Unganishwa

Search the region

22662 stories

Uncategorized · CEO East Africa

NIC’s Share Price Has More Than Tripled: Its Insurance Business is Still Shrinking

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Independent Uganda

Olara Otunnu’s long road to the UN’s top job

From Kampala to New York, Islamabad, Riyadh, Paris and Moscow, Otunnu has turned his late campaign in…

Recently
Uncategorized · Techweez

WSO2 Earns Leader Position in Gartner’s 2026 API Management Report

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

The Treasure Walking Among Us: A Tribute to My Mother, the 3Rs Teacher

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Building TZ beyond concrete and steel

DAR ES SALAAM: FROM the construction of the Tanzania-Zambia Railway (TAZARA) more than five decades ago to modern bridges, ports,…

Recently
National · Issa Michuzi

DKT. MWIGULU MGENI RASMI HARAMBEE YA MAENDELEO YA KKKT

TANGA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatatu, Oktoba 5, 2026, anakuwa mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki. Harambee hiyo inafanyika katika Viwanja vya Tanga Beach Resort, jijini Tanga, ikiwa na lengo la kuhamasisha waumini na wadau mbalimbali kuchangia uimarishaji wa huduma na miradi ya maendeleo ya Dayosisi hiyo. Miongoni mwa maeneo yanayolengwa kuimarishwa kupitia harambee hiyo ni vituo vya huduma pamoja na shughuli za diakonia zinazolenga kuwahudumia na kuwasaidia watu wenye mahitaji mbalimbali katika jamii.

Mon, 05 Oct 2026 08:22:01 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Gachagua: We’ll sacrifice to unify behind one candidate

Gachagua says he would give up his presidential ambition if that is what it will take to beat Ruto

Recently
Uncategorized · Azam TV Videos

EXPENSIVE FIGHT | Makonde ya Johnson Kiwia dhidi Kudratillo Abdukakhorov | Highlights - 04/10/2026.

VITASA | Raundi ya nane kati ya Johnson Kiwia kutoka Tanzania dhidi ya Kudratillo Abdukakhorov kutoka Uzbekistan ilikuwa ni ya piga nikupige. Mtanzania Kiwia ameshinda kwa pointi. Ni Usiku wa Vitasa Expensive Fight kutoka hapa Golden Tulip, Dar es Salaam. Tukio lilikuwa LIVE #AzamSports3HD #Vitasa #VitasaNight #ExpensiveFight #MafiaBoxingAzam TV

2026-10-05T08:03:29+00:00
Uncategorized · Capital FM

Quickmart sets Sh7.5 price per share ahead of NSE listing

Business · 5 hours ago

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Trump yashizeho umurwi yise 'Super Intelligence Force' uzokurikirana ivy'ubwenge bw'ubukorano (AI)

Perezida yagenye umukuru w’iperereza ry’igihugu ngo arongore uwo murwi, mu gihe impungenge kuri AI ziriko ziriyongera.

Recently
Uncategorized · Iwacu

Interview avec Adrien Sibomana : « Les personnes âgées jouent un rôle important dans la communauté malgré leur marginalisation »

Alors que le monde célèbre le 1er octobre 2026 la Journée internationale des personnes âgées, les aînés burundais restent confrontés à une forme de marginalisation au sein de la société. Pour Adrien Sibomana, ancien Premier ministre sous Pierre Buyoya I, cette situation traduit le peu de considération accordée à ceux qui ont pourtant contribué à bâtir la société.

