Unganishwa

Search the region

22526 stories

Uncategorized · Issa Michuzi

DKT. YONAZI ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UTURUKI

Na, Mwandishi Wetu – Ankara Uturuki Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu Dkt. Jim Yonazi ameupongeza Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uturuki kwa kuendelea kuimarisha mahusiano baina ya nchi hizo mbili katika maeneo mbalimbali ikiwemo ya kidiplomasia, biashara, uwekezaji, na maendeleo ya kijamii. Dkt. Yonazi ametoa pongezi hizo alipotembelea Ofisi za Ubalozi huo ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi mjini Ankara, Uturuki iliyolenga kuimarisha uwezo wa kitaasisi, kuongeza maarifa ya kiufundi na kukuza ushirikiano katika kupunguza vihatarishi vya maafa, kukabiliana na dharura na mifumo ya kurejesha hali kwa kutumia mifumo ya kisasa ya kiteknolojia. Dkt. Yonazi amesema kuwa ushirikiano kati ya Tanzania na Uturuki unazidi kuimarika kwa kasi kubwa, ukiongozwa na diplomasia ya kiuchumi, miongozo ya kimkakati kama vile Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 ya Tanzania, pamoja na ziara za kitaifa za viongozi wakuu wa nchi hizo mbili. Naye Kaimu Balozi Bi. Levina Maleo ambaye ni Mkuu wa Utawala wa ubalozi amempongeza na kumshukuru katibu Mkuu huyo kwa kutembelea ofisi za Ubalozi na kueleza kuwa wataendeleza mashirikiano yaliyopo kati ya nchi hizo mbili na kuendelea kutangaza fursa mbalimbali zilizopo nchini hasa za elimu, afya na kijamii.

Thu, 01 Oct 2026 06:10:21 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Why weatherman is yet to declare onset of El Niño

Met says light showers will hit 36 counties on Saturday, but the proper onset may not have arrived.

Recently
Uncategorized · Daily News

TZ, Qatar sign pact to avoid double taxation

DOHA: TANZANIA and Qatar have signed an agreement aimed at avoiding double taxation and preventing tax evasion, in a move…

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

👨🏿‍🚀TechCabal Daily – Dangote’s cross-border IPO dash

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Embrace bold reforms, CS tasks state enterprises

ARUSHA: CHIEF Secretary Ambassador Dr Moses Kusiluka has challenged leaders of public institutions and corporations to pursue bold reforms, strengthen…

Recently
Health · The Star Kenya

US death row inmate taken to hospital after surviving lethal injections

Her lawyer says Pike is being "provided life-saving measures" after two syringes of pentobarbital.

Recently
Uncategorized · Daily News

Upcountry bus services resume

Samia orders relevant ministries to jointly address drivers’ grievances DAR ES SALAAM: DRIVERS’ leaders have agreed to suspend their countrywide…

Recently
Uncategorized · Capital FM

Kenya could tap green shipping boom to expand maritime economy – WSC

Latest · economy

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

SHA gives hospitals 14 more days to secure new contracts

Healthcare providers now have until October 14 to complete the contracting process for the 2026-2029 cycle.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Wanawake watakiwa kuwa mstari wa mbele malezi ya watoto

Read the full report from the original source.

Recently
National · Mwananchi

Uteuzi wa Samia warejesha wabunge, manaibu mawaziri, waibua vigogo JWTZ

Soma hapa...

Recently
National · Citizen Digital

Israel PM credits plumber for averting plane disaster

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Japan raises residency fee for foreign nationals by twenty-fold

Latest · News

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Nightclub staff detail Cohen’s final hours before going missing

Jovial Cohen drank and danced during his final hours at Parklands bar

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Why can't the Saudis defeat the Houthis?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Probe as Eastleigh loader stabbed to death by colleague

Witnesses say Omondi had gone to the store to inquire about his trousers, which the suspect was allegedly wearing

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Man dies after panga attack in Homa Bay

Omari was travelling home with his wife when the couple encountered the attackers.

Recently
Uncategorized · Mwanaspoti

Jihan achomoza top 8 Miss Grand International

Miss Grand Tanzania 2026 Jihan Dimack, amewashukuru Watanzania kwa ushirikiano na sapoti waliompa katika mchakato wa kura za kipengele cha Country’s Power of the Year kwenye mashindano ya Miss...

Recently
Sports · Mwanaspoti

Mzozo azichorea Simba, Yanga mchongo wa mabilioni

HERI Mzozo ni kati ya Watanzania wenye mchango mkubwa kwenye mpira wa miguu nchini, ametaka Simba na Yanga kubadili mfumo wa uendeshaji wa klabu hizo kwa kuongeza nguvu kwenye usajili wa...

Recently
Sports · Mwanaspoti

Taifa Stars yaingia kwenye mjadala kabla ya AFCON 2027

Read the full report from the original source.

Recently

Page 943 of 1127 · 22526 stories