Search the region
22574 stories
UPDF Breaks Silence on ‘Lt Mabonga Leaks’
Read the full report from the original source.
RecentlyEthiopia Orders Closure of Asmara Embassy, Gives 10 Eritrean Diplomats 48 Hours to Leave
Ethiopia has ordered the closure of its embassy in Eritrea and given 10 Eritrean diplomats 48 hours to leave t..
RecentlyEritrea Announces Break in Diplomatic Ties with Ethiopia After Expulsion of Diplomats
Eritrea has announced that it will sever all diplomatic ties with Ethiopia, responding to Addis Ababa’s expuls..
RecentlyFerguson on being 'terrified' by brain haemorrhage
Ex-Manchester United manager Sir Alex Ferguson speaks to BBC Breakfast as he approaches his 85th birthday.
RecentlyKamati zatakiwa kuwajibika tahadhari ya El Nino
Read the full report from the original source.
RecentlyRights groups rally behind Standard after pro-gov't supporters stage demos
Rights activists condemn attack on Standard Group by pro-government protesters who staged demos outside its Mombasa Road headquarters, but failed to gain entry.
Fri, 02 Oct 2026 14:35:33 +0300Mwamba Ronaldo anaondokaje Ureno?
BAADA ya kuondoka kwenye kambi ya mazoezi ya Ureno, inaonekana kazi ya Cristiano Ronaldo katika timu ya taifa imefikia mwisho wenye mvutano. H
RecentlyJunior Starlets target convincing World campaign in Morocco
Read the full report from the original source.
RecentlySakaja gives contractors 14 days to complete Nairobi flood-control works
Read the full report from the original source.
RecentlyWhat does Man City guilty verdict mean for their squad?
BBC Sport has spoken to several sources in an attempt to understand how judgement will impact City's dealings
Recently« Je n'allais pas laisser d'autres personnes mourir » : le pilote du vol Flydubai décrit l'attaque du cockpit par son copilote
Le capitaine Smit Machchhar a déclaré au Premier ministre indien Narendra Modi qu'il avait ouvert la porte du cockpit pour laisser entrer d'autres personnes pendant l'attaque.
RecentlyYoco started with card machines. Survival made it grow.
Read the full report from the original source.
RecentlyINGINGO Z'INGENZI Z'IMPAMVU YO GUSABA GUHINDUZA AMAZINA
Fri, 02 Oct 2026 13:24:22 +0200NICKSON SIMON AKABIDHI OFISI KWA MKUU WA WILAYA YA KIBAHA
Na Mwandishi Wetu, Kibaha Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Mhe. Nickson John Simon, amekabidhi rasmi ofisi kwa Mkuu mpya wa Wilaya hiyo, Mhe. Fadhil Nkurlu, aliyeteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kushika nafasi hiyo. Makabidhiano hayo yamefanyika leo, Oktoba 2, 2026, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara za Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini pamoja na viongozi wa taasisi mbalimbali zilizopo wilayani humo. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Mhe. Simon, ambaye amehamishiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songwe mkoani Songwe, amesema anaondoka Kibaha akiwa ameacha kumbukumbu nzuri, ikiwemo kusimamia kwa karibu shughuli za ukusanyaji wa mapato ya ndani katika Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha na Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini. Amesema pamoja na kuondoka Kibaha kiutendaji na kiutumishi, moyo wake utaendelea kuwa na upendo mkubwa kwa wananchi wa Wilaya hiyo, ambao amesema walimpokea, wakamlea na kumpa ushirikiano mkubwa katika kipindi chote alichohudumu. “Naondoka Kibaha kiutendaji na kiutumishi, lakini moyo wangu umejaa upendo mkubwa kwa wana Kibaha ambao walinipokea, kunilea na kunifundisha. Kwa hakika, watu hawa watabaki kuwa sehemu muhimu ya historia ya maisha yangu,” amesema Mhe. Simon. Kwa upande wake, Mkuu mpya wa Wilaya ya Kibaha, Mhe. Fadhil Nkurlu, amesema mafanikio ya Wilaya hiyo yatahitaji ushirikiano wa viongozi wote pamoja na wananchi, akisisitiza kuwa lengo kuu ni kuharakisha maendeleo. Mhe. Nkurlu amesema atahakikisha utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) unaendelea kusimamiwa ipasavyo, huku akisisitiza umuhimu wa viongozi wote kufanya kazi kwa umoja. Amesema maono yake ni kuendeleza kazi nzuri zilizoachwa na Mkuu wa Wilaya aliyemtangulia, huku akiahidi kushirikiana na viongozi wa Serikali, chama, madiwani na watendaji wa Halmashauri zote mbili za Kibaha. “Jambo kubwa ni kuendelea kushirikiana kwa lengo moja la kuleta maendeleo. Tutaendelea pale alipoishia Mkuu wa Wilaya aliyepita na tunatarajia kupata ushirikiano kutoka kwa viongozi mbalimbali wa chama na watendaji wa Halmashauri zote mbili,” amesema Mhe. Nkurlu. Naye Naibu Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, Mhe. Aziza Mruma, amemkaribisha Mkuu huyo mpya wa Wilaya na kumuahidi ushirikiano kutoka kwa Baraza la Madiwani katika kusimamia na kutekeleza mipango mbalimbali ya maendeleo ya Manispaa ya Kibaha.
