Unganishwa

Search the region

22511 stories

Uncategorized · TechCabal East Africa

Zimbabweans can buy Dangote shares, but not quite through an app

Read the full report from the original source.

Recently
Health · Issa Michuzi

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru, kujionea hali ya utoaji wa huduma za afya kwa wananchi pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili wagonjwa na watumishi wa hospitali hiyo. Mara baada ya kuwasili hospitalini hapo, Makamu wa Rais amepokelewa na viongozi pamoja na watumishi wa hospitali, ambapo taarifa fupi ilitolewa kuhusu maendeleo, utendaji na huduma zinazotolewa, kabla ya kutembelea wodi mbalimbali na kuzungumza na wananchi wanaopata huduma hospitalini hapo. Akizungumza na wananchi waliolazwa hospitalini hapo, Mhe. Ndejembi aliwapa pole kutokana na maradhi yanayowakabili na kuwafikishia salamu za Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, huku akiwahakikishia kuwa Serikali itaendelea kuipa sekta ya afya kipaumbele na kuboresha huduma zinazotolewa katika vituo vya afya nchini. Akiwa katika Wodi ya wazazi, Makamu wa Rais alieleza kufurahishwa kuwaona akina mama waliojifungua salama pamoja na watoto wao wakiwa na afya nzuri, akibainisha kuwa Serikali itaendelea kuimarisha huduma za afya ya mama na mtoto ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupunguza vifo vinavyotokana na uzazi pamoja na vifo vya watoto. Alisema jitihada hizo zinaendana na dhamira ya Rais Samia ya kuhakikisha huduma bora na salama za afya ya uzazi zinawafikia wanawake na watoto katika maeneo mbalimbali nchini, sambamba na nafasi yake katika kusukuma mbele ajenda ya kupunguza vifo vya mama na mtoto barani Afrika. Katika ziara hiyo, Makamu wa Rais pia alipata fursa ya kuzungumza ana kwa ana na baadhi ya wagonjwa kuhusu huduma zinazotolewa hospitalini hapo. Wagonjwa hao walieleza kuridhishwa na huduma wanazopatiwa, huku baadhi yao wakitaja kushindwa kulipa gharama za matibabu. Kufuatia changamoto hiyo, Makamu wa Rais aliwezesha kulipwa kwa gharama za matibabu za baadhi ya wagonjwa waliokuwa wamekwama kutokana na kutokuwa na uwezo wa kulipa, hatua iliyowapa unafuu wagonjwa hao pamoja na familia zao. Ziara hiyo imempa Makamu wa Rais nafasi ya kujionea moja kwa moja huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Mount Meru, kusikiliza wananchi wanaozitumia na kufahamu changamoto zinazowakabili, huku akisisitiza kuendelea na hatua za kuboresha upatikanaji na ubora wa huduma za afya nchini. Katika hatua nyingine, Makamu wa Rais alitembelea maeneo mbalimbali ya Jiji la Arusha, kuwasalimu wananchi na kujionea hali ya mazingira mkoani humo.

Tue, 29 Sep 2026 15:06:45 +0000
Uncategorized · The Star Kenya

Serious injuries by sex, 2021-2025

In 2021, a total of 136 males sustained serious injuries alongside 56 females

Recently
Sports · Mwanaspoti

Kocha England alia na ulinzi

KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ameonya safu yake ya ulinzi baada ya kukiri kuwa kikosi chake kimekuwa “hatari kwao wenyewe” kutokana na makosa ya kiufundi yanayoigharimu mabao.

Recently
Uncategorized · Mwanaspoti

Shilla; Kutoka Azam FC hadi mitaa ya Ibrahimovic

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Bao la Olise lampagawisha Zidane

KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Ufaransa, Zinedine Zidane, amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kushindwa kujizuia kwa furaha kufuatia timu yake kupata ushindi wa dakika za mwisho dhidi ya Ubelgiji.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Rais FIFA kumwaga mabilioni

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

DCI opposes bail for five suspects charged over murder of Dr Victoria Mutiso

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

ELIMU DHIDI YA MVUA ZA EL NINO YABISHA HODI SAME MASHARIKI

SAME. WANANCHI wa Jimbo la Same Mashariki, wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari na kujiandaa kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za El Nino zinazotarajiwa kuanza kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini kuanzia mwezi Oktoba mwaka huu. Huku wataalamu wakitoa tahadhari juu ya uwezekano wa kutokea kwa mafuriko, mmomonyoko wa udongo na changamoto nyingine zinazoweza kuhatarisha maisha na mali za wananchi. Rai hiyo ilitolewa katika semina maalumu iyofanyika jana kata ya Ndungu iliyolenga kutoa elimu kuhusu El Nino, namna inavyoweza kuathiri jamii pamoja na hatua muhimu za kuchukua kabla na wakati na baada ya mvua hizo, iliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, na kuwakutanisha Maafisa Tarafa, Watendaji wa Kata, Madiwani pamoja na wataalamu kutoka Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST). Akizungumza mara baada ya semina hiyo, Mbunge Jimbo hilo, Anne Kilango aliishukuru GST kwa kutoa elimu hiyo, akisema atahakikisha elimu na taarifa za tahadhari zinazohusiana na El Nino zinawafikia wananchi katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo kwa wakati, ili kuwawezesha kuchukua hatua za kujikinga na madhara yanayoweza kujitokeza. Kwa upande wake, Mjiolojia Mwandamizi kutoka GST, Gabriel Mbogoni, alisema maeneo mbalimbali waliyoyatembelea katika Wilaya ya Same yanakabiliwa na changamoto zinazofanana. Mbogoni alisema baadhi ya shughuli za kilimo zinazofanyika katika maeneo hatarishi zinaweza kuchangia mmomonyoko wa udongo na kupasuka kwa ardhi, hali ambayo inaweza kuongeza madhara wakati wa mvua kubwa hasa kipindi hiki cha mvua za El Nino.

Tue, 29 Sep 2026 15:00:53 +0000
Uncategorized · Burundi Forum

Burundi: Au-delà de 2027, penser aux générations futures

« Burundi : reconquérir la souveraineté économique » À l’approche des échéances de 2027, le débat public burundais est naturellement appelé à se concentrer sur les projets, les responsabilités et l’avenir du pays. Mais une nation ne peut pas penser son destin...

Tue, 29 Sep 2026 14:53:51 +0000
Uncategorized · Rwanda News Agency

The new Director of KOICA in Rwanda presents Letters of Credence

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

TV journalist is crowned king of Uganda's Tooro Kingdom

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Mama Ida, family visit Karua after father's death

Karua said the loss had created a shared understanding of grief between the families.

Recently
Health · Daily News

VP Ndejembi hails maternal and newborn health services at Mount Meru Hospital

ARUSHA: VICE President Deogratius Ndejembi has visited Mount Meru Regional Referral Hospital in Arusha to assess the provision of healthcare…

Recently
Uncategorized · Business Daily

Explainer on the Net-metering electricity

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Ruto: Lamu refinery groundbreaking to proceed as planned

The President says the refinery will transform Kenya’s economy and create thousands of jobs.

Recently
Uncategorized · Business Daily

India, Europe hubs supply 25pc of Kenya’s G-to-G fuel

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania, Burundi begin their joint UPC to review and bolster their socio-economic ties

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Why Kenya’s super rich are spending millions on old cars

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Jan International hails its operations in Tanzania for advancing the country’s economy

DAR ES SALAAM: JAN International has said its operations in Tanzania have contributed to the country’s economy through employment creation,…

Recently

Page 977 of 1126 · 22511 stories