Unganishwa

Search the region

22644 stories

National · Jamhuri Media

Dk Samia : Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi za dini

Read the full report from the original source.

Recently
National · Daily News

Tanzania’s Anglican Church formally installs PM Nchemba as its Lay Canon

Read the full report from the original source.

Recently
National · The Star Kenya

Sifuna: I'll end era of ‘one-man-expert-in-everything’

Sifuna said Kenyans must become authors, not audience of politics

Recently
National · Issa Michuzi

KITONGOJI CHA SABURI WAOMBA MSAADA WA DHARURA KUZUIA UBOMOAJI NYUMBA ZA WANANCHI ZAIDI YA 600

Na Mwandishi Wetu WANANCHI wa Kitongoji cha Saburi, Kata ya Makuyuni, wametoa taarifa ya dharura kuomba ulinzi na uingiliaji kati wa haraka kutoka kwa viongozi wao wa serikali dhidi ya vitendo vya kinyama na uvunjifu wa amani vinavyofanywa na mwekezaji Akram Aziz. Wamesema mwekezaji huyo leo amefika kwenye kitongoji chao akiwa na tingatinga kubwa (bulldozer) kwa lengo la kubomoa nyumba zote zaidi ya 600, pamoja na kuharibu misikiti, kanisa, shule, na zahanati. Kwa mujibu wa wananchi hao wameeleza kwamba kitendo hicho kimesababisha taharuki kubwa, simanzi, na kuzuka kwa vurugu kati ya vibaraka wake na wananchi wenye hasira waliokuwa wakitetea haki na mali zao za maisha yote, jambo ambalo lililazimu upande wa mwekezaji kukimbia ili kunusuru maisha yao kutokana na ghadhabu za wananchi. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Oktoba 3,2026 na wananchi wa kitongoji hicho kuhusu kinachoendelea katika kijiji hicho wamesema wameishi katika Kitongoji cha Saburi kwa zaidi ya miaka 30. Wamesema kuwa eneo hilo walipewa kihalali na mwekezaji aliyetangulia, na baadaye Halmashauri ilipima na kuweka alama (beacons) kutenga eneo hilo kutoka katika  Shamba la mwekezaji na wananchi hao pia waliuza  vipande vya maeneo ilikupata pesa kwaajili ya kujenga makazi na kujiendeleza katika eneo lao. “Kwa sasa eneo hili limetambuliwa na kusajiliwa rasmi na TAMISEMI kama Kitongoji kinachojitegemea, chenye miundombinu kamili ikiwemo shule,Zahanati, Miskiti na Kanisa, Miundombinu ya Umeme wa REA na Visima vya Maji.Pia kuna makazi ya wananchi zaidi ya 600 Wakieleza zaidi wamesema mwaka 2025 halmashauri ilimuandikia barua rasmi mwekezaji huyo ikimtaka aachie ekari 400 ili kupisha makazi ya wananchi hawa waliowekeza maisha yao hapo zaidi ya miaka 30. Hata hivyo, mwekezaji huyo amegoma kabisa kutii agizo hilo, akionyesha wazi kiburi cha kupambana na maamuzi ya Serikali za Mitaa. Kuhusu tukio la mwekezaji kwenda na tingatinga wananchi hao wamesema hali hiyo inaweza kuhatarisha amani ya eneo lao wakati wowote.”Tunaiomba Serikali kupitia ofisi za Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa kuchukua hatua za dharura ikiwemo kumzuia mara moja Akram Aziz kufanya jaribio lolote la kubomoa makazi na taasisi za kijamii katika Kitongoji cha Saburi. Hatua nyingine ni kufanya uchunguzi wa dharura kuhusu hati anazozitumia kujitwalia ardhi ya wananchi waliokaa kihalali kwa zaidi ya miongo mitatu pamoja na kulinda usalama wa maisha na mali zao kwa kupeleka vyombo vya ulinzi kuzuia mwekezaji huyu kujichukulia sheria mkononi. “Haiwezekani wananchi wa Kitongoji cha Saburi tuwe wakimbizi ndani ya nchi yetu wenyewe baada ya kuishi kwa zaidi ya miaka 30. Tunaomba msaada wa haraka, “wamesema wananchi wa Kitongoji cha Saburi, Makuyuni.

Sun, 04 Oct 2026 15:39:21 +0000
National · The Star Kenya

El Niño rains will arrive from next week – Met

Farmers urged to rely on detailed forecasts issued by meteorological officials

Recently
National · Capital FM

Sifuna unveiled as The Equitable Party 2027 Presidential Candidate

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
National · Daily News

Tanzania moves to work closely with TAOMAC to ensure an adequate supply of fuel countrywide

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Daily News

Tanzania orders tobacco-buying firms to clear outstanding payments to farmers by Oct 30

TABORA: THE Minister for Agriculture, Daniel Chongolo has given tobacco-buying companies until October 30, 2026, to clear outstanding payments owed…

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania connects power to million households with Dar and Coast regions using over 800 megawatts

DAR ES SALAAM: OVER a million households have been connected to electricity across Tanzania, with Dar es Salaam and Pwani…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

AU clarifies Egypt's remaks on regional tension

AU says Egypt remarks were intended to promote de-escalation and not assign responsibility

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania invests 33.9bn/- to bolster irrigation of 3,500 hectares of farms in Mpanda

MPANDA: THE Tanzanian government has invested a total of 33.9bn/- in the Mwamkulu irrigation project in Mpanda Municipal Council, Katavi…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Yemen ramping up plan to reclaim land from Houthis

It comes after an exchange of strikes between the Houthis and the Saudi-led coalition

Recently
Uncategorized · The Standard

Mbadi hits out at Sifuna, says opposition lacks economic agenda

The National Treasury CS John Mbadi has hit out at Nairobi Senator Edwin Sifuna saying that criticising President William Ruto should not be an agenda for a presidential candidate.

Sun, 04 Oct 2026 18:04:09 +0300
Sports · Mwanaspoti

Mgomo: Liverpool yapewa msala wa Man City

MASHABIKI wanaotaka hatua kali dhidi ya Manchester City wameanza kuisukuma Liverpool kuongoza mgomo wa ligi nzima, wakitaka timu zote zikatae kucheza dhidi ya miamba hiyo hadi adhabu itakapotolewa.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Bruno: Ronaldo bado ni alama ya Ureno

KIUNGO wa Manchester United na timu ya taifa ya Ureno, Bruno Fernandes amesema Cristiano Ronaldo bado ni alama kubwa zaidi ya soka nchini hiyo licha ya kuondoka kambini baada ya kufahamishwa...

Recently
Sports · Mwanaspoti

Nyota wa Yanga aanza na makali Morocco

Soma zaidi hapa

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Khalwale: We used ‘decoys’ to shield Sifuna’s TEP party

Khalwale said group adopted the strategy after sensing that the State was keen on frustrating Sifuna

Recently
Uncategorized · The Standard

Gazebo fire raises concerns over investment in Mambrui

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

CoRSU Disability Walk raises funds for children with disabilities

A Ugandan hospital for people with disabilities is aiming to raise 400m Ugandan shillings to pay for surgery and rehabilitation for 100 children. CoRSU Hospital held its third annual Disability Walk...

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania calls on clerics to educate the public on Zakatul Maal which requires Muslims to give charity from their wealth

DODOMA: TANZANIAN Imams have been urged to strengthen public education on Zakatul Maal to enable Muslims who meet the required…

Recently

Page 879 of 1133 · 22644 stories