Search the region
22511 stories
Field Marshal Muthoni Market advances Nyeri’s development transformation
Latest · Government
RecentlyMhandisi Swedi awaagiza wachimbaji kuimarisha usalama migodini kukabiliana na El Nino
Read the full report from the original source.
RecentlyMOROGORO YAJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA EL NINO
Na; Mwandishi Wetu – Morogoro. Mkurugenzi Msaidizi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge Uratibu na Wenye Ulemavu, Idara ya Usimamizi wa Maafa Dkt. Salim Manyata ametoa Salaam za Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Kamati za Maafa za Mkoa wa Morogoro pamoja na Timu ya Mkoa ya Kukabiliana na Dharura wakati wa kikao kazi kitakachoambata na ziara ya kufanya ukaguzi na ufuatiliaji wa utekelezaji wa maelekezo yaliyotolewa kwa Mikoa kuhusu kujiandaa na kukabiliana na athari za El Nino tarehe 28 Septemba 2026. Mawasilisho mbalimbali yamewasilishwa katika kikao kazi hicho ikiwa ni pamoja na Taarifa ya Utayari kwa kila sekta na wadau ya kujiandaa na kukabiliana na athari za El Nino, ambapo sekta zilizohusika ni pamoja na TANROADS, TARURA, Sekta ya Afya,TANESCO, kilimo, Maji yaani maji safi na maji taka na Mamlaka zote za Bonde, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Shirika la Reli nchini (TRC), Maliasili, REDCROSS na SKAUTI. Awali, akizungumza katika kikao hicho kilichohusisha pia kamati ya Ulinzi na usalama ya Mkoa kabla ya kuanza Ziara Maalum Mkoani hapo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mhandisi Hamad Masauni (Mb), alisema ni muhimu kuchukua tahadhari na hatua mahsusi kuhusiana na tishio la El Nino na kuweka nguvu zaidi katika kuzuia na kujiandaa ili hata madhara yatakapotokea yasiwe makubwa zaidi. “Tutumie vizuri Rasilimali zilizopo ili kuweza kukabiliana na jambo hili, sambamba na kuzingatia suala zima la usafi wa mazingira katika maeneo yetu Alisisitiza Waziri Masauni.’ Imeelezwa kuwa Mkoa wa Morogoro ni Miongoni mwa Mikoa ambayo imekuwa akiathirika mara nyingi na mvua za misimu tofauti, hivyo ni vyema kuangaliwa kwa namna ya kipekee hasa katika kipindi hiki cha Mvua za El Nino, zilizotabiriwa na Mamlaka ya hali ya hewa Nchini kunyesha mwanzoni mwa mwezi Oktoba 2026 " Usimamizi wa Maafa ni jukumu la kila mtu, kila mmoja anatakiwa kushiriki sasa na kuchukua hatua katika eneo lake ili kuokoa maisha, mali, miundombinu na mazingira."
Tue, 29 Sep 2026 13:25:47 +0000VIWANJANI: Yanga SC washiriki maziko ya Mzee Mpili, TRA yaendelea na mazoezi Zanzibar.
Azam TV
2026-09-29T13:10:13+00:00Nabbanja Meets British Investor Exploring Opportunities in Uganda
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya’s digital payment boom is leaving mobile money agents stranded
Read the full report from the original source.
RecentlyMPs questions speed of Dangote refinery development in Lamu
Read the full report from the original source.
RecentlyCourt strikes out bid to liquidate Kuscco
The court found that the petition, having been brought directly under the Insolvency Act, could not proceed
RecentlySakata la mgomo wa madereva, ACT Wazalendo wataka Waziri Katambi ajiuzulu
Read the full report from the original source.
RecentlyEvery county to get a public rehabilitation center within a year-Kindiki
Read the full report from the original source.
RecentlyThe race to crown the 'fattest dog of Delhi'
The list of finalists seems to be as quirky as the competition.
RecentlyCourt orders return of Kenyan passport taken from EALA MP with dual citizenship
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania moves to transform its mining sector from export of raw materials into higher-value mineral products
HELSINKI: TANZANIA has outlined plans to transform its mining sector from one largely focused on mineral extraction and the export…
RecentlyUN leaders renew push to defeat racism, 25 years after Durban
Read the full report from the original source.
RecentlyFrance’s public debt rises to 119pc of GDP in Q2
Latest · World
RecentlyHow Ne-Yo’s fedora became part of his signature style
When Ne-Yo emerged as one of RnB’s biggest names, the hat was almost as familiar as his smooth vocals.
RecentlyMashili atimiza ahadi, akabidhi msaada wa kichomeo taka na jenereta Chuo cha Uuguzi Nzega
Read the full report from the original source.
RecentlyCancer drugs among most counterfeited in Kenya
Read the full report from the original source.
RecentlyBurkina Faso: Ibrahim Traoré yafunguye uruganda rwa mbere rutunganya zahabu i Ouagadougou
Read the full report from the original source.
RecentlyIngingo z'ingenzi z'impamvu yo gusaba guhinduza amazina
Tue, 29 Sep 2026 14:42:06 +0200Page 980 of 1126 · 22511 stories