Search the region
22519 stories
Goli lililowapeleka fainali JKT Queens dhidi ya Mashujaa Queens (1-0) | Ngao ya Jamii 30/09/2026
Fatuma Said amefunga goli pekee na kuipa ushindi wa 1-0 JKT Queens dhidi ya Mashujaa Queens, mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii 2026. Ushindi huo umeipeleka fainali JKT Queens. Hapa KMC Complex, Dar es Salaam.
2026-09-30T16:07:50+00:00JKT Queens 1-0 Mashujaa Queens | Highlights | Nusu Fainali | Ngao ya Jamii 30/09/2026
Fatuma Said amefunga goli pekee na kuipa ushindi wa 1-0 JKT Queens dhidi ya Mashujaa Queens, mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii 2026. Ushindi huo umeipeleka fainali JKT Queens. Hapa KMC Complex, Dar es Salaam.
2026-09-30T16:15:53+00:00Rwanda SACCOs move to develop tailored financing products for green agriculture and agribusiness
Read the full report from the original source.
RecentlyHow rising dollar squeezes Ugandan wallets
From the fuel pump to the supermarket shelf, a weaker shilling can quietly make everyday life more expensive. A Kampala shopkeeper does not need to…
RecentlyWin for Sifuna as tribunal orders reservation of Linda Mwananchi name
Latest · News
RecentlyRaila Odinga Mausoleum nears to be unveiled next week
Read the full report from the original source.
RecentlyNew Kenya Power customers spend less on electricity
Read the full report from the original source.
RecentlyLIVE: Weighing nuclear risks amid rising tensions and war
Read the full report from the original source.
RecentlyGermany news: Cabinet approves care reform bill
Read the full report from the original source.
RecentlyEqual Earth designers to help bring ‘true size’ Africa map to schools
The three cartographers who designed the Equal Earth world map have agreed to help African governments put a new UN resolution into practice. The resolution calls for maps that show Africa...
RecentlyAirtel Uganda Pays UGX42.6bn Dividend to NSSF, Boosting Value for Savers
Read the full report from the original source.
RecentlyPresident Ruto, Billionaire Dangote Launch $16 Billion East Africa Refinery Project in Kenya
Read the full report from the original source.
RecentlyLa pluie et le vent détruisent 11 maisons dans le district de Ngoma
Read the full report from the original source.
RecentlyUganda Showcases Its Offerings at Oromia Tourism Week 2026 in Addis Ababa
Read the full report from the original source.
RecentlyUganda’s Refinery Will Be Built, Tanzania Cooperation on Tanga Stands, Maintains Museveni at Dangote Lamu Groundbreaking
Read the full report from the original source.
RecentlyTob Cohen's murder trial: Bartenders recount his final moments before disappearance
Read the full report from the original source.
RecentlyWhat happened on board the rerouted flydubai plane?
Read the full report from the original source.
RecentlyMP Ng’ang’a: Keep politics out of Dangote refinery
Ng'ang'a said the project should be viewed from the perspective of its impact on ordinary Kenyans
RecentlySERIKALI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI USHIRIKI WA WADAU KATIKA MAENDELEO YA MAKAZI NCHINI
Na Munir Shemweta Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ushiriki wa wadau katika maendeleo ya makazi, kwa kuzingatia sera, sheria na mipango ya kitaifa. Hayo yameelezwa leo tarehe 30 Sept 2026 na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo wakati wa sherehe za miaka 40 ya UN Habitat for Humanity Tanzania jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yameambatana pia na kampeni ya ‘’Opening the door campaign’’ pamoja na uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano ya shirika hilo (Strategic Plan 2025-2029). Mhe. Dkt Leonard Akwilapo amesema, Serikali, inatamani kuona Tanzania ambayo kila familia inapata fursa ya kuishi katika makazi salama, bora, yenye huduma muhimu na yanayomudu uwezo wa kiuchumi. Amebainisha kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imedhamiria kuhakikisha kuwa watanzania wanakuwa na makazi salama. Amesema, wizara yake inafanya juhudi pia za Kuimarisha upangaji na usimamizi wa ardhi; Urasimishaji wa makazi yasiyopangwa na Kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi