Unganishwa

Search the region

22668 stories

World · Daily News

Why Tanzania’s ‘ndugu’ can become the most powerful language of peace and diplomacy today

ITALY: On October 4, the Catholic Church commemorate the life and legacy of St. Francis of Assisi, a figure whose…

Recently
Uncategorized · Capital FM

High Court blocks JSC move to have tribunal investigate Justice Ombwayo

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Business · Issa Michuzi

NDG. ABDI AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA WA VIUNGO KIZIMBANI

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Ndugu Abdi Mahamoud Abdi, ameahidi kushirikiana na taasisi husika kutatua changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wa bidhaa za viungo (Spice) katika eneo la Kizimbani, Zanzibar. Ndugu Abdi ametoa ahadi hiyo baada ya kuwatembelea wafanyabiashara hao katika eneo lao la biashara, ambapo amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wajasiriamali na wafanyabiashara kuendesha shughuli zao na kujikwamua kiuchumi. Amesema changamoto zilizowasilishwa na wafanyabiashara hao zitafanyiwa kazi kwa kushirikiana na taasisi zinazohusika, ili kuhakikisha zinapatiwa ufumbuzi kwa wakati na kuwawezesha kuendeleza shughuli zao za kiuchumi. Kwa upande wao, wafanyabiashara hao wamemuomba Ndugu Abdi kuwasaidia katika kutatua changamoto ya upatikanaji wa mikopo, ambayo itawawezesha kuongeza mitaji, kupanua biashara zao na kuongeza fursa za ajira kwa vijana. Wamesema upatikanaji wa mitaji ya kutosha utawasaidia kuongeza uzalishaji na kukuza biashara ya bidhaa za viungo, ambayo ni miongoni mwa shughuli zinazowapatia kipato na kuchangia katika uchumi wa Zanzibar.

Mon, 05 Oct 2026 09:17:12 +0000
Uncategorized · KBC

Housing crisis threatens Africa’s health and economic prospects

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

CS Ogamba urges university lecturers to resume work, pledges to conclude 2025/2029 CBA talks

NATIONAL NEWS · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · HabariLeo

TADB kupeleka 14 maonesho Japan

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

CRDB BANK FOUNDATION YASHIRIKI JUHUDI ZA KIMATAIFA KUFIKISHA MITAJI VIJIJINI

Na Mwandishi Wetu. Rome, Italia. Tarehe 4 Oktoba 2026: Taasisi ya CRDB Bank Foundation imeendelea kujiimarisha kama daraja muhimu la mitaji ya kimataifa na jamii ambazo hazijafikiwa ipasavyo na huduma za fedha, baada ya kushiriki mkutano unaojadili Ufadhili Mseto wa Miradi yaani Blended Finance Working Group (BFWG) ulioandaliwa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) kujadili namna ya kuongeza upatikanaji wa fedha kwa wananchi na biashara za vijijini. Akishiriki mkutano huo uliowajumuisha wadau wengine ukiwamo Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Ujasiriamali ya Uholanzi (FMO), Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), pamoja na wadau wa maendeleo, taasisi za fedha na wataalamu wa sekta mbalimbali, Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa amesema mikakati ya pamoja inahitajika kuwafikia wananchi wenye uhitaji wa mitaji nafuu ili nao washiriki kuujenga uchumi wa mataifa yao. Akizungumza pembezoni mwa mkutano huo, Tully amesema CRDB Bank Foundation ipo katika nafasi ya kipekee ya kuunganisha rasilimali za kimataifa na fursa zilizopo katika jamii kwa sababu ya uelewa wake wa kina kuhusu mahitaji ya wananchi wa vijijini pamoja na dhamira yake ya muda mrefu ya kukuza ujumuishaji wa kiuchumi. "Upatikanaji wa fedha bado ni moja ya changamoto kubwa kwa jamii za vijijini na biashara ndogondogo. Kupitia uzoefu wetu chini ya Programu ya iMBEJU Kilimo, tumedhihirisha kuwa ushirikiano sahihi na mifumo bunifu ya ufadhili, inaweza kurahisisha namna kuwafikia wananchi ambao mara nyingi huonekana kutofikika na huduma za kifedha na kuwasaidia kuwa washiriki wenye tija katika uchumi," amesema. Majadiliano ya mkutano huo yalijikita katika kutafuta majibu ya swali muhimu kuhusu namna ya kuhamasisha na kuelekeza mitaji zaidi kwa jamii, wakulima na biashara zinazohitaji fedha ili kukuza shughuli zao za kiuchumi hivyo kutoa fursa kwa washiriki kubadilishana uzoefu kuhusu mchango wa mifumo ya ufadhili mseto (blended finance), dhamana za mikopo, na nafasi ya taasisi imara za fedha katika kuvutia uwekezaji mkubwa zaidi kwenye sekta za kilimo na maendeleo ya biashara za vijijini. Majadiliano hayo pia yalisisitiza umuhimu wa kuziba pengo lililopo kati ya wawekezaji wa kimataifa na jamii nyingi ambazo bado zimeendelea kubaki nje ya mifumo rasmi ya fedha. Kwa CRDB Bank Foundation, ushiriki katika mikutano ya BFWG umetoa jukwaa muhimu la kushirikisha uzoefu wa Tanzania katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na kuimarisha ushirikiano wa kimkakati unaoweza kuleta vyanzo vipya vya mitaji karibu zaidi na wajasiriamali wa vijijini, wakulima na biashara zinazomilikiwa na jamii. Zaidi ya hayo, Foundation inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuziba mapengo ya upatikanaji wa huduma muhimu za maendeleo kama inavyofanya sasa kupitia programu ya iMBEJU Nuru, inayotekelezwa kwa ushirikiano na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kutoa ruzuku za gharama za kuunganishiwa umeme kwa jamii za vijijini ambazo zina changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo muhimu. Kupitia mipango kama hii, CRDB Bank Foundation inaendelea kuhimiza matumizi ya mifumo bunifu ya ufadhili inayounganisha mitaji kutoka sekta ya umma, sekta binafsi na taasisi za maendeleo ili kupunguza vihatarishi vya uwekezaji, kuongeza upatikanaji wa huduma muhimu na kuweka msingi thabiti wa ukuaji wa uchumi shirikishi. Kwa kushirikiana na taasisi za maendeleo za kimataifa na wadau wa kifedha, Foundation inalenga kuharakisha upatikanaji wa fedha kwa miradi na biashara zinazochochea ajira, kuimarisha uhakika wa chakula na kujenga uchumi imara na endelevu katika maeneo ya vijijini. Ushiriki wa CRDB Bank Foundation katika mkutano huo wa Rome ni sehemu ya utekelezaji wa dira ya kuchochea maendeleo jumuishi kwa kuunganisha mitaji na fursa zilizopo katika jamii. Wakati majadiliano ya kimataifa kuhusu maendeleo jumuishi na ufadhili endelevu yakiendelea, CRDB Bank Foundation inaendelea kuelekeza nguvu zake katika kubadili ushirikiano kuwa miradi inayotekelezeka, na miradi hiyo kuwa matokeo halisi yanayogusa maisha ya mamilioni ya wananchi wa vijijini nchini Tanzania na kwingineko.

