Search the region
22542 stories
CRDB, Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar wasaini makubaliano ya kuimarisha taasisi za umma
Read the full report from the original source.
RecentlyFlydubai co-pilot attack probed
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto: Why Lamu was chosen for Dangote refinery
Ruto said the discussions were influenced by plans to develop a crude oil pipeline from Uganda to the Kenyan coast.
RecentlyCBK seeks power to raid, oust top bosses at payment firms
Read the full report from the original source.
RecentlyGermany news: Merz lauds NATO with Westphalian Peace Prize
Read the full report from the original source.
RecentlyWATCH LIVE: Requiem Mass for Mwalimu Jackson Karua, Martha Karua’s father, at All Saints Cathedral
Read the full report from the original source.
RecentlyVarsity students sensitised on dangers of radicalisation, extremism
Read the full report from the original source.
RecentlyJamhuri: Lissu alikusudia kutishia Serikali-3
Soma hapa...
RecentlyChivayo dies with money-making secrets
Read the full report from the original source.
RecentlyLes boissons interdites continuent de circuler dans la ville de Bujumbura malgré la mesure du ministère
Read the full report from the original source.
RecentlyKamati ya Bunge ya kilimo hatutakaa kimya umwagiliaji
Read the full report from the original source.
RecentlyMWINYI AKABIDHIWA OFISI YA CCM KIGOMA
Kaimu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (MNEC), Ndugu Khalidi Mwinyi, leo Oktoba 1, 2026, amekabidhiwa rasmi Ofisi na aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa huo, Ndugu Pallangyo Christopher. Makabidhiano hayo yamefanyika kufuatia mabadiliko ya makatibu wa CCM yaliyofanywa hivi karibuni, ambapo jumla ya Kaimu Makatibu wapya 32 waliteuliwa katika maeneo mbalimbali. Akizungumza baada ya kukabidhiwa nyaraka hizo, Mwinyi amesema amepata matumaini makubwa baada ya kuiona Sekretarieti ya CCM Mkoa wa Kigoma na kwamba anaamini uongozi huo utaendelea kujenga mafanikio yaliyopatikana. “Nimeiona Sekretarieti ya CCM Mkoa na kupata matumaini ya hatua kubwa zaidi. Uongozi ni mwendelezo; tunaheshimu tulipokuta, tunaboresha tulipo na tunajenga tunakokwenda,” amesema Mwinyi. Mwinyi amesisitiza umuhimu wa kuendeleza mazuri yaliyofanywa na uongozi uliopita, huku akieleza kuwa hatua hiyo ni sehemu ya mwendelezo wa utekelezaji wa majukumu ya Chama kwa maslahi ya CCM na wananchi.
Thu, 01 Oct 2026 16:24:28 +0000Ethiopia yafunze ambasade yayo muri Eritrea
Read the full report from the original source.
RecentlyRégion Centre/Gitega : Une médecine naturelle qui interroge
Méfiants envers un système de santé public à bout de souffle, des milliers d’habitants de Gitega se tournent désormais vers des centres privés et des associations qui proposent des traitements naturels mais qui sont très chers. Selon beaucoup de témoignages, ces officines dépouillent financièrement les familles et mettent leur santé en péril sous le regard impuissant des médecins.
Thu, 01 Oct 2026 16:13:38 +0000Dangote breaks ground on Sh2trn Lamu refinery, shares Africa wealth-building vision
Read the full report from the original source.
RecentlySecurity guard found dead in Naguru swimming pool
A security guard was found dead in a swimming pool at a residential property in Naguru, Kampala, where he had been deployed to guard the…
RecentlyEWURA YATOA ELIMU KWA WATENDAJI, VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA TABORA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega, Ndg. Shomari Mndolwa, akifungua semina ya kuwajengea uelewa kuhusu majukumu yanayotekelezwa na EWURA, Watendaji Kata, Mitaa na Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji leo 30 Septemba mjini Nzega Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mha. Karim Ally akitoa elimu kuhusu majukumu ya EWURA kwa Watendaji na Viongozi wa Serikali za Mitaa wa Halmashauri ya Mji wa Nzega wakati wa semina iliyofanyika leo tar 30 Septemba 2026 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega, Ndg. Shomari Mndolwa, akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua semina ya kuwajengea uelewa kuhusu majukumu yanayotekelezwa na EWURA, Watendaji Kata, Mitaa na Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji leo 30 Septemba mjini Nzega Na.Mwandishi Wetu-Nzega Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi, imekutana na Watendaji Kata na Mitaa pamoja na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Vijiji wa Halmashauri ya Mji wa Nzega, leo tarehe 30 Septemba 2026 kwa lengo la kuwapa elimu kuhusu udhibiti wa huduma za nishati na maji. Akifungua semina hiyo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega, Ndg. Shomari Mndolwa, ameishauri EWURA kuendelea kuweka mifumo imara ya udhibiti inayozingatia na kulinda maslahi ya watoa huduma na walaji huku ikitoa huduma za udhibiti zinazolenga kutekeleza Dira ya Taifa ya 2050. Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mha. Karim Ally, ameeleza kuwa viongozi wa serikali za mitaa ni daraja na nguzo muhimu katika utekelezaji wa shughuli za kiudhibiti zinazohusisha utaoaji wa leseni, vibali na utatuzi wa malalamiko kati ya watoa huduma na wateja.
