Search the region
22511 stories
STAR.VISION, University of Rwanda and Rwanda Space Agency sign tripartite MoU on space education and AI
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda converts World Bank loans into Japanese yen to reduce debt risk
Read the full report from the original source.
RecentlyGerman President to visit Kenya next week
Steinmeier is expected to hold talks with President William Ruto and visit institutions involved in digital services, healthcare and skills training
RecentlyAbagore hafi 600 bishwe muri Afurika y'Epfo mu mezi atatu
Abakuriye polisi basabye ko habaho ibikorwa byinshi cyane byo kwirinda ihohoterwa rikorerwa abagore n'abana.
RecentlyEckert handed new Southampton contract after spygate saga
Read the full report from the original source.
RecentlyMP Ndindi Nyoro demands transparent recruitment of IEBC CEO
Read the full report from the original source.
RecentlyPale juu... Kwanini Arsenal wanaotea sana?
Read the full report from the original source.
RecentlyArgentina bila Messi, Ureno bila Ronaldo vilio vimeanza kusikika
Read the full report from the original source.
RecentlyLes vers de terre, de grands ingénieurs de la terre
Face à l’insuffisance des engrais agricoles, le vermicompostage peut être une alternative. Avec cette technique, les vers de terre sont des acteurs clés pour produire du vermicompost et ses sous-produits. Leurs avantages sont, entre autres, l’augmentation de la production agricole, la correction de l’acidité des sols et la protection de l’environnement selon les experts.
Sat, 21 Nov 2026 05:59:49 +0000Vodafone funds its own Sh68 billion buyout in Safaricom
Read the full report from the original source.
RecentlyIEBC calls out opposition leaders for storming out of 2027 election talks
Read the full report from the original source.
RecentlyRekodi za ajabu Kombe la Dunia U-17
Read the full report from the original source.
RecentlyKisa Simba, hofu yatanda Sauzi
Soma zaidi hapa
RecentlyPochettino vows to 'build something' at struggling Man Utd
Read the full report from the original source.
RecentlyUS diaspora tour: Sifuna receives warm welcome
Sifuna, the Linda Mwananchi Movement party leader, is in the US for a two-week tour that will see him engage Kenyans living in the diaspora.
RecentlyAmajwi, Imvo n'Imvano: Inyuma y'imyaka 25 sentare ya Afrika y'ubuseruko ishinzwe, yashitse ku ki? , Umwanya bimara 59,00
Mu ndwi iheze, ni ho sentare y'ishirahamwe ry'ibihugu vya Afrika y'ubuseruko yahimbaza imyaka 25 irangiye iyo sentare ishinzwe.
RecentlySand truck flattens shops at Bukoto boda boda stage
A sand-laden truck lost control on Friday and rammed into shops at the Ssemwogere boda boda stage, near the Kyebando flyover on the Northern Bypass…
RecentlyMEI Centre recognized as a model for youth economic empowerment
Read the full report from the original source.
RecentlyMP Kihara trips and falls on podium at Rigathi's event
Naivasha MP Jane Kihara fell while preparing to address more than 1,000 visitors at Rigathi Gachagua’s Wamunyoro residence but quickly recovered and continued.
RecentlyNGOs ZATAKIWA KUJITEGEMEA KIFEDHA, WAZIRI MKUU KUFUNGUA JUKWAA DODOMA
Na Karama Kenyunko, Michuzi TV MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini yametakiwa kubuni vyanzo vya ndani vya mapato na kuimarisha ubia na sekta binafsi ili kupunguza utegemezi wa ufadhili kutoka nje na kuhakikisha uendelevu wa shughuli zake za kijamii. Wito huo umetolewa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Jukwaa la Sita la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, litakalofanyika jijini Dodoma kuanzia Novemba 25 hadi 28, 2026. Dkt. Gwajima amesema changamoto ya utegemezi wa wafadhili, masharti magumu ya upatikanaji wa fedha na kutotabirika kwa ufadhili ni miongoni mwa mambo yanayohitaji majadiliano ya kina ili kupata suluhisho litakalowezesha mashirika hayo kuendelea kutoa huduma kwa jamii. Amesema kutokana na hali hiyo, jukwaa la mwaka huu limejikita katika kaulimbiu isemayo, “Fikra Mpya Kuhusu Uendelevu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali: Ubunifu, Ubia na Upatikanaji wa Rasilimali Fedha Kupitia Vyanzo vya Ndani.” Katika jukwaa hilo, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi, huku washiriki takribani 3,500 kutoka serikalini, sekta binafsi, washirika wa maendeleo, vyombo vya habari na mashirika yasiyo ya kiserikali wakitarajiwa kushiriki. Dkt. Gwajima amesema zaidi ya mashirika 8,000 yaliyosajiliwa nchini yanatoa huduma katika sekta mbalimbali zikiwemo afya, elimu, maji, kilimo, uhifadhi wa mazingira, uwezeshaji kiuchumi, haki za binadamu, usawa wa kijinsia na ulinzi wa kijamii, hali inayodhihirisha umuhimu wa sekta hiyo katika maendeleo ya Taifa. Amesema mchango wa mashirika hayo ni muhimu zaidi katika kipindi hiki ambacho Tanzania imeanza kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, iliyozinduliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Julai 17, 2025. Ameeleza kuwa Wizara hiyo iliandaa Juni 2026 Mkakati wa Kitaifa wa Mageuzi ya Kijamii na Maendeleo ya Mtaji Watu katika kufikia malengo ya Dira 2050, unaojulikana kama Jamii Ajenda Dira 2050, unaoongozwa na falsafa ya “Familia Imara, Jamii Imara, Taifa Imara.” Kwa mujibu wa Waziri huyo, jukwaa hilo ni la sita tangu kuanzishwa kwake mwaka 2021 na litatoa fursa kwa wadau kujadili mafanikio, changamoto na fursa za ufadhili, pamoja na kubadilishana uzoefu kuhusu namna bora ya kuimarisha uendelevu wa mashirika hayo. Amesema mijadala itafanyika Novemba 25 na 26 katika Ukumbi wa Urio Executive, huku kilele cha jukwaa kikifanyika Novemba 27 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Aidha, Novemba 28 kutakuwa na mbio za hisani katika Uwanja wa Jamhuri, utoaji wa huduma za afya kwa wakazi wa Dodoma, shughuli za uwajibikaji kwa jamii pamoja na maonesho ya bidhaa na shughuli zinazotekelezwa na mashirika na wadau wa sekta binafsi. Dkt. Gwajima ametoa wito kwa taasisi za serikali, mamlaka za serikali za mitaa, sekta binafsi, washirika wa maendeleo, mashirika yasiyo ya kiserikali, vyombo vya habari na wananchi kujitokeza kushiriki jukwaa hilo ili kuongeza maarifa na kujenga mikakati ya pamoja ya kuimarisha sekta hiyo.
Sat, 21 Nov 2026 04:25:16 +0000Page 89 of 1126 · 22511 stories