Search the region
22509 stories
MAHOJIANO MAALUM | Safari ya Mussa Hassan 'Mgosi' kwenye soka hadi kufanikiwa na Simba Queens.
Kocha Mussa Hassan Mgosi amewataja Kocha Meck Maxime na Kanali Mstaafu Idd Kipingu kama miongoni mwa watu waliomsaidia katika safari yake ya soka, kupitia ushauri na mwongozo uliomsaidia kufikia hatua aliyopo leo.
2026-09-25T13:13:51+00:00MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 25/09/2026
Azam TV
2026-09-25T19:44:52+00:00KURASA ZA MWISHO | Mashabiki waendelea kuiamini Stars licha ya kipigo cha Guinea-Bissau
Shabiki akizungumzia mchezo wa jana kati ya Tanzania na Guinea-Bissau, ambapo wenyeji walipoteza kwa mabao 2-0, amesema tatizo kubwa ni kushindwa kutumia nafasi zinazopatikana mbele ya lango. Amesema wachezaji wamekuwa wakitengeneza na kupata nafasi za kufunga, lakini changamoto imekuwa katika umaliziaji, hali inayowafanya kushindwa kuzitumia nafasi hizo na hatimaye kuruhusu wapinzani kupata matokeo. Aidha, amesema Kocha Mkuu Miguel Gamondi anapaswa kulifanyia kazi eneo hilo kwa kuhakikisha wachezaji wanaimarika katika umaliziaji na kuwa na ufanisi zaidi wanapofika mbele ya lango. Azam TV
2026-09-26T08:44:01+00:00KURASA ZA MWISHO | Maswali kwa Kocha Miguel Gamond na kikosi cha Stars.
Wachambuzi Faustine Felician, Khatimu Naheka na Charles Abel wakiuliza maswali yao kwa Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi na kikosi kizima cha Stars baada ya kupoteza mchezo wao wa jana dhidi ya Guinea Bissau. Azam TV
2026-09-26T08:48:29+00:00Jinsi Azam TV ilivyowanasa Simba SC mafichoni Afrika Kusini
KUTOKA AFRIKA KUSINI: Mohamed Mohamed amewasaka Simba SC hadi amewapata wakiwa mafichoni katika kambi yao maalum ya siku kumi. Hapo amezungumza na meneja wa timu hiyo, Patrick Rweyemamu, ambaye ameeleza kwa kina ni nini kimewapeleka nchini humo, sababu na malengo ya kambi hiyo. Patrick amesema walichokifanya nchini Rwanda kabla ya kuanza kwa msimu huu kama ‘pre-season’, hakikutosha, kwakuwa kiliambatana na mashindano. Amesema wameona ni muhimu kutafuta mahali penye utulivu, ili kujiimarisha zaidi kiufundi kabla ya kuendelea na msimu. Huyu hapa Mohamed akianza kwa kuonesha jinsi alivyopata usafiri wa kumfikisha ‘mafichoni’ kwa Simba SC
2026-09-26T15:40:11+00:00Magoli | KVZ FC 3-0 Fufuni FC | PBZ Premier League Zanzibar 26/
#PBZPL Hizi hapa chuma tatu za Kikosi cha Valantia Zanzibar… ….. wauaji wakiwa ni Munir Abdu Shafi ‘Mlipili’, Muhammed Mussa Haji, ‘Banega’, na Mudrick Abdi Shekhe, ‘Gonda’ aliyefunga kwa penati baada ya yeye mwenyewe kutendwa ndani ya boksi. FT: KVZ FC 3-0 Fufuni FC Burudani ya basketball iko LIVE #AzamSports5HD #LigiKuuZanzibar #ZanzibarPremierLeague #PBZPremierLeague #KVZFC #FufuniFC #KVZFufuni
2026-09-26T17:19:34+00:00SPORTS AM | David Molinga aifananisha Yanga na Barcelona, ampa ushauri Doumbia wa Simba
SPORTSAM: Nyota wa zamani wa Yanga SC, David Molinga anasema Yanga ya sasa ndio bora zaidi kuliko nyakati zote. Molinga anasema kwa aina ya wachezaji iliyonayo Yanga kwa sasa, ina machaguo mengi ya kufanya icheze kama Barcelona. Ni kupitia kipindi cha #SportsAM ambacho kimeongozwa na Said Msumi
2026-09-27T12:28:19+00:00MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 28/09/2026
Azam TV
2026-09-28T19:39:12+00:00'Jezi ya Chama' inavyoing'arisha makumbusho hii nchini Afrika Kusini
KUTOKA AFRIKA KUSINI: Jezi ya Clatous Chama na timu mbalimbali ulimwengu zinavyoipa thamani ya kumbukumbu hoteli waliyofikia Simba SC, Polokwane Afrika Kusini. Kuta hizi zina simulizi nyingi na hisia mchanganyiko, mataifa kama Brazil, Senegal, Mali na Zambia pamoja klabu ya Mamedi Sundowns, Kaizer Chiefs, na Stellenbosch zimepamba hotel hii na kuacha kumbukumbu zisizosahaulika Je, unajua kuna kipi kingine kimepungua kwenye idara kwa kumkosa kiungo huyo?
