Unganishwa

Search the region

22602 stories

Business · PML Daily

Financing, not minerals, is holding back Uganda’s mining sector, says KCB

Uganda's mining sector is held back less by what lies underground than by a shortage of money to bring it to market, according to a KCB Bank Uganda executive. Timothy Wilkins...

Recently
Uncategorized · KBC

Police intercept tanker carrying 10,000 litres of suspected ethanol in Kiambu

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Salama road crash kills 17 pilgrims heading to Subukia

The accident occurred on Saturday, October 3, shortly after midnight when a lorry reportedly lost control after its brakes failed and rammed into several vehicles, including a 14-seater matatu.

Recently
Uncategorized · Yaga Burundi

Gashikanwa : chronique d’une femme qui s’accroche à une justice qui la fuit

Se résigner face à l’injustice, se cacher derrière les inégalités de genre, se complaire dans une coutume discriminante, c’est souvent le choix que font la plupart des femmes qui préfèrent subir l’injustice, soi-disant pour préserver l’harmonie et l’entente au sein […] L’article Gashikanwa : chronique d’une femme qui s’accroche à une justice qui la fuit est apparu en premier sur Yaga Burundi .

Sat, 03 Oct 2026 07:20:54 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

Omani co-pilot on Flydubai attempted 'terrorist' act — UAE

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · PML Daily

V&A gives Miss Uganda finalist one night to unwind ahead of grand finale

As the Miss Uganda Grand Finale draws closer, the intensity is building, with finalists navigating rigorous training, rehearsals, challenges and the growing pressure that comes with competing for the crown. V&A...

Recently
Uncategorized · Chimpreports

CHIMP SPORT: Cranes Stun DR Congo in First Friendly

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

CHIMP SPORT: Uganda Names 25 Athletes for Dakar 2026 Youth Olympic Games

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

PSG's Torres latest Spain injury concern

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Regional intrigue as Uganda’s Military Chief Gen. Muhoozi backs Ruto for 2027 re-election

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Ksh. 6.4B boost for NYS as Gov't targets 100,000 youth

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

17 pilgrims killed in multiple-vehicle crash on Nairobi-Mombasa Highway

17 people have been killed in a road accident at Salama along the Nairobi-Mombasa Highway in Makueni County. The accident occurred on Saturday, October 3, shortly after midnight when a…

Recently
Uncategorized · Capital FM

History awaits as Kenya names squad for Pan African Karting Championships

Latest · Motorsport

Recently
Uncategorized · PML Daily

Anne Juuko takes charge at EADB as regional lender begins new leadership era

KAMPALA — Ugandan banker Anne Juuko has assumed the top executive position at the East African Development Bank (EADB), taking charge of the regional lender as it moves to strengthen its...

Recently
Uncategorized · BBC Rwanda

Amajwi, Imvo n'Imvano: Kuki bishobora kutoroha gutuza inzoga zitubahiriza amategeko mu Burundi? , Umwanya bimara 59,00

Nk'uko biherutse kuba mu Rwanda, mu Burundi reta ku ndwi iheze yasohoye ingingo yo kubuza icuruzwa ry'inzoga n'inganda zizikora zagirizwa kurenza urugero zari zemerewe.

Recently
National · Issa Michuzi

Dkt. Shekalaghe Aongoza Kikao Kazi Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akikaribishwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuendesha kikao kazi na wajumbe wa menejimenti wa Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda akikaribishwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kushiriki kikao kazi na wajumbe wa menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akisalimiana na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati anawasili kuendesha kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda akisalimiana na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati anawasili kushiriki kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam. Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akimkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuendesha kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akizungumza na uongozi na menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es salaam. Baadhi ya wajumbe wa menejimenti wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakijitambulisha kabla ya kikao kazi cha Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe (hayupo pichani) kilichofanyika jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuendesha kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo jijini Dar es salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kushiriki kikao kazi na menejimenti ya Ofisi hiyo jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akipokea nyaraka mbalimbali za utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kikao kazi hicho na menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda, Wakili Mkuu Wa Serikali, Dkt. Ally Possi na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi.Alice E. Mtulo baada ya kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es salaam. Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa kikao kazi baina ya menejimenti ya Ofisi hiyo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe (hayupo pichani) kilichofanyika jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikal, Bi. Prisca Ulomi akiongoza ratiba ya kikao kazi baina ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe (hayupo pichani) na menejimenti ya Ofisi hiyo jijini Dar es Salaam. Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo wakiagana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhe. Balozi Baraka Luvanda baada ya kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es salaam.