Mon, 05 Oct 2026 08:08:15 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

CRDB MIRERANI YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Na Mwandishi Wetu, Mirerani BENKI ya CRDB, Tawi la Mirerani wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, imeadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kuwakutanisha wateja, mawakala na wafanyakazi wa benki hiyo kujadili masuala mbalimbali, yakiwemo fursa za kibiashara na namna ya kuboresha huduma. Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Tanzanite Palace Hotel, Meneja wa CRDB Tawi la Mirerani, Renatus Rutajama, alisema kaulimbiu ya Wiki ya Huduma kwa Wateja mwaka huu ni “The Extra Mile”, inayolenga kuwahamasisha watumishi kutoa huduma inayozidi matarajio ya wateja. Rutajama aliwashukuru wateja waliojitokeza kushiriki katika hafla hiyo, akisema wameonyesha kuthamini uhusiano uliopo baina yao na benki. “Leo ni siku ya uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja. Kuanzia Oktoba 5 kwa muda wa wiki nzima tunaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja,” alisema. Alisema dhana ya “The Extra Mile” inalenga kuhakikisha mteja anapofika benki kwa ajili ya huduma moja, anapatiwa pia taarifa na fursa za huduma nyingine zinazoweza kumsaidia kukidhi mahitaji yake. “Kwa mfano, kama mteja amekuja benki kwa ajili ya kufungua akaunti, tunapaswa kwenda hatua ya ziada kwa kumweleza na kumpatia huduma nyingine zinazoweza kumfaa,” alisema. Rutajama alisema katika maadhimisho hayo wamepokea maoni na mapendekezo kutoka kwa wateja kuhusu namna ya kuboresha huduma katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Simanjiro, yakiwemo Terrat na Naberera ambako hakuna matawi ya benki hiyo. Alisema CRDB inaendelea kupanua huduma zake ndani na nje ya nchi, hivyo maoni ya wateja kuhusu maeneo yenye uhitaji wa huduma za benki yanazingatiwa. “Tumepokea maelezo yao. CRDB ina matawi mengi hadi nje ya nchi, ikiwemo Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Dubai na China. Hivyo, maeneo wanayoyataja hapa Simanjiro tutayafanyia kazi, ikiwemo uwezekano wa kufikisha huduma kupitia matawi au mawakala,” alisema. Kwa upande wake, Afisa wa CRDB, Adam Mgaza, aliwataka wafanyabiashara kuwa na utamaduni wa kukutana mara kwa mara na wateja wao ili kusikiliza maoni yao na kuboresha huduma. “Mpendwa mteja, Benki ya CRDB inakutakia heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. Ni fahari yetu kukuhudumia na kuendelea kukupatia huduma bora kila wakati,” alisema. Naye Paroko wa Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Rozali, Mji Mdogo wa Mirerani, Padri Aristarki Tarimo, aliipongeza CRDB kwa kuwakutanisha wateja na watumishi wa benki hiyo katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja. Sheikh wa Wilaya ya Simanjiro, Ramia Ramadhani, alisema CRDB imekuwa ikitoa huduma nzuri kwa wateja na kuitaka benki hiyo kuongeza wigo wa huduma katika maeneo mengine ya wilaya hiyo, hususan Terrat na Naberera. Kwa upande wake, mmoja wa mawakala wa CRDB Mji Mdogo wa Mirerani, Abraham Macha, alisema umoja, mshikamano na upendo baina ya benki na wateja ni muhimu katika kujenga mazingira mazuri ya utoaji huduma. Alisema uhusiano mzuri baina ya benki na wateja unapaswa kuambatana na huduma bora na tabasamu ili kujenga imani na kuimarisha mahusiano ya kibiashara.

