Unganishwa

Search the region

22519 stories

Uncategorized · CEO East Africa

Uganda Won’t Invest in Dangote’s East Africa Refinery for Now, Museveni Says

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Dangote picks Honeywell for Sh39bn Lamu refinery tech works

Honeywell will provide engineering services, technology licensing and equipment for the planned refinery

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Gachagua promises tax incentives for job-creating investors if elected

Says investors who create jobs would qualify for tax incentives, including tax holidays

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

Malaysia: UN agency urges safeguards after refugees returned to Myanmar

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Russian firm defends digital plate delays, pledges 1,500 daily installations

Joint Stock Company Global Security has acknowledged but justified the delays in the installation of digital number plates on Ugandan motor vehicles. Appearing before parliament’s…

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Rising Tide Africa backs used cooking oil firm Ororo Waste with $1 million

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

EACC, churches target voters and public officers in fresh anti-corruption push

NATIONAL NEWS · Quick read

Recently
Uncategorized · Capital FM

Museveni backs Lamu refinery but holds off investment pending Tanga clarification

Africa · 6 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Kalonzo welcomes Dangote investment, recalls origins of Lamu vision

News · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Wetang’ula calls for dedicated African climate fund as continent seeks to cut reliance on external financing

Africa · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Kenya, Japan move to climate-smart irrigation plan as Taita Taveta targets rice production

Latest · Africa

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Un homme a été libéré après avoir passé 41 ans dans le couloir de la mort aux États-Unis grâce à des preuves ADN

De nouvelles analyses ADN n'ont pas permis d'établir de lien de parenté avec Douglas Stewart Carter, aujourd'hui âgé de 71 ans, condamné pour le meurtre d'une femme mais qui a toujours clamé son innocence.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Civil society urges action on pre-eclampsia, maternal anaemia as Kenya loses 16 mothers daily

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Lumakanda OCS charged over alleged defilement of 14-year-old girl

Latest · Kenya

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Honor Magic9 Pro Max: What’s new, from cameras to battery

