Search the region
22511 stories
Ushirikiano wa Tanzania na Algeria wazaa fursa za elimu kwa vijana 90
Read the full report from the original source.
RecentlyDk Homera azipongeza Kampuni za Offgridsun na Tango Energy kuunga mkono ajenda ya nishati safi ya kupikia
Read the full report from the original source.
RecentlyUrwego rw’ubuhinzi rwungutse abahanga mu butubuzi bw’imbuto
Read the full report from the original source.
RecentlyIEBC clears only 11 parties in first review of nomination rules for 2027 elections
Read the full report from the original source.
RecentlyFinance Minister to Officiate at URSB Conference 2026 as Bureau Pushes for Business Growth
Read the full report from the original source.
RecentlyKisumu: Man sentenced to 15 years in prison for repeatedly defiling minor
Read the full report from the original source.
RecentlyMiradi ya kuimarisha upatikanaji umeme Dar es Salaam yafikia hatua za mwisho kukamilika – MD Twange
Read the full report from the original source.
RecentlyNews Brief: Gangs could sink Kenya into chaos in 2027
Here are the stories making the headlines.
RecentlyWAZIRI MKUU AIPONGEZA PSSSF KWA KAZI NZURI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, akipokea mkoba wenye machapisho na taarifa mbalimbali kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kutoka kwa Afisa Uhusiano Mkuu wa Mfuko huo, Bi. Queen Edward, alipotembelea banda la PSSSF katika Kongamano na Maonesho ya Sekta ya Majengo na Uwekezaji wa Ardhi (Tanzania Real Estate Expo and Forum – TAREX 2026), katika Ukumbi wa Superdome, Masaki, jijini Dar es Salaam, Novemba 20, 2026. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, akipokea mkoba wenye machapisho na taarifa mbalimbali kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kutoka kwa Afisa Uhusiano Mkuu wa Mfuko huo, Bi. Queen Edward, alipotembelea banda la PSSSF katika Kongamano na Maonesho ya Sekta ya Majengo na Uwekezaji wa Ardhi (Tanzania Real Estate Expo and Forum – TAREX 2026), katika Ukumbi wa Superdome, Masaki, jijini Dar es Salaam, Novemba 20, 2026. Dar es Salaam WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ameipongeza na kuitambua kazi nzuri inayofanywa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), katika kusimamia shughuli zake na kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Pongezi hizo amezitoa leo Novemba 20, 2026, alipotembelea banda la PSSSF katika Kongamano na Maonesho ya Sekta ya Majengo na Uwekezaji wa Ardhi (Tanzania Real Estate Expo and Forum – TAREX 2026), yanayofanyika kwa siku tatu jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa mgeni rasmi. Akizungumza wakati akiwa katika banda hilo, Mhe. Dkt. Nchemba aliipongeza PSSSF kwa kazi nzuri inayofanya na kuhimiza kuendelea na juhudi hizo. “Hongereni sana, natambua kazi nzuri mnayofanya. Endeleeni hivyo hivyo,” alisema Mhe. Waziri Mkuu. Kwa mujibu wa Afisa Mwandamizi toka Idara ya Uwekezaji, Milki na Usimamizi wa Majengo wa PSSSF, Bw. Arnold Kagaruki, ushiriki wa PSSSF katika kongamano na maonesho hayo unatokana na nafasi yake kama mdau muhimu katika sekta ya majengo na uwekezaji wa ardhi, kupitia uwekezaji wake katika miradi mbalimbali ya majengo na ardhi nchini. “ Kuna uwekezaji unaowagusa moja kwa moja wanachama na wananchi kama vile majengo ya kibiashara, nyumba na viwanja; lakini pia Mfuko umewekeza kimkakati ambapo kwa kushirikiana na Kituo cha Mikutano cha Kimataifa AICC, PSSSF imewekeza katika ujenzi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mount Kilimanjaro International Convention Centre Jijini Arusha ambapo ujenzi umeanza” alisema. Kongamano na maonesho hayo yanawakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya majengo na uwekezaji wa ardhi, wakiwemo waendelezaji wa miradi ya majengo, wawekezaji, taasisi za kifedha, mamlaka za udhibiti pamoja na watoa huduma za kitaalamu kutoka Tanzania Bara, Zanzibar na Kenya. Kupitia jukwaa hilo, PSSSF inalenga kuonesha mchango wake katika maendeleo ya sekta ya majengo na uwekezaji wa ardhi, kutangaza fursa zinazotokana na uwekezaji wake, kuimarisha mahusiano na wadau mbalimbali, pamoja na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu shughuli na huduma zinazotolewa na Mfuko, Alisema Bw. Kagaruki.
