Unganishwa

Search the region

22529 stories

Business · Jamhuri Media

GCLA yawaibukia wachimbaji madini Geita

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MKUYU AFRICA YAPELEKA KARIAKOO NA MASAKI DUBAI

Kampuni ya Mkuyu Africa imewaleta karibu Watanzania wanaofanya shughuli mbalimbali nchini Dubai kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu fursa za uwekezaji nchini Tanzania, hususan katika sekta ya ardhi na majengo. Hatua hiyo imekuja wakati ambapo biashara na mahusiano ya kiuchumi kati ya Tanzania na Dubai yakiendelea kukua, huku wafanyabiashara wengi kutoka Tanzania wakifika katika nchi za Falme za Kiarabu, hasa Dubai, kutafuta bidhaa na fursa za biashara, ikiwamo nguo, bidhaa za thamani na mapambo ya ndani pamoja na kazi za viwandani Katika kuunga mkono jitihada hizo, MKUYU AFRCA  iliandaa kongamano lililowakutanisha wafanyabiashara wadogo wenye asili ya Tanzania wanaoishi Dubai, ambapo walijadili namna wanavyoweza kutumia fursa wanazozipata ughaibuni kuwekeza nyumbani. Lengo lingine la kongamano hilo lilikuwa kuwapa washiriki uelewa kuhusu fursa zilizopo katika sekta ya ujenzi na mali isiyohamishika, pamoja na namna Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanavyoweza kumiliki mali nchini kupitia mifumo rasmi ya kifedha. Akizungumza katika kongamano hilo, Mkurugenzi wa Mkuyu Africa, Juneid Othman, alisema Watanzania waliotoka nchini miaka 10 iliyopita wanaweza kushangazwa na kasi ya maendeleo katika sekta ya ujenzi nchini. Alisema sekta hiyo imekua kwa kiasi kikubwa, ikiwamo ujenzi wa majengo marefu, nyumba za makazi na miradi ya nyumba za kupangisha, hasa katika maeneo ya kibiashara kama Kariakoo chini ya mradi wa Nkurumah  na maeneo ya kifahari kama Masaki. “Ukitoka Tanzania miaka 10 iliyopita na ukarudi leo, unaweza kushangazwa na mabadiliko makubwa yaliyotokea katika sekta ya ujenzi. Kuna maendeleo makubwa katika ujenzi wa majengo ya biashara, makazi na nyumba za kupangisha,” alisema. Juneid alisema pia mazingira ya uwekezaji yameendelea kutoa fursa kwa Watanzania kumiliki mali kupitia benki na taasisi mbalimbali za kifedha. Alitoa mfano wa miradi ya Mkuyu Africa katika maeneo ya Kariakoo na Masaki, akisema kampuni hiyo inaendelea kushiriki katika ujenzi na uendelezaji wa majengo ya makazi na biashara. Alisema fursa hizo zinapaswa kutumiwa na Watanzania wanaoishi nje ya nchi, akisisitiza kuwa uwekezaji katika mali nchini unaweza kuwa sehemu ya maandalizi ya maisha yao ya baadaye pamoja na kujenga urithi kwa vizazi vijavyo. Wafanyabiashara Dubai wataka kuwekeza nyumbani Mfanyabiashara wa bidhaa za thamani na mapambo ya ndani nchini Dubai, Ashraf Mohamud, alisema Watanzania wengi wanaoishi Dubai wanaendelea kufanya biashara na kutafuta mitaji kwa lengo la baadaye kuwekeza nchini. Alisema ujio wa Mkuyu Africa nchini Dubai umewapa motisha na taarifa zaidi kuhusu fursa zilizopo nchini, jambo ambalo, kwa mujibu wake, linawasaidia kupanga namna ya kuanza kuwekeza nyumbani. “Tumekuja Dubai kutafuta maisha na kufanya biashara, lakini moja ya malengo yetu ni kupata mtaji na kuja kuwekeza nyumbani. Ujio wa Mkuyu Africa umetupa hamasa na kutufanya tuanze kufikiria kwa umakini zaidi kuhusu uwekezaji nchini,” alisema. Malipo kwa awamu Ashraf alisema Watanzania wengi wanaoishi Dubai wana hamu ya kuwekeza Tanzania, lakini baadhi yao wamekuwa wakikumbana na changamoto pale wanapowatumia ndugu fedha kwa ajili ya kununua ardhi au kujenga nyumba. Alisema hali hiyo imewafanya baadhi yao kutafuta njia mbadala zitakazowawezesha kufanya uwekezaji moja kwa moja na kwa utaratibu unaoeleweka. “Watanzania wengi wanaoishi huku wanatamani kuja kuwekeza nchini, lakini hapo awali kumekuwa na changamoto na wakati mwingine urasimu, hasa pale tunapowatuma ndugu zetu fedha kwa ajili ya uwekezaji,” alisema. Aliongeza kuwa fursa zinazotolewa na kampuni kama Mkuyu Africa, ikiwamo uwezekano wa kumiliki mali kupitia taasisi za kifedha na kulipa kwa awamu kulingana na masharti yaliyowekwa, zinaweza kuwasaidia Watanzania waishio nje ya nchi kuwekeza kwa utaratibu rasmi. Kwa mujibu wa washiriki wa kongamano hilo, uwekezaji nchini Tanzania unapaswa kuonekana kama sehemu ya kujenga maisha ya baadaye, kuongeza thamani ya mitaji na kuweka msingi wa mali kwa ajili ya familia na vizazi vijavyo. Mkurugenzi wa kampuni ya MKUYU AFRICA ,Juneid Othmani akizungumza wakati wa kongamano la wafanyabiashara wenye asili ya Tanzania  waishio Duba

