Unganishwa

Search the region

22637 stories

Uncategorized · The Star Kenya

How to spot a psychopath at work

Psychopaths may act impulsively, be manipulative, or even outright lie to advance their careers.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Dk Mwigulu asimikwa kuwa Kanoni Mlei Kanisa Anglikana Tanzania

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Blockbuster matchups confirmed for Floodies 43rd edition

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Mradi wa Bwawa la Kidunda wafikia asilimia 70

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Mystery as body found in burnt vehicle in Kajiado

A gas cylinder was also found inside the vehicle alongside the body of an unidentified female burnt beyond recognition.

Recently
Uncategorized · The Standard

Petition seeks regulation of quad-bike tourism

Read the full report from the original source.

Recently
Business · HabariLeo

Wageni wavutiwa uwekezaji AFCON 2027

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

TPLF yavuye i Mekelle mu gihe ingabo za Ethiopia n'abafatanya na zo binjiye muri uwo mujyi

TPLF yavuze ko ibikorwa bya gisirikare byatangijwe mu bice byinshi byari byasatiriye Mekelle muri iyi minsi, bituma habaho kugira impungenge ku mutekano w'abasivile.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Wanafunzi milioni 4.2 kufanya upimaji wa kitaifa wa darasa la pili, nne na kidato cha pili

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Achani: Kwale to continue awarding tenders to women, youth, PWDs

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

NCIC: We did not clear Kaluma, Otuoma over remarks

NCIC chairperson Dr Kepha Omae dismissed claims that the commission had summoned the two leaders to sanitise their remarks.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Démystification : Existe-t-il des preuves que les tickets de caisse ont une incidence sur la fertilité ?

Les reçus sont devenus une source inattendue d'inquiétude sanitaire en ligne, des influenceurs fitness mettant en garde contre les substances chimiques utilisées dans le papier thermique qui pourraient perturber les horm

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Germany's Merz visits Kyiv as Russia strikes bridge

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Three arrested in Nairobi, 32 stolen phones recovered

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KT Press

Why Is The UN Not Concerned With The Safety of Congolese Tutsi?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Dk Ndilito aongoza kura za maoni CCM kumrithi Ndejembi

Dk Netho Ndilito ameongoza kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) za kumpata mgombea ubunge wa Chamwino, akipata kura 2,401 kati ya 6,172 zilizopigwa jana Jumamosi, Oktoba 3, 2026.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

State probes alleged fake titles on Lamu refinery land

Owino claimed about 90 families who were occupying the area when the port was being established received Sh1.4 billion in compensation.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Dk Mwigulu asimikwa rasmi kuwa Kanoni Mlei wa Kanisa Anglikana Tanzania

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Bandits kill eight people, steal over 300 cattle and goats in Samburu

Tension is high in Samburu County after suspected bandits raided Lolmolog and Morijo villages, killing eight people.

Sun, 04 Oct 2026 12:36:29 +0300
National · Issa Michuzi

MASAUNI AWATAKA KUHAMA WANAOISHI MAENEO HATARISHI MTO MSIMBAZI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza wakati wa ziara yake ya kikazi kukagua shughuli za usafi katika Mto Ng’ombe Jijini Dar es Salaam, Septemba 3, 2026, kutekeleza maelekezo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi aliyoyatoa wakati wa ziara yake Septemba 18, 2026. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akishiriki zoezi la kufanya usafi kwa kutumia mashine maalum katika Soko la Kariakoo Jijini Dar es Salaam, Septemba 3, 2026. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (mwenye kofia) akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo wakati wa akikagua shughuli za uhifadhi wa mazingira Mto Msimbazi, Kata ya Kipawa, Mtaa wa Karakata Jijin Dar es Salaa, Septemba 3, 2026. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akikagua shughuli za usafi katika Mto Ng’ombe Jijini Dar es Salaam, Septemba 3, 2026, kutekeleza maelekezo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi aliyoyatoa wakati wa ziara yake Septemba 18, 2026. PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS NA; MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wananchi wanaoishi maeneo hatarishi hasa pembezoni mwa Mto Msimbazi kuhama kwa kuwa wanahatarisha usalama wa maisha yao na mali. Waziri Masauni amesema ni bora kwa sasa wakatafuta makazi mbadala kwa kuwa mazingira wanayoishi sio salama kwao pamoja na familia zao hasa kutokana na utabiri uliotolewa kwa uwepo wa El Nino. Mhe. Masauni ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi Jijini Dar es Salaam, Septemba 3, 2026, kutekeleza maelekezo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi aliyoyatoa wakati wa ziara yake Septemba 18, 2026. “Kwa kweli Maisha yao yapo hatarini, niendelee kutoa wito kwa wananchi wote ambao wanaishi katika maeneo kama haya, sio kwa Dar es Salaam pekee bali nchi nzima wanapaswa kuchukua tahadhari juu ya hii. “Nipende kusisitiza kwa watu wote kusikiliza maelekezo ya wataalamu hasa katika kipindi hiki juu ya utaratibu wa kuishi katika maeneo haya au ikiwezekana kuhama na kutafuta makazi mengine,” amesema Masauni. Aidha, Waziri Masauni amesema kuwa licha ya jitihada kubwa zinazofanywa na Serikali kukabiliana na changamoto ya taka na uchafu katika mifereji na mito, baadhi ya wananchi bado wanaendelea kutupa taka katika maeneo hayo. Ameongeza kwa kuwataka viongozi katika ngazi zote kusimamia kikamilifu utekelezaji wa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kila mmoja anapaswa kuwajibika ili kuhakikisha maelekezo yanatekelezeka kwa kuhakikisha miji inakuwa misafi. Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wananchi kuhakikisha mifereji na njia za maji zinakuwa safi na zinaweza kupitisha maji kwa ufanisi wakati wa mvua. Ameongeza kuwa Halmashauri itaendelea kushirikisha sekta binafsi katika huduma za usafi, huku Dampo la Pugu Kinyamwezi likipokea excavator mpya ili kuongeza ufanisi wa usimamizi wa taka.

Sun, 04 Oct 2026 09:44:18 +0000

Page 883 of 1132 · 22637 stories