2026-09-28T19:52:27+00:00Simba SC watembelea hifadhi ya wanyama nchini Afrika Kusini
KUTOKA AFRIKA KUSINI: Baada ya mazoezi magumu ya siku tatu mfululizo kwenye kambi yao nchini Afrika Kusini, kikosi cha ‘Mnayama’ Simba SC leo Septemba 29 kimepata mapumziko na kutumia muda huo kwenda hifadhini kutazama wanyama pori kama sehemu ya kujifunza na kujionea wanyama. Hifadhi hiyo ya wanyama ipo ndani ya Hotel ya Protea Runch Resort ambapo Simba wameweka kambi ya siku kumi.
2026-09-28T19:54:50+00:00Mzee Mpili azikwa, Manara Ally Kamwe watoa neno, mtoto wake akumbushia jambo kuhusu Kariakoo Derby
MZEE MPILI: Mwili wa Omary Ramadhan Mpili (aliyekuwa mwanachama wa Yanga SC), umezikwa leo wilayani Rufiji huku Haji Manara, Ally Kamwe wakitoa neno. Naye mtoto wa marehemu, Mohamed Haji amekumbushia jambo kuhusu utabiri wa Mzee Mpili, Yanga kuifunga Simba bao 1-0 huku akisisitiza kuwa “Mzee Mpili hakuwa mganga” #RIPMzeeMpili
2026-09-28T19:57:14+00:00Matola asimulia jinsi kispika kilivyokwamisha dili lake Yanga. SC
Kocha Msaidizi wa Simba SC, Selemani Matola ameweka wazi kuwa hapo zamani ilibaki kidogo ajiunge na Yanga SC ambao walimtumia nauli ya kwenda kujiunga nao kabla ya KISPIKA cha 'Stesheni Master' wa Tabora kupindua meza na kwenda kujiunga na Wekundu wa Msimbazi. Matola amesimulia stori hiyo akiwa kambini nchini Afrika Kusini ambako wameweka kambi ya siku kumi kwaajili ya maandalizi ya michezo ya Ligi Kuu pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika. Hii hapa story kutoka Polokwane iliyoandaliwa na wenzetu @5mohamedmohamed na @cosconstant
2026-09-28T21:37:41+00:00Audio — Info Matin (29.09.26)
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
RecentlyStanbic : Maboresho ya soko la mitaji yafungua fursa mpya kwa taasisi za umma
Read the full report from the original source.
RecentlyMandonga kukiwasha Zanzibar leo
VISIWA vya marashi ya karafuu, Zanzibar, vitakuwa na bashasha kubwa kuelekea tamasha kubwa la ngumi la Boxing in Paradise linalotarajiwa kufanyika leo Septemba 29, 2026, kuanzia saa 12 jioni na...
RecentlyIshu ya Mwenda yachukua sura mpya Yanga
Soma ziadi hapa
RecentlyRekodi zaibeba Taifa Stars kwa Madagascar
Read the full report from the original source.
RecentlyTRA United kuchomoa mtaalamu Yanga
UONGOZI wa TRA United umeanza mazungumzo ya kupata huduma ya Mtaalamu wa Uchambuzi wa Utendaji wa Wachezaji (Performance & Tactical Analyst) wa Yanga, Bartalomew Prosper, ikiwa ni mchakato wa...
RecentlyMgunda anavyojiingiza kitanzini Simba
Soma zaidi hapa
RecentlyAKADEMI ZA HISPANIA: Siri iliyomsuka Yamal na wenzake
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 988 of 1126 · 22509 stories