Mon, 05 Oct 2026 08:04:34 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

TANZANITE ILINDWE KWA WIVU MKUBWA - BINA

Na Mwandishi wetu, Geita RAIS wa shirikisho la vyama vya wachimbaji madini Tanzania (FEMATA) John Wambura Bina, amesema madini ya vito ya Tanzanite yanapaswa kulindwa kwa wivu mkubwa, kwani ni madini adimu ambayo kwa hapa duniani sehemu yanapopatikana ni Tanzania pekee. Rais Bina ameeleza hayo mbele ya Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, kwenye hitimisho la maonyesho ya tisa ya teknolojia ya madini iliyofanyika viwanja vya Dkt Samia Suluhu Hassan Manispaa ya Geita. Amesema Serikali inapaswa kuona namna ambayo Tanzanite inakuwa na upendeleo maalum na kuboreshwa kwa kuanzia kwenye sheria, kanuni na utaratibu. "Tanzanite ni mtoto yatima, inayopatikana Tanzania peke yake hapa duniani hivyo inapaswa kulindwa kwa wivu mkubwa," amesema Rais Bina. Amesema wanapaswa kuilinda Tanzanite kwa nguvu zote kwani majasusi wanaweza kufanya hujuma kwa kutengeneza kashfa hadi soko lake likashuka. "Tuweke timu maalum ambayo itaipa kipaumbele Tanzanite kuhakikisha inapata kipaumbele kwa wivu mkubwa," amesema Rais Bina. Hata hivyo, Rais huyo wa FEMATA Bina, ameipongeza Serikali kwa namna wanavyokaa mezani na kuzizungumzia changamoto za sekta hiyo na kuzitatua. "Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imekuwa ikitusikiliza wachimbaji kupitia kiranja wetu Waziri wa Madini Anthony Peter Mavunde," amesema Rais Bina.

Mon, 05 Oct 2026 08:00:38 +0000
Uncategorized · The Citizen

How children's books help keep Tanzanian heritage alive abroad

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Dar Stock Exchange loses Sh440 billion in market value as stocks slide

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Kenya Met announces onset of October-December rains as El Niño conditions strengthen

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Uncategorized · Daily News

Africa must move from promises to production

EGYPT: AFRICA has no shortage of policies, strategies, development plans or regional agreements. What the continent urgently needs is something…

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

Rotting food waste emits 5 times more greenhouse gases than planes

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Issa Michuzi

Benki ya Absa yatoa wito kwa Wanawake kutumia maarifa ya kifedha kujiwezesha kiuchumi