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

TANZANIA YAELEZEA UMUHIMU WA USHIRIKIANO NA MCDF KATIKA MAENDELEO YA MIUNDOMBINU

Na Benny Mwaipaja, Doha, Qatar Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa Tanzania inahimiza umuhimu wa ushirikiano wake na Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Miundombinu (MCDF) katika kuimarisha miradi ya kimkakati na kuchochea maendeleo endelevu nchini. Mhe. Balozi amesema hayo wakati akihutubia katika kikao cha Mfuko huo kilichowashirikisha Mawaziri wa Fedha ambao ni Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Miundombinu ya Asia (AIIB), kilichofanyika kando ya Mkutano wa 11 wa Mwaka wa Magavana wa Benki hiyo, jijini Doha, nchini Qatar. Alisema kuwa Tanzania inaridhishwa na mchango wa Mfuko huo katika kuandaa miradi yenye ubora na inayoweza kuvutia uwekezaji. “Tangu kujiunga na MCDF kama mtazamaji mwezi Julai mwaka jana, Tanzania Taasisi ratibu ikiwemo Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), imenufaika na ruzuku ya takriban dola milioni 6.7 za Marekani kwa ajili ya kuandaa miradi mitatu ya kimkakati, ikiwemo miradi ya kikanda katika sekta ya nishati (Mradi wa kuunganisha umeme wa 400KV wa  Tanzania na Malawi na Mradi wa kuzalisha na kusambaza umeme wa Bonde la Songwe) na Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa wa Tanzania na Burundi (Standard Gauge Railway)” alisema Mhe. Balozi Omar Mhe. Balozi Omar alisema kuwa, ushirikiano huo umekuja wakati mwafaka ambapo Tanzania inatekeleza mpango wake wa nne wa maendeleo wa miaka mitano (2026/2027 hadi 2030/31), unaolenga kukuza mabadiliko ya kiuchumi kupitia uwekezaji katika nishati, usafirishaji, na teknolojia ya kidijitali. Aliahidi kuwa Tanzania itaendeleza ushirikiano wake na MCDF, Benki ya Uwekezaji ya Miundombinu ya Asia (AIIB), na washirika wengine wa maendeleo na kukaribusha mpango mkakati mpya wa Mfuko huo, wa mwaka 2027-2031, akisisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kikanda, ubora wa miradi, na kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Kwa upande wake, Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Miundombinu ya Asia (AIIB) Bi. Zou Jiayi, amesisitiza umuhimu wa Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Miundombinu (MCDF) katika kusaidia nchi zinazoendelea kupata miradi ya miundombinu inayoweza kufadhiliwa. Alibainisha kuwa MCDF si tu mfuko wa uaminifu bali ni mshirika wa kimkakati. Alieleza kuwa MCDF inasaidia kugeuza mahitaji ya uwekezaji kuwa miradi inayoweza kutekelezeka kwa kutoa msaada wa kiufundi na kujenga uwezo. “Mfuko huu unabadilisha mfumo wake wa biashara ili kujumuisha ufadhili wa daraja na sekta mpya kama nyumba janja na elimu ya kidijitali kwa kuwa kuna mabadiliko katika ufadhili wa maendeleo, ambapo nchi zinazoibukia zinachangia zaidi, jambo linaloonyesha ushirikiano wa Kusini-Kusini” alisema Bi. Jiayi Ameahidi kuwa AIIB itaendelea kusaidia MCDF katika awamu yake mpya kuanzia mwaka 2027, kwa kuzingatia uwazi na nidhamu katika matumizi ya rasilimali zitakazochangiwa na nchi wanachama pamoja na wadau wengine. Na Benny Mwaipaja, Doha, Qatar Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa Tanzania inahimiza umuhimu wa ushirikiano wake na Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Miundombinu (MCDF) katika kuimarisha miradi ya kimkakati na kuchochea maendeleo endelevu nchini. Mhe. Balozi amesema hayo wakati akihutubia katika kikao cha Mfuko huo kilichowashirikisha Mawaziri wa Fedha ambao ni Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Miundombinu ya Asia (AIIB), kilichofanyika kando ya Mkutano wa 11 wa Mwaka wa Magavana wa Benki hiyo, jijini Doha, nchini Qatar. Alisema kuwa Tanzania inaridhishwa na mchango wa Mfuko huo katika kuandaa miradi yenye ubora na inayoweza kuvutia uwekezaji. “Tangu kujiunga na MCDF kama mtazamaji mwezi Julai mwaka jana, Tanzania Taasisi ratibu ikiwemo Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), imenufaika na ruzuku ya takriban dola milioni 6.7 za Marekani kwa ajili ya kuandaa miradi mitatu ya kimkakati, ikiwemo miradi ya kikanda katika sekta ya nishati (Mradi wa kuunganisha umeme wa 400KV wa  Tanzania na Malawi na Mradi wa kuzalisha na kusambaza umeme wa Bonde la Songwe) na Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa wa Tanzania na Burundi (Standard Gauge Railway)” alisema Mhe. Balozi Omar Mhe. Balozi Omar alisema kuwa, ushirikiano huo umekuja wakati mwafaka ambapo Tanzania inatekeleza mpango wake wa nne wa maendeleo wa miaka mitano (2026/2027 hadi 2030/31), unaolenga kukuza mabadiliko ya kiuchumi kupitia uwekezaji katika nishati, usafirishaji, na teknolojia ya kidijitali. Aliahidi kuwa Tanzania itaendeleza ushirikiano wake na MCDF, Benki ya Uwekezaji ya Miundombinu ya Asia (AIIB), na washirika wengine wa maendeleo na kukaribusha mpango mkakati mpya wa Mfuko huo, wa mwaka 2027-2031, akisisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kikanda, ubora wa miradi, na kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Kwa upande wake, Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Miundombinu ya Asia (AIIB) Bi. Zou Jiayi, amesisitiza umuhimu wa Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Miundombinu (MCDF) katika kusaidia nchi zinazoendelea kupata miradi ya miundombinu inayoweza kufadhiliwa. Alibainisha kuwa MCDF si tu mfuko wa uaminifu bali ni mshirika wa kimkakati. Alieleza kuwa MCDF inasaidia kugeuza mahitaji ya uwekezaji kuwa miradi inayoweza kutekelezeka kwa kutoa msaada wa kiufundi na kujenga uwezo. “Mfuko huu unabadilisha mfumo wake wa biashara ili kujumuisha ufadhili wa daraja na sekta mpya kama nyumba janja na elimu ya kidijitali kwa kuwa kuna mabadiliko katika ufadhili wa maendeleo, ambapo nchi zinazoibukia zinachangia zaidi, jambo linaloonyesha ushirikiano wa Kusini-Kusini” alisema Bi. Jiayi Ameahidi kuwa AIIB itaendelea kusaidia MCDF katika awamu yake mpya kuanzia mwaka 2027, kwa kuzingatia uwazi na nidhamu katika matumizi ya rasilimali zitakazochangiwa na nchi wanachama pamoja na wadau wengine. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akichangia jambo wakati wa kikao cha Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Miundombinu (MCDF) kilichowashirikisha Mawaziri wa Fedha ambao ni Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Miundombinu ya Asia (AIIB), kilichofanyika kando ya Mkutano wa 11 wa Mwaka wa Magavana wa Benki hiyo, jijini Doha, nchini Qatar. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akihutubia kikao cha Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Miundombinu (MCDF) kilichowashirikisha Mawaziri wa Fedha ambao ni Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Miundombinu ya Asia (AIIB), kilichofanyika kando ya Mkutano wa 11 wa Mwaka wa Magavana wa Benki hiyo, jijini Doha, nchini Qatar. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Doha nchini Qatar)

Wed, 30 Sep 2026 16:37:31 +0000
Uncategorized · Business Daily

Teachers face tighter misconduct rules in proposed changes

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Au Niger, le recours aux tontines pour gérer la rentrée

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Mchengerwa aipa Bodi mpya ya Muhimbili Majukumu

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Raila Odinga Mausoleum nears to be unveiled next week

Raila Odingas mausoleum at Kango ka Jaramogi is 95pc complete, Defence PS Patrick Mariru says preparations are underway for its unveiling next week.

Wed, 30 Sep 2026 18:40:13 +0300

Page 949 of 1126 · 22519 stories