Unganishwa

Search the region

22626 stories

Uncategorized · The Star Kenya

Uhuru’s unity message at Karua’s father’s funeral

He said Kenyans would ultimately determine who should lead the country.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MAKAMU WA RAIS AWASILI MISRI KUMWAKILISHA RAIS DKT SAMIA, KATIKA MKUTANO WA NANE WA NUSU MWAKA WA UMOJA WA AFRIKA (AU)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, amewasili Jijini New Alamein nchini Misri kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Nane wa Uratibu wa Katikati ya Mwaka wa Umoja wa Afrika (8th African Union Mid-Year Coordination Summit) pamoja na mikutano mingine ya ngazi ya Juu ya Jumuiya za Kiuchumi za Kikanda. Mkutano huo unafanyika katika mji wa New Alamein, nchini Misri kuanzia tarehe 02 Oktoba 2026, chini ya kaulimbiu “Africa on the Land of El Alamein.” Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Alamein, Makamu wa Rais amepokelewa na Waziri wa Michezo na Vijana wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mhe. Gohar Nabil, Balozi wa Tanzania nchini Misri Mhe. Meja Jenerali Richard Makanzo, pamoja na maafisa mbalimbali wa Serikali ya Misri na Tanzania. Mara baada ya kuwasili, Mhe. Makamu wa Rais amepokea taarifa kuhusu maandalizi ya Tanzania kushiriki mkutano huo, ambao unawakutanisha viongozi wa juu wa nchi 15 wanachama wa Umoja wa Afrika na Taasisi mbalimbali za Kimataifa na Kikanda kwa lengo la kujadili na kuratibu masuala muhimu yanayohusu maendeleo na ushirikiano wa Bara la Afrika. Ushiriki wa Tanzania katika mkutano huo ni sehemu ya kuendeleza ushirikiano wake ndani ya Umoja wa Afrika na kuchangia katika mijadala kuhusu utekelezaji wa vipaumbele vya maendeleo ya Bara la Afrika, ikiwemo uchumi, amani, usalama na ushirikiano miongoni mwa mataifa ya Afrika. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo, ikiwa ni mwendelezo wa Tanzania kushiriki katika majukwaa ya kikanda na kimataifa yanayojadili masuala yenye maslahi kwa Tanzania na Bara la Afrika kwa ujumla.

Sat, 03 Oct 2026 17:45:21 +0000
Business · Issa Michuzi

AFRIKA INA MIPANGO MIZURI, SASA NI WAKATI WA UTEKELEZAJI - MAKAMU WA RAIS:

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema Afrika ina sera, mikakati na makubaliano mazuri ya maendeleo, lakini sasa inapaswa kuongeza kasi ya utekelezaji ili rasilimali na fursa za bara hilo ziwanufaishe wananchi moja kwa moja. Akizungumza kwa niaba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Alamein–Africa Business Forum nchini Misri, Makamu wa Rais amesema Afrika inahitaji kuongeza uzalishaji, kujenga uchumi unaostahimili misukosuko ya nje na kuwekeza zaidi katika nishati na miundombinu. Akitolea mfano Tanzania, ametaja Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye uwezo wa MW 2,115, pamoja na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inayoweka mkazo katika nishati, gesi asilia, nishati jadidifu na miundombinu ya kiuchumi. Makamu wa Rais pia amesisitiza ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi, uwekezaji unaovuka mipaka na kuunganisha uchumi wa nchi za Afrika ili kuongeza uzalishaji, ajira, thamani ya rasilimali na biashara ndani ya bara. Amesema Tanzania inaendelea kushirikiana na nchi za Afrika Mashariki katika miradi ya kimkakati ya reli, mafuta, nishati na bandari, inayochochea biashara na mtangamano wa kikanda. Katika jukwaa hilo lililofunguliwa na Rais wa Misri, Mhe. Abdel Fattah El-Sisi, Mwenyekiti wa AU na Rais wa Burundi, Mhe. Évariste Ndayishimiye, ametoa wito wa kugeuza utajiri na fursa za Afrika kuwa matokeo halisi ya kiuchumi ili kufanikisha Agenda 2063. Mwenyekiti wa Dangote Group, Aliko Dangote, amesisitiza pia umuhimu wa Afrika kuharakisha ukuaji wa viwanda na kuongeza thamani ya rasilimali zake ndani ya bara badala ya kuuza malighafi na kuagiza bidhaa zilizotengenezwa kutokana na malighafi hizo.

