Search the region
22511 stories
More than 3,000 people bitten by dogs in Rwanda in 2025
Read the full report from the original source.
RecentlyEACOP inspects maternal wing construction at Hoima health centre, donates 200 Mama kits
HOIMA — East African Crude Oil Pipeline (EACOP) Ltd has inspected the ongoing construction of a maternal and child health wing at Mbarara Health Centre II in Kitoba Sub-County, Hoima District,...
RecentlyAfrican media leaders call for new approaches to AI, revenue and ownership
Latest · News
RecentlyMeridian Sportstz APP: Habari za Michezo Kiganjani Mwako
MERIDIAN Sports App ni jukwaa la kidijitali linalokuwezesha mwanamichezo kupata taarifa mbalimbali za michezo kutoka sehemu tofauti duniani kupitia simu yako. App hii inapatikana kwenye Google Play Store kwa watumiaji wa Android na App Store kwa watumiaji wa iOS, hivyo mashabiki wanaweza kuipakua na kufuatilia taarifa kwa urahisi. Kupitia Meridian Sports App, wafuasi wa michezo wanaweza kupata taarifa mbalimbali kuhusu soka, huku ligi kubwa duniani zikipewa nafasi. Miongoni mwa ligi hizo ni Premier League ya England, LaLiga ya Hispania, Ligue 1 ya Ufaransa, Serie A ya Italia, Saudi Pro League pamoja na Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Mbali na ligi hizo, App hiyo pia inawapa mashabiki taarifa kuhusu michuano mikubwa ya kimataifa barani Ulaya na Afrika. Watum iaji wanaweza kufuatilia habari za UEFA Champions League, Europa League na Conference League, pamoja na CAF Champions League na CAF Confederation Cup . Meridian Sports App pia inaangazia maisha ya wachezaji ndani na nje ya uwanja. Kupitia jukwaa hilo, mashabiki wanaweza kupata habari kuhusu wachezaji mbalimbali, matukio yanayowahusu pamoja na shughuli zao nje ya uwanja, hivyo kuwapa picha pana zaidi ya maisha ya nyota hao. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Mbali na soka, Meridian Sports App inatoa taarifa kuhusu michezo mingine maarufu duniani. Watumiaji wanaweza kufuatilia habari za Basketball, Boxing, Tennis na Riadha, jambo linalowapa nafasi ya kupata taarifa za michezo mbalimbali kupitia jukwaa moja. Kwa mashabiki wanaotaka kuwa karibu na taarifa za michezo kila siku, Meridian Sports App ni sehemu ya kufuatilia habari mbalimbali kwa urahisi kupitia simu. Unaweza kuitafuta na kuipakua Meridian Sports App kupitia Google Play Store kwa Android au App Store kwa iOS na kuendelea kufuatilia taarifa za michezo kutoka Tanzania na duniani kote.
Tue, 29 Sep 2026 04:00:00 +0000Banker convicted of attempted murder after stabbing former lover
Read the full report from the original source.
RecentlyTAWI LA COTWU (T) – TASAC LAFANYA MKUTANO WA MWAKA NA UCHAGUZI MKUU
Na Mwandishi Wetu TAWI la Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania (COTWU–T) la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), tarehe 25 Septemba 2026 lilifanya Mkutano Mkuu wa Tawi kwa lengo la kujadili masuala ya ustawi wa wafanyakazi pamoja na kufanya uchaguzi wa viongozi wa Tawi kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Akizungumza katika Mkutano huo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa TASAC, Bw. Hamid Mbegu, amewaahidi wajumbe ushirikiano, umoja na mshikamano, pamoja na kufanya kazi kwa ukaribu na Menejimenti ya Shirika ili kuimarisha ushirikiano, kuongeza tija na ufanisi wa utendaji kazi na kuhakikisha TASAC inaendelea kutoa huduma bora kwa wananchi. Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa COTWU (T), Bi. Juliana Mpanduji, amewahimiza wafanyakazi wa sekta ya uchukuzi na mawasiliano kujiunga na COTWU–Tanzania ili kuwa na sauti moja katika kutetea maslahi yao mahali pa kazi na kunufaika na Mkataba wa Hali Bora. Kabla ya uchaguzi, Katibu wa Tawi la COTWU (T) – TASAC, Nahodha George Mnali, aliwasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Tawi kwa kipindi cha miaka mitano na kujibu hoja mbalimbali za wanachama. Katika uchaguzi huo, Bw. Mohamed Kapera amechaguliwa kuwa Mwenyekiti na Nahodha George Mnali kuwa Katibu wa COTWU (T) – TASAC. Wajumbe wa Kamati Tendaji waliochaguliwa ni Hashimu Awadh, Salma Mohamed, Nahodha David Chiragi, Nahodha Mzee Mvihanga, Juma Mwacha na Chester Kapinga. Aidha, Bi. Martha Ngasha amechaguliwa kuwa Mjumbe Maalum Mwanamke; Mhandisi Kelvin Kami, Mwenyekiti wa Vijana; Aggrey Koni, Katibu wa Vijana; huku Richard Nyasenga na Wilfred Chawene wakiwa Wajumbe wa Kamati ya Vijana. Kwa upande wa Wanawake, CPA Edda Mwakatobe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti na Florence Marick kuwa Katibu, huku Selina Mokiti na Victoria Myonga wakiwa Wajumbe wa Kamati ya Wanawake. Akizungumza baada ya uchaguzi, Mwenyekiti mpya, Bw. Kapera aliahidi kufanya kazi kwa ukaribu na menejimenti ili kuendeleza umoja, mshikamano na ushirikiano katika kutekeleza majukumu ya Shirika na kulinda maslahi ya wafanyakazi.
Tue, 29 Sep 2026 09:06:10 +0000NHC tenants start moving out to make way for modern development
Read the full report from the original source.
RecentlyArgentina threatens UK legal action over Falklands oil
Read the full report from the original source.
RecentlyCentenary Bank, Rotary Club of Mapeera Roll Out Road Safety Campaign to Protect Road Users
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya Secures Oil Drilling Rig, Targets Commercial Production by end of 2026
Read the full report from the original source.
RecentlyKindiki’s new plan to tackle illicit alcohol, drug abuse
Measures include fresh inspections, tighter regulation and increased resources for enforcement agencies.
RecentlyMusic, vibes and Don Julio at the Mediterraneo Tequila Sundowner
If tequila needed a personality, there are chances it would be bold, very opinionated and not afraid of being misunderstood. From the outlandish ways some of the serves are made to...
RecentlyEdward Rukidi Nyabongo installed as new Omukama of Tooro
Prince Edward Rukidi Nyabongo I has been installed as the new Omukama of Tooro in a series of traditional rituals held at Karuziika Palace in…
RecentlyFrom journalist to King: Prince Kijanangoma Nyabongo I to be crowned after dispute
Read the full report from the original source.
RecentlyWATCH LIVE: Tob Cohen Murder Case at Milimani Courts
Read the full report from the original source.
RecentlyHigh Court convicts four over 2015 killing of Kabete MP George Muchai
Read the full report from the original source.
RecentlySenior Assistant Police IG Lazarus Opicho dies
Read the full report from the original source.
RecentlyMurkomen urges stronger citizen role in national security
Interior CS says sustained engagement with communities can help identify threats and improve security responses.
RecentlyWhat awaits Tanzania’s newly appointed ministers in their new dockets
Read the full report from the original source.
RecentlyGov’t calls for private investment in solar, energy storage
The government has called for increased private-sector investment in solar power and energy-storage systems as Uganda seeks to meet rising electricity demand and achieve universal…
RecentlyPage 986 of 1126 · 22511 stories