Sat, 03 Oct 2026 06:58:04 +0000
Uncategorized · The Nile Post

Kayunga Schools Resist Measles Vaccination Campaign

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Techweez

Government Emergency SMS to Bypass DND and Opt-Out Requests for El Niño Alerts

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Karan makes history in Tanzania after clinching third African title

Latest · Motorsport

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

UWT PWANI YAADHIMISHA WIKI YA WANAWAKE KWA MATENDO YA HURUMA

Na Victor Masangu, Pwani UMOJA wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Pwani umeadhimisha Wiki ya Wanawake kwa kufanya matendo ya huruma kwa akina mama katika Kituo cha Afya Mkoani, kilichopo Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, huku ukifanya usafi wa mazingira katika baadhi ya maeneo. Maadhimisho hayo yameongozwa na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Pwani, Zainabu Vullu, ambaye aliambatana na viongozi mbalimbali wa jumuiya hiyo kutoka ngazi ya Mkoa, Wilaya na Kata. Katika kuadhimisha wiki hiyo, viongozi hao walitembelea Wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya Mkoani na kutoa mahitaji mbalimbali ya msingi kwa wanawake wajawazito na waliojifungua, ikiwemo sabuni za kuogea na kufulia, mafuta ya kupaka, maji, juisi pamoja na mahitaji mengine. Akizungumza baada ya zoezi hilo, Vullu alisema amefarijika kuungana na wanawake wenzake katika kuadhimisha wiki hiyo kwa kufanya matendo yenye kugusa maisha ya jamii. “Kwa kweli nimefarijika sana kuungana na wanawake wenzetu katika siku hii muhimu ya wiki yetu. Tumeamua kufanya maadhimisho haya katika Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha kwa kufanya matendo ya huruma katika Kituo cha Afya Mkoani pamoja na usafi katika nyumba za Katibu wa UWT Mkoa na Katibu wa UWT Wilaya,” alisema. Kwa upande wake, Katibu wa UWT Mkoa wa Pwani, Aziza Omary, aliwataka wanawake kuwa na upendo na mshikamano, huku akiwahimiza kushirikiana katika shughuli mbalimbali za jumuiya na kuachana na makundi. Alisema baada ya kukamilika kwa chaguzi mbalimbali, ni wakati wa wanawake kuunganisha nguvu na kushirikiana katika kuimarisha jumuiya hiyo. Naye Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Kibaha Mjini, Elina Mgonja, alisema maadhimisho hayo yamewapa fursa ya kufanya shughuli za kijamii, ikiwemo usafi na matendo ya huruma. Aliwahimiza wanawake kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kuijenga jumuiya hiyo kuanzia ngazi za chini, huku akiwataka kufanya kazi kwa bidii ili kuchangia maendeleo ya jamii. Awali, akitoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za maadhimisho hayo, Katibu wa UWT Wilaya ya Kibaha Mjini, Cesilia Ndaru, alisema jumuiya hiyo imefanya shughuli mbalimbali za kijamii kuanzia ngazi za matawi na mashina. Alisema pia wamewahimiza wanawake kuweka mikakati endelevu ya kuongeza wanachama wapya kwa lengo la kuimarisha jumuiya pamoja na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa upande wake, Katibu wa Kituo cha Afya Mkoani, Saimon Swai, aliwashukuru viongozi wa UWT Mkoa na Wilaya ya Kibaha Mjini kwa kuchagua kutumia maadhimisho hayo kutoa msaada kwa wanawake waliopo katika Wodi ya Wazazi. Swai alisema msaada huo utasaidia kukidhi baadhi ya mahitaji ya akina mama pamoja na watoto wanaopatiwa huduma katika kituo hicho. Maadhimisho hayo yamehitimishwa kwa kufanya matendo ya huruma katika Kituo cha Afya Mkoani pamoja na zoezi la usafi katika nyumba za Katibu wa UWT Mkoa na Katibu wa UWT Wilaya ya Kibaha Mjini.

Sat, 03 Oct 2026 06:52:42 +0000

Page 900 of 1131 · 22602 stories