Search the region
22602 stories
SERIKALI INATHAMINI WAJASIRIAMALI WADOGO NA WA KATI KUINUA BIASHARA ZAO - KAPINGA
📌Azindua Kitabu cha mwongozo wa bei za keki kwa waokaji nchini; 📌Asema sekta ya uoakaji ina ajiri wajasiriamali wengi kwenye soko la ajira WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga (Mb), amezindua kitabu cha mwongozo wa upangaji bei za keki kilichoandaliwa na mjasiriamali wa ndani, Tahya, maarufu Leymax, huku akimpongeza kwa mchango wake katika kuwawezesha wajasiriamali nchini. Akizungumza katika uzinduzi huo, Kapinga alisema vijana wengi, hususan wanawake na wanaume, wamepata elimu na ujuzi wa ujasiriamali kupitia mafunzo yanayotolewa na Leymax, ikiwemo ujuzi wa utengenezaji wa keki. “Serikali inathamini mchango mkubwa unaotolewa na wajasiriamali wadogo na wa kati hapa nchini na tunaahidi kuendelea kuweka mazingira mazuri ya biashara kwa waokaji,” alisema Kapinga. Alisema mchango wa wajasiriamali katika kukuza uchumi ni muhimu, hivyo Serikali itaendelea kushirikiana na sekta binafsi katika kuhakikisha fursa za biashara na uzalishaji zinaimarishwa. Kwa upande wake, Tahya alimshukuru Waziri Kapinga kwa kuitikia mwaliko wa kushiriki katika uzinduzi wa kitabu hicho, akisema kitakuwa chachu ya kuleta mabadiliko katika sekta ya uokaji na kuwawezesha waokaji kupanga bei zao kwa kuzingatia gharama halisi za uzalishaji. Alisema mwongozo huo unalenga kuwasaidia wajasiriamali katika kufanya mahesabu sahihi ya gharama za kutengeneza keki na kupanga bei zinazoweza kuwawezesha kuendesha biashara zao kwa tija na faida.
Sat, 03 Oct 2026 08:42:31 +0000Russia strikes another major bridge in Kyiv, says mayor
Read the full report from the original source.
RecentlyWhy East Africa needs more refineries
Read the full report from the original source.
RecentlyIndia’s UniHealth Takes 99.8% Control of Victoria Hospital in UGX26.1b Share Swap, Changes Name
Read the full report from the original source.
RecentlyCoast leaders back government efforts to address land squatter problem
Read the full report from the original source.
RecentlyAbdulswamad orders free healthcare across Mombasa to mark month-long Raila Odinga commemorations
Read the full report from the original source.
RecentlyVETA wins top award at Mining Technology Exhibition
GEITA: THE Vocational Education and Training Authority (VETA) has emerged the overall winner among education institutions participating in the Ninth…
RecentlyIndia news: CJP announces October 10 march to Delhi
Read the full report from the original source.
RecentlyFlydubai co-pilot attacked captain with axe, UAE official says
Read the full report from the original source.
RecentlyTZ ready for IPU Assembly
Read the full report from the original source.
RecentlyRussia strikes second major bridge in Kyiv, mayor says
Read the full report from the original source.
RecentlyCHONGOLO AITAKA ASA KUZALISHA MBEGU KWA TIJA
WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) amewataka watumishi wa Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) kufanya kazi yenye tija inayoonekana, maarifa na ubunifu ili kuleta matokeo kwa wananchi. Amesema akiwa katika ziara ya kikazi kukagua shughuli za uzalishaji wa mbegu katika Shamba la Mbegu la Kilimi linalosimamiwa na Wakala wa Mbegu za Kilimi (ASA) tarehe 2 Oktoba 2026, mkoani Tabora. “Niwaombe tujielekeze kwenye matokeo, tutafute matokeo kwa kutengeneza jambo kwa tija. Kila mmoja ataliona na watu watasema jambo hili limefanyika,” amesema, akisisitiza kuwa mafanikio ya uzalishaji wa tani mbalimbali katika shamba hilo si jambo dogo bali ni matokeo ya kazi iliyofanyika. Shamba la Mbegu la Kilimi ni miongoni mwa mashamba yanayomilikiwa na ASA yenye jukumu la kuweka msukumo wa uzalishaji wa mbegu nchini ili kupunguza utegemezi wa mbegu kutoka nje ya nchi. Aidha, Mhe. Chongolo ameielekeza ASA kuongeza uwekezaji wa miundombinu ya umwagiliaji, ili kuhakikisha msimu ujao uzalishaji unaongezeka kwa kiwango kikubwa zaidi. Kwa upande wake, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa ASA, Mhandisi Innocent Masaka, amesema shughuli za uzalishaji katika Shamba la Mbegu la Kilimi kwa sasa zinafanyika kwa misimu miwili kwa mwaka kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali katika miundombinu ya umwagiliaji, ambapo eneo lenye ukubwa wa ekari 1,000 limewekewa miundombinu hiyo. Amesema katika msimu wa masika, shamba lilizalisha mbegu za Mahindi katika hekta 142 na Alizeti katika hekta 119, ambapo tani 231.900 za Mahindi na tani 40.300 za Alizeti tayari zimesafirishwa kwenda Makao Makuu ya ASA Morogoro kwa ajili ya uchakataji, huku kilo 8,800 za mbegu za Alizeti zikiwa bado shambani zikisubiri kusafirishwa. Kwa msimu wa kiangazi, shamba limezalisha mbegu za Maharage aina ya Uyole Njano katika eneo la hekta 40, ambapo zao hilo liko katika hatua ya kukomaa na linatarajiwa kutoa tani 40 za mbegu. Mhandisi Masaka amesema kwa msimu wa kilimo wa 2026/2027, Shamba la Kilimi linatarajia kupanda hekta 145 za Mahindi na hekta 155 za Alizeti, kwa matarajio ya kuvuna tani 363 za Mahindi na tani 155 za Alizeti.
Sat, 03 Oct 2026 08:23:17 +0000Flydubai co-pilot attempted 'terrorist attack,' UAE says
Read the full report from the original source.
RecentlyVP orders speedy peri-urban power connections
DAR ES SALAAM: VICE-PRESIDENT Deogratius Ndejembi has directed the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) and its partners to accelerate implementation…
RecentlyRubis takes 34pc share of Kenya's jet fuel market
Read the full report from the original source.
RecentlyUAE investigators say flydubai co-pilot was planning 'terrorist act'
Read the full report from the original source.
RecentlyKCB Rugby face KCB KOBS in ‘Sibling Rivalry’ friendly clash
Latest · Rugby
RecentlyEXPLAINER: Inside Billionaire Sudhir Ruparelia’s €200M London High Court Battle Against Dutch Banking Giant Rabobank Over Crane Bank
Nearly a decade after the controversial closure of Crane Bank, the bitter financial dispute between Ugandan tycoon Dr. Sudhir Ruparelia and the actors involved in its takeover has taken center…
RecentlyPresident Museveni commended for skilling initiative as State House announces new hub in Busoga
President Yoweri Kaguta Museveni has been commended for establishing the Presidential Industrial Skilling Hubs, with State House announcing plans to set up an additional hub in Bugiri District to expand…
RecentlyNchi iko salama kwa chakula – Kamati ya Bunge
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 899 of 1131 · 22602 stories