Search the region
22511 stories
Samia appoints 22 DCs, 17 DEDs in wider administrative reshuffle
Read the full report from the original source.
RecentlyMorocco: King appoints first woman prime minister
Read the full report from the original source.
RecentlyWRRB, WAENDESHA GHALA WATETA DODOMA, WAJIPANGA KWA MSIMU WA KOROSHO
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imefanya mazungumzo na Umoja wa Waendesha Ghala kujadili mazingira ya kiutendaji ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala katika kuelekea Msimu wa Korosho 2026/27 unaotarajiwa kuzinduliwa Oktoba 12, 2026. Kikao hicho kimefanyika leo Septemba 29, 2026 jijini Dodoma kimeongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa WRRB, Bw. Asangye Bangu na kuhudhuriwa na viongozi wa Umoja huo pamoja na Watalaamu wa Bodi hiyo, ili kutafuta ufumbuzi wa hoja mbalimbali walizoziibua hivi karibuni. Miongoni mwa mambo waliyokubaliana katika kikao hicho ni kuzingatia matakwa ya mwongozo wa msimu wa korosho 2026/27 na kwamba masuala yaliyoibuka kinyume na matakwa hayo hayatumika. Akizungumza katika kikao hicho, Bw.Bangu amesisitiza ghala zitakazokidhi vigezo stahiki ndio zitapewa leseni katika msimu huo ili kuhakikisha korosho ghafi inahifadhiwa kwenye ghala bora hasa ikizingatiwa kuwapo na tahadhari ya mvua za El nino. "Maghala yasiyo na viwango yatakataliwa hii ni kutokana tahadhari za mvua za El nino tunataka korosho yetu isiathiriwe na ubora, tunawahimiza wakulima wahakikishe korosho inakaushwa vizuri kulingana na vigezo vya unyevu vilivyowekwa,"amesema. Naye, Mwenyekiti wa Umoja huo, Bw. Abdulkarim Masoud ameishukuru WRRB kwa kukutana nao na kujadili malalamiko yao ambayo yatawezesha kupata ufumbuzi na kuendelea na msimu huo. "Hatujafanya hivi kuharibia mtu bali ni njia ya kutafuta ufumbuzi wa malalamiko yetu ili msimu wa korosho ufanyike kwa ufanisi,"amesema.
Tue, 29 Sep 2026 20:00:58 +0000New African Project Targets Faster Response to Future Disease Outbreaks
Read the full report from the original source.
RecentlyUN Rights Council Hears Concerns Over Detention of Shincheonji Leader Lee Man-hee
CAP Freedom of Conscience calls for alternatives to detention, independent medical assessment and a fair trial GENEVA — Concerns over the pretrial detention and treatment of 95-year-old Shincheonji Church of…
RecentlyVETA YAAINISHA MCHANGO WAKE KATIKA KUJENGA WATAALAMU WA SEKTA YA MADINI.
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Stadi (VETA) imeeleza kuwa inaweka mkazo katika kuandaa vijana wenye ujuzi unaoendana na mahitaji ya sasa ya sekta ya madini, ikiwemo uendeshaji wa mitambo na shughuli nyingine za kitaalamu katika uchimbaji. Akizungumza Septemba 29, 2026, katika Maonesho ya Tisa ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea mkoani Geita, Afisa Mkuza Mitaala VETA Makao Makuu, Mhandisi Audiface Tarimo, amesema ushirikiano huo umewezesha VETA kutambua ujuzi unaohitajika katika sekta ya madini na kuandaa programu za mafunzo zinazowawezesha vijana kushiriki katika shughuli mbalimbali za uchimbaji na uzalishaji. Amesema VETA pia imekuwa ikiimarisha uwezo wa wakufunzi kwa kushirikiana na wadau, ambapo baadhi ya walimu wamepelekwa nchini Finland kwa ajili ya kupata mafunzo, huku wakirejea na kuwajengea uwezo walimu wengine nchini. Amesema hatua hiyo inalenga kuongeza idadi ya wakufunzi wenye uwezo wa kutoa mafunzo kwa vijana wengi zaidi wanaohitaji ujuzi unaohusiana na sekta ya madini. Kwa upande wa vijana, Tarimo amesema VETA inawapa fursa ya kusoma kozi zinazohusiana na sekta ya madini, ikiwemo kozi za kutengeneza na kuendesha mitambo, kutokana na fursa zilizopo katika sekta hiyo na mchango wake katika uchumi wa nchi. Aidha, amesema VETA kwa kushirikiana na Chama cha Watoa Huduma katika Sekta ya Madini Tanzania, imeandaa mitaala sita mipya inayolenga kutoa ujuzi unaohitajika katika shughuli za madini. Mitaala hiyo ni Bogie Operation, Jumbo Operation, Solo Operation, Cubex Operation, Charge Up Operation pamoja na Lifting and Rigging. Amesema VETA inatarajia kuanza kutoa mafunzo ya mitaala hiyo katika Chuo cha VETA Moshi, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuwaandaa vijana kupata ujuzi unaoendana na mahitaji ya sekta ya madini. Kwa Ujumla, VETA inalenga kuendelea kuoanisha mafunzo ya ufundi na mahitaji halisi ya sekta ya madini, ili kuongeza upatikanaji wa wataalamu wenye ujuzi unaohitajika na kuwawezesha vijana kunufaika na fursa zinazotokana na shughuli za madini nchini.
