Unganishwa

Search the region

22511 stories

Uncategorized · UN News Burundi

Peacekeeping: With 500 paternity and child support claims unresolved, UN scales up accountability

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Wawekezaji waalikwa sekta milki ya makazi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzanian Police pledge to bolster their capacity, discipline, ethics to align with Vision 2050 objectives

MOSHI: THE Tanzania Police Force will continue strengthening its capacity, discipline and professionalism to meet the country’s security needs and…

Recently
Uncategorized · The Citizen

Fire destroys businesses at Tanzania’s Machinga Complex as traders count losses

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Madamu Jeannette Kagame yitabiriye ibirori by'Umunsi Mpuzamahanga w'Abana

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Kulinda maslahi ya waandishi ni kuimarisha ubora wa haki – JAB

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania pledges to improve the welfare of its Police officers in terms of housing, working environments

MOSHI: THE Tanzanian government is continuing to improve housing and working conditions for police officers, with some houses and offices…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Odds Kubwa, Machaguo Kibao Yanakungoja Hapa

KAMA kawaida wikendi ndiyo hivyo inaenda kuanza na ligi mbalimbali Duniani zinarejea hivyo hii ndio nafasi ya wewe kutengeneza pesa. Ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet na ubashiri sasa. Ligi kuu ya Hispania, LALIGA kutakuwa na mtanange mmoja kati ya Athletic Bilbao dhidi ya Espanyol Barcelona ambao mpaka sasa kwenye msimamo wa ligi wapo nafasi ya 13 huku wenyeji woa wakiwa nafasi ya 7, kwa tofauti ya pointi 3 pekee. Mechi iliyopita Bilbao ametoka kutao sare ya kufungana, wakati wageni wao wakitoa suluhu, hivyo pointi 3 ni muhimu sana kwenye mechi hii ya leo kwa timu zote mbili. Pale Meridianbet mechi hii imepewa ODDS KUBWA, tengeneza jamvi lako na ubeti sasa. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho timu hizi mbili kukutana, Bilbao alipoteza, hivyo leo hii ni siku maalumu kwa wao kulipa kisasi. Je Espanyol ataendeleza ubabe wake?. Jisajili hapa. Nafasi ya kutengeneza pesa ipo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker , Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kule Ujerumani, BUNDESLIGA napo kitawaka haswa ambapo mabingwa watetezi wa ligi, Bayern Munich watawakaribisha kwao FC Cologne ambao wanashika nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Vijana wa Kompany wanahitaji kushinda mechi hii ili waendelee kujikita kileleni kwenye msimamo wa ligi. FC Cologne wao bado hawana mwendelezo mzuri wa matokeo hivyo wanatazamia kupata matokeo dhidi ya wababe hawa wa Ujerumani huku mechi ya mwisho ikionesha walivyokutana Bayern walishinda kwa kishindo. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet. Beti sasa. Vilevile unaweza ukapiga pesa kwenye mechi ya LIGUE 1 kule Ufaransa kati ya Troyes dhidi ya Le Havre ya kina Mbwana Samatta. Hii ni mechi ambayo inazikutanisha timu mbili ambazo zote zipo chini kwenye msimamo wa ligi. Troyes yupo nafasi ya 17 huku Le Havre yeye akiwa ndio wa mwisho kwenye ligi akiwa amekusanya pointi 2 pekee kwenye mechi 10 ambazo amecheza hadi sasa, huku mwenyeji wake akiwa na pointi 8. Ushindi ni muhimu kwenye timu zote mbili ili kuanza safari ya kujiondoa kwenye nafasi za chini walizopo. Je nani anaondoka na ushindi siku ya leo?. Suka jamvi lako la ushindi siku ya leo. Pia kule Saudia, ligi kuu itaendeela yaani SAUDI PROFFESIONAL LEAGUE kati ya Al Ahli dhidi ya Al Nassr , moja ya mechi kali kabisa za kutazama kwani timu zote mbili zina wachezaji wkaubwa na wenye uzoefu wa hali ya juu kabisa. Al Ahli yupo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi, huku kina Ronaldo wao wakiwa nafasi ya 3 baada ya kukusanya pointi zao 28, wakiwa mbele pointi 7 kwa mwenyeji wao. Msimu uliopita, kwenye mechi mbili walizokutana za ligi, kila timu ilishinda mechi ya nyumbani kwake. Je leo hii nani ataondoka na pointi 3?. Jisajili hapa.