Thu, 01 Oct 2026 15:03:06 +0000L'oxygène, un élément important dans la riposte contre Ebola
Read the full report from the original source.
RecentlyTANGA YAIVA KUWA KITOVU CHA MAFUTA AFRIKA MASHARIKI, KAMPUNI YA UINGEREZA YAKABIDHIWA ENEO
Na Mashaka Mhando, Tanga TANGA imepiga hatua nyingine kuelekea kuwa kitovu kikubwa cha biashara na usambazaji wa mafuta katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, baada ya Kampuni ya Ushauri ya Worley Consulting Group kutoka Uingereza kukabidhiwa rasmi eneo litakalofanyiwa upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (Refinery) na miundombinu ya kuhifadhia nishati hiyo. Makabidhiano hayo yaliyofanyika Leo Oktoba Mosi katika eneo la Chongoleani jijini Tanga, yameongozwa na Timu ya Pamoja ya Kitaalamu (JTT) kutoka Tanzania na Uganda, ikiwa ni mwendelezo wa ushirikiano wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili wenye lengo la kuimarisha usalama wa nishati na kurahisisha usambazaji kwa nchi zisizo na bandari. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Kamishna Msaidizi wa Mkondo wa Kati na Chini wa Mafuta kutoka Wizara ya Nishati (Tanzania), Grace Mwakasege, alisema mradi huo utaipandisha hadhi Tanga kuwa kituo kikuu cha kupokea, kuhifadhi, na kusambaza bidhaa za mafuta kikanda. “Miundombinu inayopendekezwa itahusisha ujenzi wa matanki makubwa ya kuhifadhi mafuta, gati maalumu la kupokelea mafuta, pamoja na bomba jipya litakalounganisha Chongoleani hapa Tanga na Kampala nchini Uganda,” alisema Mwakasege. Aliongeza kuwa utafiti huo wa Worley Consulting Group utabaini ustahimilivu wa eneo hilo na kuainisha mahitaji yote ya kitaalamu kabla ya mradi kuanza, jambo litakalofungua fursa za ajira na ujuzi kwa Watanzania. Kwa upande wake, Kamishna Msaidizi kutoka Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini ya Uganda, Mhandisi Geoffrey Ogwang, alieleza kuwa tukio hilo ni kielelezo cha uhusiano wa kihistoria usiotetereka kati ya mataifa hayo mawili. “Tumekuja kukabidhi eneo hili kwa mshauri ili aweze kuanza mara moja utafiti wa awali wa uwezekano wa kutekeleza mradi huu mkubwa na muhimu kwa mataifa yetu,” alisema Mhandisi Ogwang. Akifafanua zaidi kuhusu kazi itakayofanywa na mshauri huyo, Mjumbe wa Timu ya Pamoja ya Kitaalamu, Mhandisi Aristides Katto, alisema utafiti huo utahusisha masuala ya kijioteknolojia (Geotechnical studies) kupima ardhi. "Baada ya tafiti hizi, mshauri atawasilisha ripoti kamili kwa Timu ya Pamoja ya Kitaalamu kwa ajili ya mashauriano ya kina na kutoa maamuzi kabla ya hatua za ujenzi kuanza," alisema Mhandisi Katto. Ujenzi wa miundombinu hii mipya unaongeza thamani ya eneo la Chongoleani, ambalo tayari ndilo kituo kikuu cha kupokelea mafuta ghafi cha Mradi wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki (EACOP) lenye urefu wa kilomita 1,447 kutoka Hoima nchini Uganda. Timu ya Pamoja ya Kitaalamu (JTT) inayosimamia mchakato huu inaundwa na maofisa kutoka Wizara ya Nishati (Tanzania), Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini (Uganda), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Shirika la Taifa la Mafuta Uganda (UNOC), wataalamu wa sheria, na wadau wengine muhimu. Kamishna Msaidizi wa mkondo wa Mafuta wa Kati na Chini katika Wizara ya Nishati, Grace Mwakasege
Thu, 01 Oct 2026 16:02:42 +0000Diageo takes Sh5.5bn loss in sale of EABL, UDV stakes
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 927 of 1128 · 22542 stories