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam WANAWAKE wametakiwa kuimarisha uelewa wao kuhusu masuala ya kifedha na uwekezaji, mambo yatakayowasaidia kuongeza kipato na akiba, hivyo kuwawezesha kuwa na uhuru kamili wa kifedha. Wito huo ulitolewa wakati wa semina ya elimu ya kifedha kwa wanawake iliyopewa jina la “Road to Financial Freedom”, iliyoandaliwa na Accelerate Women na kudhaminiwa na Benki ya Absa Tanzania jijini Dar es Salaam jana. Semina hiyo iliwakutanisha wanawake wajasiriamali kujadili masuala mbalimbali ya elimu ya fedha, akiba, uwekezaji na matumizi sahihi ya huduma za kifedha, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kukuza uhuru wa kifedha miongoni mwa wanawake. Akizungumza katika hafla hiyo, Meneja Bidhaa Kitengo cha Biashara wa Benki ya Absa Tanzania, Bi Devroda Kagusa, alisema upatikanaji wa huduma za kifedha unapaswa kwenda sambamba na uelewa wa kutosha wa masuala ya fedha ili kuwawezesha wanawake kufanya maamuzi sahihi kuhusu fedha zao. “Absa tunajivunia kuunga mkono matukio kama haya. Tukio la leo linatoa fursa kwa wanawake kujifunza, kupata taarifa na kufanya maamuzi sahihi kuhusu matumizi ya huduma za kifedha zinazoweza kuimarisha ushiriki wao katika mfumo rasmi wa kifedha,” alisema. Bi Devroda alisema msaada wa benki kwa mpango huo ni sehemu ya dhamira yake ya kuendeleza ujumuishaji wa kifedha nchini, akiongeza kuwa mpango huo pia unaendana na ahadi ya chapa ya Absa isemayo “Stori yako ina Thamani”. Alisema wanawake wanaweza kusogea karibu zaidi na uhuru wa kifedha kwa kujenga uwezo wa kusimamia fedha zao kwa ufanisi na kutumia huduma zinazofaa za kifedha kwa mahitaji yao binafsi na ya biashara. “Absa imejitolea kikamilifu na inatiwa moyo na mipango kama hii inayowapa wanawake fursa ya kujifunza kuhusu huduma za kifedha zinazoweza kuwawezesha kusimamia na kuchukua udhibiti wa masuala yao ya kifedha, sisi Absa kila Stori ya mafanikio ina thamani sana kwetu” alisema. Bi Devroda pia alitaja SHE Account ya Absa, akisema ni miongoni mwa huduma za benki zilizoundwa kwa kuzingatia mahitaji maalumu ya kifedha ya wanawake. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Accelerate Women, Bi Bernice Fernandes, alisema ukosefu wa uelewa kuhusu uwekezaji ni miongoni mwa changamoto zinazowakabili wanawake wanaotaka kukuza rasilimali zao za kifedha. “Jambo hili ndilo lililotufanya tuamue kuandaa semina hii. Mafunzo haya yanatoa jukwaa ambalo wanawake wanaweza kupata maarifa yanayowawezesha kufanya maamuzi sahihi, kuweka akiba kwa ufanisi na kuwekeza kwa busara,” alisema. Bi Bernice alisema kufanya maamuzi bora ya kifedha kunaweza kuwasaidia wanawake kujenga msingi imara wa kifedha na wakati huo huo kuchangia katika ukuaji wa uchumi kwa ujumla. Kwa upande wake, Mjumbe wa Bodi ya Accelerate Women, Bi Monica Hangi, alisema wanawake wengi wana fedha lakini hawana uelewa wa kutosha kuhusu mahali sahihi pa kuwekeza ili kupata faida na kukuza mitaji yao na hatimaye kupata na uhuru wa kifedha. Alisema kuongeza uelewa kuhusu uwekezaji ni muhimu katika kuwawezesha wanawake kutumia fedha zao kwa tija na kujenga maisha bora ya kifedha kwa muda mrefu. Meneja Bidhaa Kitengo cha Biashara wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Devroda Kagusa, akitoa mada kuhusu uwezeshaji wa wanawake katika masuala ya fedha wakati wa semina ya siku moja ya elimu ya fedha iliyopewa jina la “Road to Financial Freedom”, iliyoandaliwa na Accelerate Women na kudhaminiwa benki hiyo, jijini Dar es Salaam jana. Meneja Msaidizi wa Uhakiki wa Biashara (Assistant Business Assurance Manager) wa Absa Bank Tanzania, Bi. Miriam Ngajilo, akitoa mada kuhusu ujumuishaji wa kifedha wakati wa semina ya siku moja ya elimu ya kifedha iliyopewa jina la “Road to Financial Freedom”, iliyoandaliwa na Accelerate Women na benki hiyo, jijini Dar es Salaam jana. Meneja Bidhaa Kitengo cha Biashara wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Devroda Kagusa (wa pili kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi wa Accelerate Women, Bi. Bernice Fernandes, wakati wa semina ya siku moja kuhusu elimu ya kifedha iliyopewa jina la “Road to Financial Freedom”, iliyoandaliwa na Accelerate Women na benki hiyo, jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa taasisi hiyo ya kifedha. Mkurugenzi wa Accelerate Women, Bi. Bernice Fernandes (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Absa Tanzania pamoja na washiriki wengine wa semina ya siku moja kuhusu elimu ya kifedha iliyopewa jina la “Road to Financial Freedom”, iliyoandaliwa na Accelerate Women na kudhaminiwa na Benkiy a Absa Tanzania, jijini Dar es Salaam jana.

Mon, 05 Oct 2026 04:00:00 +0000
Uncategorized · Watchdog Uganda

GEORGE OWANYI: Deploy RDCs on 5 Year Contract Renewal once Upon Satisfactory Performance

The ongoing expose, fight and eliminate corruption in Uganda has indeed exposed loss of collosal sums of tax payers money…

Recently

Page 869 of 1134 · 22662 stories