Fri, 02 Oct 2026 11:20:46 +0000Rwanda Moves to Protect Rwf54 Billion Held by Nearly 15,000 Savings Groups
Read the full report from the original source.
RecentlyKindiki Warns Illicit Alcohol Dealers of Arrests in Intensified Crackdown
NATIONAL NEWS · 5 hours ago
RecentlyJunior Starlets targeting deeper World Cup run
Latest · Harambee Starlets
RecentlyMAWAKALA WA UTALII KUTOKA INDIA WAVUTIWA NA HIFADHI ZA NGORONGORO NA SERENGETI
Mawakala wa utalii kutoka Jamhuri ya India wameelezea kuridhishwa na kuvutiwa na uzuri wa Hifadhi ya Ngorongoro na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, kufuatia ziara ya mafunzo (Fam Trip) iliyoandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa kushirikina na Ubalozi wa Tanzania Nchini India Ziara hiyo yenye lengo la kuitangaza Tanzania katika soko la kimataifa la utalii, imewajumuisha mawakala 13 kutoka majiji mbalimbali ya India. Wakizungumza mara baada ya ziara katika hifadhi ya Kreta ya Ngorongoro iliyotangazwa kama Ajabu ya Nane ya Dunia, walisema Tanzania imebarikiwa kuwa na vivutio vya utalii vya kipekee duniani. “Tumetembea nchi nyingi duniani, lakini kile tulichokiona hapa Ngorongoro ni cha tofauti sana. Muunganiko wa mandhari ya kuvutia, wingi wa wanyamapori katika eneo moja na uhifadhi uliotukuka ni jambo linaoonesha upekee wake, Hakika hii ni sehemu ambayo kila Mhindi anatakiwa kuja kuiona angalau mara moja maishani mwake,” Kwa upande wa Serengeti, mawakala hao walipata fursa ya kushuhudia moja ya maajabu makubwa ya wanyamapori duniani, yakiwemo maelfu ya nyumbu na pundamilia katika harakati za uhamaji, pamoja na wanyama wakubwa watano (Big Five). Mmoja wa mawakala hao alisema Serengeti imezidi matarajio yao. “Tulikuwa tumesikia mengi kuhusu Serengeti kwenye filamu, lakini kuiona kwa macho yetu wenyewe ni hisia tofauti kabisa. Ni mbuga kubwa, ya asili na iliyohifadhiwa vizuri. Tuliona simba, chui na tembo kwa ukaribu. Huduma za malazi na ukarimu wa Watanzania ni wa hali ya juu,” alieleza. Naye Afisa Masoko wa TTB Bwana Michael Ndaisaba alisema soko la India ni muhimu na linaendelea kukua kwa kasi, ambapo Ujio wa mawakala hao utachangia kwa kiasi kikubwa kuongeza idadi ya watalii kutoka Bara la Asia. Ziara ya mawakala hao inatarajiwa kuhitimishwa jijini Zanzibar kwa kutembelea vivutio vya utalii wa fukwe na utamaduni.
Fri, 02 Oct 2026 11:15:57 +0000Pike in critical condition after surviving two lethal injections
Pike’s lawyers have asked for her death sentence to be commuted following the botched execution.
RecentlyKPA sink TH3 Swish, edge closer to Women's basketball final
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 912 of 1129 · 22574 stories