kutumia vyema nafasi wanazozitengeneza wakati wa michezo. Mbwaduke amesema pamoja na kukosoa timu kushindwa kuzitumia nafasi inazotengeneza ni muhimu pia kuwatambua na kuwapongeza magolikipa wa timu pinzani kwa kufanya kazi yao kwa ufanisi.Azam TV

2026-10-05T12:27:57+00:00
Uncategorized · TechCabal East Africa

Five numbers showing how GTCO’s payment strategy is taking shape

Read the full report from the original source.

Recently

Page 862 of 1135 · 22682 stories