Thu, 01 Oct 2026 09:46:18 +0000
Uncategorized · Jamhuri Media

Tanzania na Uturuki kuimarisha ushirikiano katika usimamizi wa maafa

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Chatanda: Wanawake hawamwangushi Rais, ndiyo maana wanaendelea kuteuliwa

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Politrack poll: UDA tops party popularity rankings

DCP posted 11.7 per cent support.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Wadau madini wasisitizwa kuzingatia viwango

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Chivayo crash: Fuel spilled before fire broke out

Investigations are continuing to establish the circumstances that led to the crash.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

TBS Yatoa wito kwa wadau wa madini kuzingatia viwango

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Tanzania, Oman zaimarisha ushirikiano katika sekta ya habari

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Pakistan launches deadly airstrikes on Afghanistan

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

How Whisky Is Redefining The Gastronomy Space

Latest · Events

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Mradi wa ukusanyaji, urejeshaji taka wazinduliwa

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Isango Star

Abayobozi b'amadini n'amatorero basabwe gufasha abashyingiranwa kubaka ingo zirambye

Minisitiri w’Uburinganire n’Iterambere ry’Umuryango, Uwimana Consolée, yasabye abayobozi b’amadini n’amatorero gufasha abitegura gushinga ingo kuzifata nk’umushinga utegurwa, no gukomeza kubaherekeza nyuma yo kurushinga. Yavuze ko ibyo byafasha  mu kubaka imiryango irangwa no kubahana, gufatanya, gukemura ibibazo mu mahoro no kurera neza abana.

Thu, 01 Oct 2026 10:59:22 +0200
Uncategorized · Mwananchi

Hali ya hewa itakuwa hivi kwa siku 10 kuanzia leo

Soma hapa...

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

« J'ai tiré sur le volant. » Un passager de Flydubai raconte comment il a réussi à sauver l'avion à destination de Tel Aviv

Yaniv Hayun, passager du vol FZ1073 de Flydubai, a rencontré le Premier ministre israélien Benjamin Netanyahu après l'atterrissage de l'avion de remplacement à Tel Aviv. Il portait encore un T-shirt ensanglanté.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Qui est le pilote indien « héros » qui a été poignardé à bord d'un vol à destination d'Israël ?

Le capitaine Smit Machchhar a été agressé par un autre pilote à bord du vol Flydubai à destination de Tel Aviv.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

KNCHR calls for stronger protection of older persons

KNCHR urges timely enactment of Older Persons Bill to strengthen protection against abuse and discrimination.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Tanzania na Uturuki kuimarisha ushirikiano katika usimamizi wa maafa

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Safaricom sues firm over Sh540m Okoa bundle debt

Safaricom alleges that Kubwa Capital is now seeking to walk away from the agreement without settling the outstanding amount.

Thu, 01 Oct 2026 12:00:00 +0300
Uncategorized · Citizen Digital

President Ruto mourns ‘Dear Friend’ Wicknell Chivayo killed in chopper crash

Read the full report from the original source.

Recently

Page 936 of 1127 · 22529 stories