Sat, 03 Oct 2026 17:48:45 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

‘Wengine wamepotea’: Ruto’s playful swipe at Coast tour leaders

He joked that some leaders could not keep up with his packed schedule.

Recently
Sports · Azam TV Videos

NGAO YA JAMII 2026 | Simba Queens 1-0 JKT Queens | Washindi - 03/10/2026

#NgaoYaJamiiWanawake: Tazama waamuzi, washindi wa tatu na wa pili walivyopokea medali zao kwenye #NgaoYaJamii2026. Washindi wa tatu ni Yanga Princess na washindi wa pili ni JKT Queens. FT: Simba Queens 1-0 JKT Queens #KariakooDerbyWanawake #NgaoYaJamii2026 #Wanawake #TFF #Fainali #SimbaQueens #JKTQueens #SimbaQueensJKTQueens

2026-10-03T17:27:51+00:00
Uncategorized · Capital FM

Karua Recalls ‘Baba’s’ Advice on Political Alliances

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

German Unity Day in Bremen: 'Many Strengths — One Country'

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Azam TV Videos

NGAO YA JAMII 2026 | Simba Queens 1-0 JKT Queens I Shangwe la ushindi - 03/10/2026

#NgaoYaJamiiWanawake: Tazama shangwe la Simba Queens baada kukabidhiwa taji la #NgaoYaJamii2026. FT: Simba Queens 1-0 JKT Queens Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #KariakooDerbyWanawake #NgaoYaJamii2026 #Wanawake #TFF #Fainali #SimbaQueens #JKTQueens #SimbaQueensJKTQueens

2026-10-03T17:08:06+00:00
Uncategorized · The Standard

Raila family to lead official candle lighting ceremony despite ODM's nationwide exercise

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Audio — Flash Info 17hTU (03.10.26)

To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video

Recently
Uncategorized · Daily News

GGML commits to advance community projects in line with CSR obligations

GEITA: GEITA Gold Mining Limited (GGML) has reaffirmed its commitment to supporting the development of social services through its Corporate…

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Ukraine to step up oil attacks as Russia hits Kyiv bridges

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · CEO East Africa

dfcu, CFAO Make New Toyota RAV4 and Land Cruiser FJ Ownership More Affordable

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Karua’s father laid to rest in Kirinyaga

"We will carry you with us, always."

Recently
Uncategorized · The Standard

Kericho Annex Prison under scrutiny over death of remand prisoner

Brenda Chemutai was reportedly found hanging from a double-decker bed at around 9 am when her fellow cellmates were having breakfast on Friday.

Sat, 03 Oct 2026 20:00:00 +0300
Sports · Azam TV Videos

NGAO YA JAMII 2026 | Simba Queens 1-0 JKT Queens | Goli - 03/10/2026

#NgaoYaJamiiWanawake: Tazama namna Aisha Mnunka wa Simba Queens alivyochomoka kama mshale na kwenda ‘kuwatungua’ JKT Queens. Hili ndilo goli lililoipa ushindi wa Ngao ya Jamii Simba Queens. FT: Simba Queens 1-0 JKT Queens #KariakooDerbyWanawake #NgaoYaJamii2026 #Wanawake #TFF #Fainali #SimbaQueens #JKTQueens #SimbaQueensJKTQueens

2026-10-03T16:45:49+00:00
Uncategorized · The Citizen

EAC speakers agree to engage governments on unpaid contributions

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Mudavadi urges Africa to unite, drive own development

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

TCU opens final seven-day window for university admissions

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Mudavadi urges Africa to unite, drive its own development

Read the full report from the original source.

Recently

Page 892 of 1132 · 22626 stories