Mon, 05 Oct 2026 09:11:30 +0000
Uncategorized · BBC Afrique

J'ai vu près de 500 exécutions, mais jamais une comme celle de Christa Pike

Le journaliste texan Michael Graczyk a vu des exécutions ratées au cours de sa carrière, mais jamais une où un condamné a survécu.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Minerals minister orders review of small-scale mining levies

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Endometriosis: Kirinyaga MP urges Government to include treatment under SHA

News · 3 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Food security tops Kenya irrigation agenda, CS Muriithi says

Latest · Business

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Le candidat d'extrême droite Flávio Bolsonaro remporte le premier tour des élections brésiliennes

Aucun candidat n'ayant obtenu plus de 50 % des voix, un second tour aura lieu le 25 octobre.

Recently
Uncategorized · KBC

Two suspected phone snatchers arrested in Kasarani

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Tragedy as boy, 3, drowns in fish pond in Embu

Police said the boy was playing beside the fish pond when he accidentally fell into the water and drowned.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Israel's mental health crisis in the wake of Oct. 7 attacks

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Government ordered to pay Sh1.15bn for 30-year-old anti-malarial supplies

Latest · Business

Recently
Business · Issa Michuzi

SHILATU AFUNGUA MSIMU WA KOROSHO 2026/2027

Na Mwandishi Wetu, Masasi Msimu wa Korosho 2026/2027 umezinduliwa rasmi wilayani Masasi, huku viongozi wa Vyama vya Ushirika vya Msingi (AMCOS) wakitakiwa kuwa waadilifu na kutohujumu zao hilo, kwa kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika kufanya hivyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa msimu huo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Emmanuel Shilatu, amesema Serikali haitamvumilia mtu yeyote atakayehujumu zao la korosho au kufanya vitendo vinavyoweza kuwarudisha nyuma wakulima. Shilatu ameyasema hayo katika kikao cha uzinduzi wa msimu wa Korosho 2026/2027 kilichowakutanisha wadau mbalimbali wa zao hilo. Amesema wakulima wa korosho wanamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa juhudi zake za kuhakikisha zao hilo linapewa heshima na kuendelea kuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa nchi. “Serikali haitamvumilia mtu yeyote atakayefanya mzaha au kujaribu kuhujumu kazi nzuri iliyofanywa na Rais Samia kwa kutaka kulihujumu zao la korosho kwa namna yoyote ile. Hatua kali zitachukuliwa dhidi yake, ikiwemo adhabu ya kifungo,” amesema Shilatu. Kwa upande wake, Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Mtwara, Robert Nsunza, amewataka makarani wanaohusika katika shughuli za ununuzi wa korosho kuhakikisha wanatumia mizani ya kidijitali, kuzingatia ubora wa zao na kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu. Naye Kiongozi wa Chama Kikuu cha Ushirika cha MAMCU, Biadia Matipa, amesema chama hicho kimejipanga kikamilifu kuhakikisha msimu wa Korosho 2026/2027 unakwenda vizuri. Matipa amesema maandalizi yote yamekamilika na ameahidi kuhakikisha wakulima wanalipwa fedha zao kwa wakati, akieleza kuwa lengo ni kuhakikisha malipo yanafanyika ndani ya siku saba tangu kufanyika kwa mnada. Kwa upande wao, viongozi wa AMCOS wameahidi kufanya kazi kwa uadilifu na kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa weledi ili msimu wa Korosho 2026/2027 uwe na tija kwa wakulima na wadau wote wa zao hilo.

Mon, 05 Oct 2026 08:29:32 +0000
Uncategorized · BBC Afrique

La France ferme jusqu'à 500 établissements scolaires lundi en raison des manifestations des élèves

Les cours seront « totalement ou partiellement suspendus » dans certains lycées suite aux affrontements entre les forces de l'ordre et des élèves manifestants, a déclaré le ministre français de l'Éducation nationale.

Recently
Uncategorized · KBC

Nithi Bridge project advances towards delivery of Ruto’s flagship promise

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Inflation highlights [September 2026]

Kenya’s annual inflation rate rose slightly to 6.8% in September 2026.

Recently

Page 868 of 1134 · 22668 stories