Fri, 20 Nov 2026 05:30:00 +0000
Uncategorized · Watchdog Uganda

KIWALA CAROLINE TAHIR: Uganda Is Finally Building, Not Just Buying

If there is one thing we as East Africans have mastered, it is buying. We buy trucks from China, cars from Japan, even toothpicks from outside. Then we sit and…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

CEPA challenges professionals to embrace research in their work By Brian Mugenyi

By Brian Mugenyi The Centre for Policy Analysis (CEPA) has challenged researchers, architects, journalists and other professionals to prioritise evidence-based research, uphold professional ethics and embrace proper rese

Recently
Uncategorized · Daily News

Dr Samia confirms National Reconciliation Commission is  underway to lay groundwork for new Constitution

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Odds Kubwa, Machaguo Kibao Yanakungoja Hapa

KAMA kawaida wikendi ndiyo hivyo inaenda kuanza na ligi mbalimbali Duniani zinarejea hivyo hii ndio nafasi ya wewe kutengeneza pesa. Ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet na ubashiri sasa. Ligi kuu ya Hispania, LALIGA kutakuwa na mtanange mmoja kati ya Athletic Bilbao dhidi ya Espanyol Barcelona ambao mpaka sasa kwenye msimamo wa ligi wapo nafasi ya 13 huku wenyeji woa wakiwa nafasi ya 7, kwa tofauti ya pointi 3 pekee. Mechi iliyopita Bilbao ametoka kutao sare ya kufungana, wakati wageni wao wakitoa suluhu, hivyo pointi 3 ni muhimu sana kwenye mechi hii ya leo kwa timu zote mbili. Pale Meridianbet mechi hii imepewa ODDS KUBWA, tengeneza jamvi lako na ubeti sasa. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho timu hizi mbili kukutana, Bilbao alipoteza, hivyo leo hii ni siku maalumu kwa wao kulipa kisasi. Je Espanyol ataendeleza ubabe wake?. Jisajili hapa. Nafasi ya kutengeneza pesa ipo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker , Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Kule Ujerumani, BUNDESLIGA napo kitawaka haswa ambapo mabingwa watetezi wa ligi, Bayern Munich watawakaribisha kwao FC Cologne ambao wanashika nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Vijana wa Kompany wanahitaji kushinda mechi hii ili waendelee kujikita kileleni kwenye msimamo wa ligi. FC Cologne wao bado hawana mwendelezo mzuri wa matokeo hivyo wanatazamia kupata matokeo dhidi ya wababe hawa wa Ujerumani huku mechi ya mwisho ikionesha walivyokutana Bayern walishinda kwa kishindo. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet. Beti sasa. Vilevile unaweza ukapiga pesa kwenye mechi ya LIGUE 1 kule Ufaransa kati ya Troyes dhidi ya Le Havre ya kina Mbwana Samatta. Hii ni mechi ambayo inazikutanisha timu mbili ambazo zote zipo chini kwenye msimamo wa ligi. Troyes yupo nafasi ya 17 huku Le Havre yeye akiwa ndio wa mwisho kwenye ligi akiwa amekusanya pointi 2 pekee kwenye mechi 10 ambazo amecheza hadi sasa, huku mwenyeji wake akiwa na pointi 8. Ushindi ni muhimu kwenye timu zote mbili ili kuanza safari ya kujiondoa kwenye nafasi za chini walizopo. Je nani anaondoka na ushindi siku ya leo?. Suka jamvi lako la ushindi siku ya leo. Pia kule Saudia, ligi kuu itaendeela yaani SAUDI PROFFESIONAL LEAGUE kati ya Al Ahli dhidi ya Al Nassr , moja ya mechi kali kabisa za kutazama kwani timu zote mbili zina wachezaji wkaubwa na wenye uzoefu wa hali ya juu kabisa. Al Ahli yupo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi, huku kina Ronaldo wao wakiwa nafasi ya 3 baada ya kukusanya pointi zao 28, wakiwa mbele pointi 7 kwa mwenyeji wao. Msimu uliopita, kwenye mechi mbili walizokutana za ligi, kila timu ilishinda mechi ya nyumbani kwake. Je leo hii nani ataondoka na pointi 3?. Jisajili hapa.

Fri, 20 Nov 2026 06:30:00 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Former NA Deputy Speaker Samuel Ng’eny dies

Wetang’ula said Ng’eny, who served as Deputy Speaker between 1983 and 1988, presided over parliamentary proceedings with fairness.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