Tue, 29 Sep 2026 19:38:43 +0000VITASA | Mohamed Kazimoto amchakaza Suma Ninja 'TKO' raundi ya kwanza | Boxing In Paradise 29/9/2026
VITASA NIGHT: Tazama jinsi Mohamed Kazimoto ‘Talent’ alivyomchakaza Suma Ninja kwa TKO raundi ya kwanza tu… Hii ni Boxing In Paradise inayopigwa Paje, Zanzibar Pambano kuu lilikuwa ni Harry Mkacha kutoka Malawi dhidi ya Mtanzania, Hamis Magazeti
2026-09-29T19:23:37+00:00DODOMA YAWEKA MKAZO KUWAKINGA WATOTO DHIDI YA POLIO
Na Mwandishi wetu,DODOMA Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeanza awamu ya pili ya kampeni ya chanjo ya polio, ikilenga kuwafikia watoto 250,045 katika kipindi cha siku nne. Zoezi hilo linatarajiwa kukamilika tarehe 2 Oktoba, 2026 huku timu za afya zikielekezwa kuwafikia watoto katika maeneo mbalimbali ya jiji. Akizungumza na waandishi wa habari Mratibu wa Huduma za Chanjo Jiji la Dodoma, Victor Kweka aliema "Tumepanga kuwafikia watoto 250,045 katika awamu hii ya kampeni, hivyo tunawaomba wazazi na walezi kushirikiana na wahudumu wa afya ili kuhakikisha watoto wanapata chanjo,” alisema Kweka, Alisema kuwa maandalizi yamekamilika na juhudi zinaelekezwa kuhakikisha watoto waliolengwa wanafikiwa ndani ya muda uliopangwa. Kampeni hiyo inalenga kuimarisha kinga dhidi ya polio, ugonjwa wa kuambukiza ambao unaweza kusababisha kupooza na madhara ya kudumu. Alisisitiza kuwa utoaji wa chanjo unahitaji uelewa na ushiriki wa jamii, huku viongozi wa maeneo wakitakiwa kusaidia katika kuhamasisha wananchi na kufikisha taarifa za kampeni kwa familia. Kwa kuwa zoezi hilo linafanyika kwa muda mfupi, wazazi na walezi wametakiwa kuchukua hatua mapema badala ya kusubiri siku za mwisho za kampeni. Ushirikiano wao umetajwa kuwa utasaidia timu za afya kuwafikia watoto wengi zaidi na kupunguza uwezekano wa baadhi yao kukosa huduma hiyo muhimu ya kinga. Kampeni hiyo itahitimishwa tarehe 2 Oktoba, 2026 baada ya siku nne za utekelezaji.
Tue, 29 Sep 2026 19:32:13 +0000Rais Samia ateua Ma DC 22 wengine 26 wahamishwa, Ma DED na DAS hawa hapa
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi wa Serikali, akiwemo wakuu wa wilaya (ma-DC) 22 huku wengine 26 wakihamishwa katika vituo mbalimbali.
RecentlyCanada extends travel restrictions on Uganda
Canada has extended temporary immigration and border measures affecting Uganda and neighbouring countries over concerns about the ongoing Ebola Bundibugyo outbreak in the Democratic Republic…
RecentlyNEWZ ALERT : RAIS DKT.SAMIA AMEFANYA UTEUZI NA UHAMISHO WA VIONGOZI MBALIMBALI USIKU HUU.
Tue, 29 Sep 2026 19:15:09 +0000Validation of the 10-Year Rwanda Tea Strategy (2027–2037)
Read the full report from the original source.
RecentlyDangote launches Sh2.2tn refinery, 60,000 jobs on way
These are the stories making headlines in the Star newspaper
RecentlyNigerian dances non-stop for seven days in world record bid
Crowds cheered on Ben Dancer as completed his challenge, he has now gone to hospital for check-up
RecentlyVitasa | Bakari Kauzeni vs Bashiru Mohamed | Boxing In Paradise 29/09/2026
VITASA NIGHT: Hivi ndivyo Bakari Kauzeni alivyoshinda kwa TKO ya raundi ya tatu dhidi ya Bashiru Mohamed wote kutoka Dar es Salaam. Hii ni Boxing In Paradise inayopigwa Paje, Zanzibar Pambano kuu lilikuwa ni Harry Mkacha kutoka Malawi dhidi ya Mtanzania, Hamis Magazeti
2026-09-29T18:48:09+00:00The Invisible Bankers
The professionals who help move, hide and legitimise Uganda’s dirty money Kampala, Uganda | IA…
RecentlyNo regard for civilians as fighting in Ethiopia continues
Read the full report from the original source.
RecentlyVictoria Mutiso murder: Rose Mbithe, two children allege torture, denied medical care in custody
Read the full report from the original source.
RecentlyVitasa | Karim Butu vs Justine Geuza | Boxing In Paradise 29/09/2026
VITASA NIGHT: Raundi sita zilizoamua ushindi wa pointi kwa Justine Geuza kutoka Tegeta Dar es Salaam dhidi ya Karimu Butu wa Nungwi Zanzibar. Ni Boxing In Paradise iliyopigwa NIA Pool Club, Paje Zanzibar.
2026-09-29T18:28:12+00:00President Ruto says Dangote refinery project will proceed despite court cases, protests
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 973 of 1126 · 22511 stories