Search the region
22523 stories
Dkt. Yonazi atembelea ubalozi wa Tanzania nchini Uturuki
Read the full report from the original source.
RecentlyTISEZA YAENDELEA KUVUTIA WAWEKEZAJI WA KIGENI, MGODI WA JIUDING MINING WATOA AJIRA 73 KWA WATANZANIA
Na Nasra Ismail, Geita Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imeendelea kuvutia wawekezaji wa kigeni nchini kutokana na maboresho ya mazingira ya uwekezaji yanayofanywa na Serikali, huku wawekezaji hao wakieleza kuridhishwa na sera na vivutio vinavyotolewa. Hayo yamebainika wakati viongozi wa TISEZA wakiongozwa na Mjumbe wa Bodi, Absalom Kibanda, walipotembelea Mgodi wa Jiuding Mining mkoani Geita, na kujionea shughuli za uwekezaji zinazofanywa na kampuni hiyo. Kibanda amesema wamefurahishwa na namna mwekezaji huyo alivyojikita katika uwekezaji nchini pamoja na ushirikiano wake na wazawa, akieleza kuwa uwekezaji huo umekuwa na manufaa kwa jamii. "Uwekezaji huu umetoa ajira kwa Watanzania na kuwapatia wazawa msaada wa kitaalamu unaowawezesha kuongeza ujuzi katika maeneo mbalimbali ya kazi," amesema Kibanda. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Mgodi huo, Ju Liu, raia wa China, amesema alipofika nchini mwaka 2021 alipata ushauri katika ofisi za TISEZA kuhusu maeneo mbalimbali ya uwekezaji, na kupitia ushauri huo aliamua kuwekeza katika sekta ya madini. Ju Liu amesema licha ya kuwekeza madini, ana mpango wa kuwekeza katika kiwanda cha kuzalisha sukari nchini, akivutiwa na sera nzuri na mazingira ya kodi yaliyowekwa na Serikali, ikiwemo utaratibu wa kupunguziwa baadhi ya kodi kwa vitu vinavyoagizwa kutoka nje kwa ajili ya uwekezaji. Amesema kupitia mgodi huo, kampuni yake imeweza kutoa ajira kwa Watanzania 73 ambao wamekuwa wakinufaika kiuchumi. Naye mfanyakazi wa kampuni hiyo, Dotto Bahati, amesema uwepo wa mgodi huo umekuwa na msaada mkubwa kwao kutokana na ajira na maslahi mazuri wanayoyapata, ambayo yamewasaidia kuboresha maisha yao na kutimiza majukumu ya kifamilia na kijamii. Wawekezaji hao wamesema uwekezaji katika sekta ya madini umeendelea kuwa na mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa Taifa, huku mazingira rafiki ya uwekezaji yakisaidia wawekezaji kuanzisha na kuendeleza shughuli zao nchini.
Wed, 30 Sep 2026 20:20:55 +0000MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 30/09/2026
Azam TV
2026-09-30T20:10:20+00:00Who was Wicknell Chivayo? The Zimbabwe tycoon who dined with presidents
Chivayo described the roughly three-kilometre drive to the helipad as one of the most memorable experiences of his life.
Wed, 30 Sep 2026 22:33:42 +0300TANESCO yashika nafasi ya pili kwa usimamizi bora wa fedha kwa taasisi za umma za biashara
Read the full report from the original source.
RecentlyEWURA yatoa elimu kwa watendaji, viongozi Serikali ya Mtaa Tabora
Read the full report from the original source.
RecentlySame watakiwa kutumia mvua za El Nino kupanda miti
Read the full report from the original source.
RecentlyPresident Museveni to Preside Over International Day of Older Persons Celebrations at State House Entebbe
President Yoweri Kaguta Museveni will tomorrow, October 1, 2026, officiate at the national celebrations to mark the International Day of Older Persons, which will be held at State House, Entebbe.…
RecentlyNAMARA JUDITH NINSIIMA: Can the Parish Development Model (PDM) Help Uganda End AIDS as a Public Health Threat by 2030?
Uganda has made remarkable progress in the fight against HIV/AIDS. HIV prevalence has fallen from a peak of about 18% in the late 1980s to roughly 4.9% today, while new…
RecentlyDangote refinery promises cheaper fuel for Kenyans
These are the stories making headlines in the Star newspaper.
RecentlyRhythm And Refinement: How The Galaxy Watch 9 Series Syncs With Your Daily Flow
Latest · Lifestyle
RecentlyRwanda Finance Minister met with President of Asian Infrastructure Investment Bank
Read the full report from the original source.
RecentlyMillie Odhiambo: Goonism could fuel violent 2027 election
She says disruptions at rallies, funerals and churches could escalate into wider political violence
RecentlyNMB na Dawa Mkononi kuboresha sekta ya dawa
Read the full report from the original source.
Recently3 arrested as NACADA seizes fake alcohol, cigarettes in Meru
The suspects are expected to be arraigned pending chemical analysis of the seized beverages
RecentlyZimbabwean businessman Wicknell Chivayo, his wife die in helicopter crash
Read the full report from the original source.
RecentlyRwanda: Urukiko rukuru rwashimangiye igifungo cya burundu kuri Munyenyezi ku byaha bya jenoside
Béatrice Munyenyezi yari yajuririye icyo gihano nyuma yo guhamywa ibyo byaha n'urukiko rwisumbuye rwa Huye mu mwaka wa 2024.
RecentlyConnecting Tanzania: How local collaboration is powering the country’s digital economy
As the Tanzania Bankers Association concluded its Research and Financial Inclusion Conference in Zanzibar, Shehryar Ali, senior vice president and…
RecentlyEarly winners as Lamu refinery project kicks off
Read the full report from the original source.
RecentlyKwenya questions Matiang’i’s Jubilee presidential ticket
MP says Jubilee members should have a say in choosing the party’s presidential flag bearer
RecentlyPage 947 of 1127 · 22523 stories