na wadau wengine kushiriki katika utoaji wa makazi bora na nafuu nchini. Amelipongeza Shirika la Habitat for Humanity Tanzania kwa kuandaa na kuzindua Mkakati wake wa Miaka Mitano (Strategic Plan 2025-2029) mkakati alioueleza kuwa, utatoa fursa ya kuangalia miaka ijayo kwa mtazamo mpana zaidi. Akielezea kampeni ya “ Opening the Door Campaign” ya Habitat for Humanity amesema, kampeni hiyo inao ujumbe mzito na muhimu ambapo ametoa rai kuwa kampeni hiyo itumike kuhamasisha wadau wengi zaidi kuwekeza katika makazi na fursa zinazotokana na makazi bora. ‘’Ninaamini kwamba mafanikio ya kampeni hii yatategemea uwezo wetu wa kuunganisha nguvu za wadau mbalimbali na kuzifanya rasilimali zifike kwa wananchi wenye uhitaji zaidi ili lengo la kuwafikia watu millioni tatu na laki mbili ifikiwe’’. Amesema Ametoa wito kwa sekta binafsi, taasisi za fedha, wafadhili, mashirika ya kimataifa, wataalamu na wananchi kuendelea kushirikiana na Habitat for Humanity Tanzania katika kufikia malengo yao haya. Amesema, Wizara yake inapongeza kuanzishwa kwa Mkakati wa Miaka Mitano na “Opening the Door Campaign” ambapo ameeleza kuwa, iwapo utatekelezwa vyema utachangia kwa kiasi kikubwa kupunguza changamoto ya makazi nchini. Mkurugenzi wa Taifa wa Un Habitat for Humanity Tanzania Bi. Magdalena George amesema shirika hilo limekuwa msaada mkubwa kwa jamii hususan katika upande wa makazi bora na kubainisha kuwa tayari shirika hilo limewafikia zaidi ya watu milioni 1.3. Hata hivyo, amesema Pamoja na shirika hilo kutilia mkazo ujenzi wa nyumba salama na za gharama nafuu pia linaangalia vifaa vya ujenzi ili jamii iweze kumudu gharama za ujenzi. Kwa upande wake Mlezi wa Un Habitat for Humanity Tanzania ambaye ni mke wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu Mama Anna Mkapa amesema, amekuwa akilishawishi Shirika la Un Habitat for Humanity Tanzania kujenga nyumba za wahitaji wasiojiweza na kutolea mfano wa ujenzi wa nyumba eneo la Chamwino Mkoani Dodoma na kueleza kuwa ujenzi huo uliacha alama. Shirika la Un Habitat for Humanity Tanzania mbali na kushiriki kusaidia ujenzi wa nyumba kwa wasiojiweza na wenye uhitaji pia linashiriki kwenye miradi ya majisafi na usafi wa mazingira pamoja na Matumizi ya Nishati Safi ya Jua katika mashule. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo akipata maelezo ya utekelezaji miradi mbalimbali ya shirika la Un Habitat for Humanity Tanzania kutoka kwa Mkurugenzi wa Taifa wa shirika hilo Bi. Magdalena George wakati wa sherehe za miaka 40 zilizofanyika jijini Dar es Salaam Sept 30, 2026. Kushoto ni mlezi wa shirika hilo Mama Anna Mkapa. aziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo akizindua kampeni ya “Opening the Door Campaign” wakati wa sherehe za miaka 40 ya shirika la Un Habitat for Humanity Tanzania zilizofanyika jijini Dar es Salaam Sept 30, 2026. Kushoto ni mlezi wa shirika hilo Mama Anna Mkapa na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi Bi. Neema Ndikumwani. Mmoja wa wanufaika na miradi ya Shirika la Un Habitat for Humanity Tanzania akielezea namna alivyonufaika na miradi ya shirika hilo wakati wa sherehe za miaka 40 ya Un Habitat for Humanity Tanzania zilizofanyika jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo akizungumza katika sherehe za miaka 40 ya shirika la Un Habitat for Humanity Tanzania zilizofanyika jijini Dar es Salaam Sept 30, 2026. Kushoto ni mlezi wa shirika hilo Mama Anna Mkapa. Mlezi wa shirika la Un Habitat for Humanity Tanzania ambaye ni mke wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu Mama Anna Mkapa akizungumza wakati wa sherehe za miaka 40 ya shirika la Un Habitat for Humanity Tanzania zilizofanyika jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Shirika la Un Habitat for Humanity Tanzania wakati wa sherehe za miaka 40 ya shirika hilo zilizofanyika jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Mlezi wa shirika hilo mama Anna Mkpa (PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI)
Wed, 30 Sep 2026 15:51:34 +0000The Kenyans making money from chasing waterfalls
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 950 of 1126 · 22519 stories