Fri, 20 Nov 2026 19:05:42 +0000POSTA YAENDELEA KUJIIMARISHA KATIKA MIFUMO YA KIDIJITALI YA UFUATILIAJI NA TATHMINI
Shirika la Posta Tanzania kupitia Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini limeendelea kuimarisha uwezo wake katika kusimamia na kupima utekelezaji wa majukumu yake kwa kutembelea wizara mbalimbali za Serikali kwa lengo la kujifunza mifumo ya kidijitali inayotumika katika ufuatiliaji na tathmini ya utendaji kazi. Miongoni mwa Wizara zilizotembelewa ni Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Afya pamoja na Wizara inayosimamia masuala ya vijana. Akizungumza kupitia Posta TV, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini wa Shirika la Posta Tanzania, Bi. Zahra Kitara, amesema ziara hiyo imekuwa na manufaa makubwa kwa Shirika kutokana na fursa ya kujifunza namna taasisi hizo zinavyotumia mifumo ya kidijitali kukusanya taarifa, kufuatilia utekelezaji wa majukumu na kupima utendaji kazi. Amesema maarifa yaliyopatikana kupitia ziara hiyo yatasaidia Shirika kuimarisha usimamizi wa utendaji kazi, kufuatilia utekelezaji wa mipango yake na kuhakikisha malengo yaliyowekwa yanafikiwa kwa ufanisi. Aidha, amesema matumizi ya mifumo hiyo yanatarajiwa kuwa na manufaa kwa wananchi kwa kuimarisha ufuatiliaji na ubora wa huduma mbalimbali za kiposta wanazopatiwa, kupitia usimamizi madhubuti wa utekelezaji wa majukumu ya Shirika.
Fri, 20 Nov 2026 19:08:46 +0000Kenya begins production drilling at Turkana oilfields
PS Harsama described the event as a significant milestone following years of exploration, appraisal and field development
Recently"Je suis découragé" : témoignages de Burkinabè refoulés de Guinée
Read the full report from the original source.
RecentlyKigali to Host Africa’s Business Heroes Finale as 10 Entrepreneurs Compete for $1.5 Million
Read the full report from the original source.
RecentlyPastor Kanyari picks DCP for Kasarani MP race
Gachagua said the party would continue welcoming new members and defectors as it seeks to expand its political base ahead of the next General Election.
RecentlyYes, you're getting ripped off on Black Friday
Groundwork Collaborative, for example, found nearly 30% of the 350 deals it looked at on Amazon from 2024 and 2025 offered no savings whatsoever.
RecentlyBurundi : plus de 7 000 enfants des rues, un défi qui persiste malgré le programme gouvernemental
Read the full report from the original source.
RecentlyFirst Lady Says Children Cannot Wait for the Future
Read the full report from the original source.
RecentlyCall for EAC bloc to enhance its defence strategies against cross-border threats
KAMPALA: EAST African Community (EAC) member states have been urged to review and strengthen their defence strategies to address emerging…
RecentlyMadamu Jeannette Kagame yagaragaje uko UNICEF yahinduye ubuzima bw’abana mu Rwanda
Read the full report from the original source.
RecentlyPolisi Tanzania 0-0 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 20/11/2026
Cheikh Ibrahim Toure na Peter Shalulile wametikisa nyavu za Polisi Tanzania wakiipa Yanga ushindi wa 2-0 kwenye Dimba la Ushirika, Moshi. Hii ni Ligi Kuu ya NBC. Tazama Highlights
2026-11-20T18:04:03+00:00Page 92 of 1126 · 22511 stories