UENDELEVU WA NGOs WATEGEMEA UONGOZI BORA, UBUNIFU

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini yametakiwa kuimarisha mifumo ya uongozi, usimamizi wa fedha, uwazi na uwajibikaji pamoja na kuwekeza katika ubunifu ili kuongeza uwezo wa kujiendesha na kuendeleza huduma kwa jamii. Wito huo umetolewa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo, walioeleza kuwa uongozi bora, uzingatiaji wa sheria za kodi na matumizi sahihi ya rasilimali ni miongoni mwa misingi muhimu ya kuhakikisha mashirika hayo yanakuwa endelevu na yanaendelea kuchangia maendeleo ya Taifa. Mwenyekiti wa Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania (IDT), Saidi Kambi, amesema uendelevu wa mashirika hayo unaanzia katika uongozi bora, bodi imara na mifumo inayozingatia uwazi na uwajibikaji. Amesema mashirika yanahitaji kujenga uaminifu kwa wadau na kupanua vyanzo vya mapato ili kupunguza utegemezi wa ufadhili na kuhakikisha yanaendelea kutekeleza malengo yake. “Uaminifu unakuja kwa kiasi kikubwa kupitia uongozi imara, uwazi na uwajibikaji. Hata hivyo, si suala la kusimamia fedha pekee, bali pia kupanua vyanzo vya mapato ili kuhakikisha malengo ya taasisi yanafanikiwa,” amesema Kambi. Ameeleza kuwa uongozi bora ni muhimu pia katika kufanikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, inayojikita katika uchumi imara na shindani, maendeleo ya watu na jamii pamoja na uhifadhi wa mazingira, akibainisha kuwa mashirika yasiyo ya kiserikali yana nafasi kubwa katika kufanikisha maeneo hayo. Kambi amesema Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania imesaini hati ya makubaliano na Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) kwa lengo la kushirikiana kuimarisha mifumo ya uongozi na uadilifu katika mashirika hayo. Kwa upande wake, mtaalamu wa ukaguzi wa hesabu (Auditor), Anna Mzokayape, amesema uzingatiaji wa sheria za kodi, ukaguzi wa hesabu na usimamizi wa fedha ni muhimu katika kuongeza uaminifu wa mashirika kwa wafadhili na kuimarisha uendelevu wake. Mzokayape amesema kupitia hati ya makubaliano (MoU) aliyoingia na NaCoNGO, yeye pamoja na kampuni yake wanalenga kuyajengea uwezo mashirika ya ndani na ya kimataifa katika masuala ya ukaguzi wa hesabu, sheria za kodi, upangaji wa bajeti na usimamizi wa matumizi ya fedha. Amesema baadhi ya mashirika yanapokea fedha kutoka kwa wafadhili wa ndani na nje ya nchi, lakini hukumbana na changamoto ya kuelewa na kutekeleza masharti ya ufadhili, ikiwemo utunzaji wa kumbukumbu sahihi za fedha na kufanya ukaguzi wa hesabu. “Tunataka kuyasaidia mashirika yaelewe sheria za kodi zinasemaje, namna ya kutengeneza hesabu, kuandaa bajeti na kujua wajibu wao wa kifedha ili yaweze kuwasilisha taarifa sahihi TRA na kutimiza masharti ya wafadhili,” amesema Mzokayape. Ameongeza kuwa mashirika yanapokuwa na mifumo mizuri ya usimamizi wa fedha na kuzingatia sheria, yanajenga uaminifu kwa wafadhili na kuongeza nafasi ya kupata ufadhili zaidi kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo. Katika eneo la ubunifu, Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Bora Women Go Green NGO, Gretha Haule, amesema taasisi hiyo itatumia jukwaa hilo kuonesha teknolojia bunifu ya kupikia kwa kutumia nishati ya hydrogen inayozalishwa kwa kutumia maji na umeme unaotokana na jua. Haule amesema teknolojia hiyo inalenga kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia na kuonesha namna ubunifu unavyoweza kuwa sehemu ya suluhisho la changamoto zinazowakabili wananchi. “Teknolojia yetu ni rahisi sana. Ukiwa na jua na maji unaweza kupika. Tunawaalika wadau wote wajitokeze katika jukwaa hilo ili kujionea teknolojia hii kwa vitendo,” amesema. Amesema mbali na maonesho hayo, atashiriki pia katika mjadala wa jukwaa kama mjumbe wa jopo, akichangia mada kuhusu nafasi ya ubunifu katika kutatua changamoto za kijamii na kuimarisha matumizi ya nishati safi nchini. Haule amesema taasisi hiyo imeamua kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, akieleza kuwa ubunifu huo ni sehemu ya mchango wao katika kutekeleza maono ya Tanzania ya kijani. Jukwaa la Sita la Mwaka la Mashirika Yasiyo yab Kiserikali linatarajiwa kufanyika jijini Dodoma kuanzia Novemba 25 hadi 28, 2026, likiwa na kaulimbiu inayosisitiza uendelevu wa mashirika hayo kupitia ubunifu, ubia na upatikanaji wa rasilimali fedha kutoka vyanzo vya ndani. Jukwaa hilo linatarajiwa kuwakutanisha washiriki takribani 3,500 kutoka serikalini, sekta binafsi, washirika wa maendeleo, vyombo vya habari na mashirika yasiyo ya kiserikali kwa ajili ya kujadili mikakati ya kuimarisha sekta hiyo na mchango wake katika maendeleo ya Taifa.

Fri, 20 Nov 2026 13:48:29 +0000
Uncategorized · Mwananchi

Jamhuri, Lissu mnyukano tena kesi ya uhaini

Soma hapa...

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Death-row inmate screams as execution takes over 1 hour

A spokeswoman for the Texas Department of Criminal Justice said there had been unsuccessful attempts to find veins for the injections

Recently
Uncategorized · Daily News

Dr Samia urges youth in Kilimanjaro to safeguard peace and make Tanzania tourists’ safe destination

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Former NA Deputy Speaker Samuel Ng’eny dies

Wetang’ula said Ng’eny, who served as Deputy Speaker between 1983 and 1988, presided over parliamentary proceedings with fairness.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Miss World 2027 kusisitiza mavazi ya heshima

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania, UK agree to deepen their diplomatic ties, expand bilateral trade and investment

DAR ES SALAAM: TANZANIA has reaffirmed its commitment to strengthening diplomatic relations, trade, investment and development cooperation with the United…

Recently

Page 97 of 1126 · 22511 stories